CHADEMA Pangeni Maandamano Siku Ya Ujio Wa Obama

Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,767
1,525
CHADEMA pangeni maandamano siku ya ujio wa Rais wa Marekani Obama. Andaeni mabango ili kuionyesha dunia ni jinsi gani serikali ya ccmafisi wanavyoendesha nchi. Yani hapa hakuna kukubaliwa kibali wala nini. Wana CHADEMA jitokezeni siku io kuwaonyesha Marekani na dunia nzima haya yanayotokea katika nchi yetu, kuwa hapa hakuna demokrasia. Haya yaliyotokea nchini jana, Arusha na maeneo yanakofanyika marudio za uchaguzi, na ukifuatilia matamshi za viongozi wa juu wa ccMafisadi Nape, Mwigulu ni ushahidi tosha.
 
Can assure you, Obama haji Tanzania. Watu hawalali !
Alafu huyo NAPE asichezee wake za watu. Tena wake za Viongozi . Tunamchora sana
 
Can assure you, Obama haji Tanzania. Watu hawalali !
Alafu huyo NAPE asichezee wake za watu. Tena wake za Viongozi . Tunamchora sana

kaka si umuanike tu hapa ndugu yangu hawatakiwi kufumbiwa macho
 
SPECIAL ANNOUNCEMENT TO TANZANIA'S PUBLIC

Due to the Oppression, Lawlessness, and constant killing of innocent citizens by the Police and Security Agents, we are hereby announcing "A peaceful Demonstration" In the City of Dar-es-salaam during president Obama's visit. We want the world to know CCM and Kikwete's dictatorshipl and brutality that the world does not know. We are citizens of the world that wants to live in peace and harmony; unfortunately they are dividing us along ethnic lines and religious sects. Now that those tactics have failed they have started to throw bombs at us. Obama please come, so we can find a day to protest and the world to hear us

Obama must not support Kikwete and CCM that terrorizes its own citizens. Obama coming to Tanzania is a support for Terrorism.

We must take advantage of Obama's visit because the world eyes will be focused on Tanzania. This is the only way to get world support. This is the only day we will not be arrested; tear gassed or shot at by the police that always kill us. This is the day; journalists will not be kidnapped, tortured or even killed. We must now TAKE ADVANTAGE OF Obama's visit to voice our suffering to the rest of the world.

Please stay TUNED we will announce the day to protest next week.

Cc. The White House
State Department
US Embassy Dar-es-Salaam
Tanzania State House
Tanzania Foreign Affairs


===============================

Watanzania wenzangu. Nadhani muda muhafaka kwa maandamano ni katika ugeni wa Obama. Hakutakuwepo na Mabomu wala risasi. Tunaanda ratiba ya maandamano katika ujio wa Obama. tutawapa Ratiba kamili wiki Ijayo

Tunaomba watanzania wapenda amani wajitayarishe kuandamana siku Obama anapowasili Tanzania. hii itaipa dunia picha kamili ya matukio ya kighaidi nchini Tanzania

Tanzanian Number one Chinese Trained Terrorist "Mwigulu Nchemba" terrorizing Tanzanian public, and will be meeting President Obama?
attachment.php
attachment.php
 
Watanzania wenzangu. Nadhani muda muhafaka kwa maandamano ni katika ugeni wa Obama. Hakutakuwepo na Mabomu wala risasi. Tunawaomba viongozi wapange ratiba ya kuandaa maandamano katika ujio wa Obama

Tunaomba watanzania wapenda amani wajitayarishe kuandamana siku Obama anapowasili Tanzania. hii itaipa dunia picha kamili ya matukio ya kighaidi nchini Tanzania


Tatizo waoga wengi, si wanataka kujipitisha pitisha na wao waonekane wamo kumbe ni majambazi yaliyobobea hasa haka kajamaa kanakolala Magogoni, si kahamie Bwagamoyo kanakojenga hekalu lake kwa pesa ya walipa kodi.
 
Ni sawa kabisa tunayofanyiwa ni unyama.Kwani Mwigulu ni nani???? hadi damu za watu wasio na hatia zipotee
 
Na kazo zetu tumwachie nan?
Hao wanauhakika wa maisha xo huo mda bora tukaweke sawa uhakika wa maisha ya watoto wetuu
 
kwanini hatuja andamana raisi wa China alivyokuja sisi hapa kila siku tunawaponda USA sasa kwanini hatujaandamana wakati China wapo hapa ambao tunawasifia kila siku.
 
Can assure you, Obama haji Tanzania. Watu hawalali !
Alafu huyo NAPE asichezee wake za watu. Tena wake za Viongozi . Tunamchora sana
Una hoja nzuri ila nakuomba ubadilishe avetar yako kwa kuwa unatudhalilisha sisi tunao soma mawazo yako .
Nina uhakika ungetuona na kutujua usinge weka uchafu huo !!!
 
Obama akiwepo hakuna cha bomu wala nini. viongozi wa CHADEMA inabidi washikilie hili bango ili kulaani mauaji ya kikatili na uenezi wa udini
 
Obama akiwepo hakuna cha bomu wala nini. viongozi wa chadema inabidi washikilie hili bango ili kulaani mauaji ya kikatili na uenezi wa udini

Mbona mpaka sasa mashushu wa Obama watakuwa kibao humu nchini na kila kitu wanakiona? Polisi wako very alert sidhani kama kuna mtu atajaribu. Kova alishaonya.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chadema pangeni maandamano siku ya ujio wa Rais wa Marekani Obama. Andaeni mabango ili kuionyesha dunia ni jinsi gani serikali ya ccmafisi wanavyoendesha nchi. Yani hapa hakuna kukubaliwa kibali wala nini. Wana CDM jitokezeni siku io kuwaonyesha Marekani na dunia nzima haya yanayotokea katika nchi yetu, kuwa hapa hakuna demokrasia. Haya yaliyotokea nchini jana, Arusha na maeneo yanakofanyika marudio za uchaguzi, na ukifuatilia matamshi za viongozi wa juu wa ccMafisadi Nape, Mwigulu ni ushahidi tosha.

So what sisiem scares no one, and no one. hata kama Obama yupo nchi, mtakamartwa na kusweka ndani, mpaka Obama aondoke ndio tutaanaza kusikiliza mashauri yenu, na pengine kukifuta Chadema kwa kuleta sitofahamu nchini.
 
Can assure you, Obama haji Tanzania. Watu hawalali !
Alafu huyo NAPE asichezee wake za watu. Tena wake za Viongozi . Tunamchora sana

Ebu funguka maana hata wigulu kwenye kampeni z Igunga aliwakacha wenzake akaenda kugegeda mke wa mtu ikazimwa kiaina aina hivyo Je nayo ni sera yao mpya nini?
 
Who is Obama in this Country na hiyo Marekani. We mweziMchanga kweli bado una fikra kwa kina Obama ni miungu. Waende wakasemelee hukohuko.
 
We Pumbavu dunia yote haiko salama,unadhani dawa ya amani na kutokomeza ugaidi inatoka marekani au dunia ikijua?akili yako fupi sana,aliyekuambia ugaidi utakoma kwa kuandamana ni bank,Marekani imejaa makovu ya kulipuliwa zaidi ya raja kaki mbili waliteketezwa mara moms uliona Democrats au Republican wakishutumiana pi.bavuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom