Chadema nimeshindwa waelewa

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
8,874
9,671
Kuhusu sakata la Ben saa8 nimeshindwa elewa kuwa Chama cha chadema kinamawasiliano baina ya viongozi huku bavicha wapo busy na hashtag mbowe anasema ametekwa na kubenea amesema amejificha. Nashindwa elewa Kuna nini baina ya Hawa viongozi. Chadema mkitaka kurudi kwenye chart bora mlalamikie maswala ya ukosefu waajira vijana tutawaunga mkono ila naona mpo busy na mambo sijui uchwara Mara free lema wakati watu hatuna ajira.. mngepigania Kuhusu ajira watu wangeshiriki ukuta
 
Kwan cdm ndo wanatoa ajira za serikal?
 
Kuwaelewa chadema lazima Uwe na akili kubwa
 
Back
Top Bottom