CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la kemia, baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa baada ya msomi ndugu bwana Vincent mashinji kutoka pale, nani mwanasayansi aliebaki pale?
 
Hebu kaa kimya, tuna rais mwanasayansi ambaye anapinga dawa anazoweza kupata ushahidi wa kisayansi ndani ya maabara, lakini alienda kupata kikombe cha babu kisicho na ushahidi wowote wa kimaabara! Lazima uwe mwendawazimu kusifia wanasayansi wa hivyo.
Dawa gani za kigeni zinauwezo wa kupambana na covid??
 
Waulize waliochanja jinsiwanavyopukutika na makovu yao. Hivi nyinyi mnaifananisha korona na sulua nini??

Narudia tena, kuna chanjo tayari, italeta matokeo gani hilo ni suala jingine. Hata dawa za kufubaza ukimwi huwa zina side effects kwa baadhi ya watu. Na hiyo ni tabia ya kawaida kabisa kwa dawa zozote.
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la kemia, baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!
wanasayansi wanasema tuvae barakoa. Hapo vepee?!
 
Iko chache sana katika mikoa lini? Amejuaje kama ni chache wakati tangu April 29 hawapimi? Hakubali kuulizwa maswali huyo anayejiita mwendawazimu kwani ataadhirika na uongo wake.
“Sisi Tanzania Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana.” - John Pombe Magufuli.
 
Narudia tena, kuna chanjo tayari, italeta matokeo gani hilo ni suala jingine. Hata dawa za kufubaza ukimwi huwa zina side effects kwa baadhi ya watu. Na hiyo ni tabia ya kawaida kabisa kwa dawa zozote.
Nanikacha halafu akawa salaamaaa??
 
Wewe ni
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la kemia, baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni mjinga kama jiwe .
 
Back
Top Bottom