edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,904
- 9,765
Kuhusu sakata la Ben saa8 nimeshindwa elewa kuwa Chama cha chadema kinamawasiliano baina ya viongozi huku bavicha wapo busy na hashtag mbowe anasema ametekwa na kubenea amesema amejificha. Nashindwa elewa Kuna nini baina ya Hawa viongozi. Chadema mkitaka kurudi kwenye chart bora mlalamikie maswala ya ukosefu waajira vijana tutawaunga mkono ila naona mpo busy na mambo sijui uchwara Mara free lema wakati watu hatuna ajira.. mngepigania Kuhusu ajira watu wangeshiriki ukuta