Chadema nipeni mwongozo kupata kadi ya uanachma na kuanzisha tawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema nipeni mwongozo kupata kadi ya uanachma na kuanzisha tawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumwa wa kweli, Mar 21, 2011.

 1. M

  Mtumwa wa kweli Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa mpenzi wa muda mrefu wa Chadema ila si mwanachama, napenda sasa niwe mwanachama na ikiwezekana nifungue tawi la Chadema mahali ninapoishi, nipo DAR ES SALAAM.

  Ahsanteni.
   
Loading...