CHADEMA pangeni maandamano siku ya ujio wa Rais wa Marekani Obama. Andaeni mabango ili kuionyesha dunia ni jinsi gani serikali ya ccmafisi wanavyoendesha nchi. Yani hapa hakuna kukubaliwa kibali wala nini. Wana CHADEMA jitokezeni siku io kuwaonyesha Marekani na dunia nzima haya yanayotokea katika nchi yetu, kuwa hapa hakuna demokrasia. Haya yaliyotokea nchini jana, Arusha na maeneo yanakofanyika marudio za uchaguzi, na ukifuatilia matamshi za viongozi wa juu wa ccMafisadi Nape, Mwigulu ni ushahidi tosha.