JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,442
- 54,993
You are absolutely right!
Kwa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, hoja ya Katiba Mpya itakuwa kimantiki ni kaput. Hana tena moral authority ya kusimama na kusema hakubaliani na Katiba Inayopendekezwa kwa sababu alikuwa ni mmoja wa wajumbe waliokuwa wanaitetea ndani ya bunge akifahamu itakuja kumsaidia katika utawala wake.
Mzee Butiku alishawahi kumzodoa Lowassa kuhusu hoja ya serikali tatu katika thread hii,
Ambapo alisema katika kipande hiki,
..kuna tofauti kati ya Lowassa akiwa ndani ya ccm, na Lowassa ndani ya ukawa vs serikali 3.
..watu waliomzunguka wote ni wanaharakati wa serikali 3. Mimi naona it is more likely Lowassa kubadilika, kuliko yeye kuwabadilisha kina Juma Duni, Tundu Lissu, Ismael Jussa, James Mbatia, Prof.Lipumba, etc waunge mkono serikali 2.
..ukawa wakichaguliwa ujue mjadala wa serikali 3 utarudi.