Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,161
- 3,054
CHADEMA okoeni jahazi
Upande ule wa mheshimiwa hasa kwa haya yanayotokea, huku mtaani kwetu tunasemaga zaga imeelekea kibra, kifuatacho ni kisu tu watu wale nyama
Chukueni uovu wote, uchambueni kwa kina, onyesheni walipokosea kwa hoja, onyesheni namna nzuri ambayo ilitakiwa kufanyika, tumien sakata Moja au matatu kuainisha, mfano chukueni hata sakata la viroba au ajira.
Anzisheni program kwa vijana, wapeni elimu juu ya muelekeo wa chama, hii itasaidia kupata wanachama watakao saidia chama na sio kama ilivyo sasa, CHADEMA kina mashabiki wengi kuliko wanachama, mashabiki hawawezi kusaidia chama japo nao wanaumihimu wao muda fulani.
Kutumia matukio kama ajenda haisaidii kwa kuwa matukio no ya muda tu na yanasahaulika, Mara njaa Mara vyeti, Mara udikteta Tena huu hata kwenu upo lakini hamna mtu wa kukemea, mfano CDM hakuna mtu wa kumpinga Mbowe au Lissu, na kama yupo au ishatokea basi anajua kilichompata.
CHADEMA jengeni chama mchukue nchi, tengenezeni mgombea mpya mwenye ushawishi hata kama kwa sasa sio maarufu, mtengenezeni kuanzia sasa, mpeni mafumzo yote na sip kumtegemea mzee wenu huyo, kiukweli mtateleza tena.
Mimi saizi nipo naangalia movie ya Dodoma hapo.