Uchaguzi 2020 CHADEMA pelekeni Malalamiko NEC ya Ukiukwaji wa Maadili ya Uchaguzi yanayofanywa na Mgombea Urais kupitia CCM

Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk.

Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.

Vitisho au ndio ukweli wenyewe, wewe uchague ushoga halafu CCM ikuletee maji ya kujisafii? Uliona wapii!!!!! Utapumuliwa kwa miaka 5 mpaka ukome na ubaki na shombo lako.
 
Back
Top Bottom