CHADEMA Picha na Maelezo: Hitimisho la Kampeni za Chaguzi ndogo Jimbo la Kalenga

IMG-20140315-WA0033.jpg
Kalenga wajitokeza hitimisho la kampeni za Chadema

UPDATE
ROSE KAMILI AMETEKWA NA GREEN GUARD MPAKA SASA HAJULIKANI ALIPO...
 
Anamsimamisha jukwaani mgombea na Mme wake. Anaelezea sifa za Grace Tendega hadi akaweza kupenya chujio la kampeni hadi akawa mgonbeamgonbe
Mgombea ubunge akiwashinda watu wengine 15 ambao nao walimpigia kura kuwa anafaa.
 
Hizo picha ziko wapi au mmegundua uongo wenu utawatia aibu haraka mmetoa?

Endelea kufatilia thread usiwe mvivu dada....Mgombea wenu kazomewa baada ya kumsimamisha mkewe mzungu na kuanza kuongea kizungu...
 
pamoja daima,makamanda mliopo uwanja wa mapambano Kalenga tunawatakia kila la kheri,Mungu awe pamoja nanyi,AMEN!
 
Endelezeni mapambano hadi filimbi ya mwisho itakapopulizwa makanda. Kalenga tokomezeni utawala wa kifalme.
 
cdm mpango wa Mungu.


Hakunaga kitu kama CCM kwenye mpango wa mungu. Hiyo ni mipango ya SHETANI ambaye anoenda kuua, kung'oa kucha, kuiba rasirimali za taifa kupitia kinana, kuuza sembe kupitia Riz1, kuiba kura, kunyima haki raia wenye sifa kupiga kura, kuendeleza utawala wa kifalme, kuzaa na wanawake takribani 100 na kisha kuwatelekeza ikiongozwa na M/kiti wa chama Mr. Dhaifu n.k.
 
Anamsimamisha jukwaani mgombea na Mme wake. Anaelezea sifa za Grace Tendega hadi akaweza kupenya chujio la kampeni hadi akawa mgonbeamgonbe
Mgombea ubunge akiwashinda watu wengine 15 ambao nao walimpigia kura kuwa anafaa.
Hivi wewe mtanzania kweli au mkenya mkikuyu uliojichimbia Arusha, eti mme wake.
 
Muulize Sugu mtoto wa Ndesamburo na mkwe wake walipataje ubunge pamoja na dada yake Lissu.

Hauitaji darasa la saba kujua hili, kwanza jiulize kuna utofauti gani kati ya mbunge wa kuteuliwa na wa kuchaguliwa?ni vigumu kuijua kweli na haki ukiwa ndani ya ccm.
 
Hauitaji darasa la saba kujua hili, kwanza jiulize kuna utofauti gani kati ya mbunge wa kuteuliwa na wa kuchaguliwa?ni vigumu kuijua kweli na haki ukiwa ndani ya ccm.
Kwa hiyo hawa wakuteuliwa ni mahawara na watoto wa viongozi wa Chadema hawana tatizo?
 
Mkutano umefungwa kwa amani kbs. Pamoja na vitisho vya magari takriban sita ya polisi wakiongozwa na RCO wananchi wameonesha ujasiri mkubwa na kuhudhuria kwa wingi mkutano wa kufunga. Grace amewaliza na kuwatoa watu machozi kwa hotuba yake ya kufunga.

Grace: Ameshusha speech kali ya kufungia. Anewataka wanaKalenga kwenda kuonesha kwa vitendo upendo ambao wamemuonesha kwa siku zote 20 za kampeni...nazidi kupata taarifa kuwa Mbunge Rose Kamili katekwa na Green Guard...CCM...hadi sasa hajulikani yuko wapi!
 
Watalia magamba wote,cdm wamesambaa kila kijiji,hao redbriged usipimie kila baada ya watu 4 yupo mlinzi wa cdm mmoja
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom