chadema ni waongo,wazushi,washari ,wababaishaji na hatari kwa Taifa- Redio Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema ni waongo,wazushi,washari ,wababaishaji na hatari kwa Taifa- Redio Uhuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Apr 20, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Moja ya mazungumzo ya habari yanayorushwa na Redio ya uhuru kila siku asubuhi una ujumbe mzito kwa taifa. Ujumbe huo ambao husomwa kama vile mazungumzo ya habari unasisitiza kwamba chadema ni chama hatari kwa mustkabali wa taifa letu.
  wanajenga hoja ya kumpaka matope Dk slaa na chadema hasa ktk mambo mazima ya ufisadi na kukisema kama chama hatari kwa taifa.
  Eti hakina sera za kumkomboa mtanzania
  Hakina muono wa mbali wa kumsaidia mtz kiuchumi na kiafya
  haina mipango ya elimu kwa taifa
  wavurugaji amani na utulivu
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wacha wajaribu kila njia lakini hatuwataki tena CCM na tunahitaji mabadiliko,waendelee kukandia tu ila ndio hivyo siku zinakaribia....Kama wametumwa now hamna mtoto ambaye atadanganywa....
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Je hao CCM kati ya hayo wanayosema lipi ambalo wamefanya??Basi lets say CHADEMA hawawezi kufanya je CCM kwa kipindi chote hicho madarakani je wenyewe wameweza kufanya hayo mambo???Kila siku safari haziishi na kazi kwenda bungeni kula hela za wananchi na kuongea upupu nothing much ndio hivyo wanajuwa.....
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  waende zao uko atuwataki tena na sawa na mzazi kumzuia mtoto asicheze game kwenye computer yake ni kitu kinachiwezekana wakati ndyo technlogy
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  chadema ni chama hatari sana. nakiogopa ni chama hatari kwa ccm si kwa taifa bana, hahahaaa
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...........Namshukuru mkuu umenikumbusha kuwa kuna Radio inaitwa Uhuru...maana niliacha kuisikiliza miaka mingi sana,kuna siku moja tulikuwa tupo kwenye gari la ofisini linalobeba staff,dereva wetu akawa ameweka hayo mazungumzo baada ya habari toka Uhuru Radio...Jamaa alifikia kidogo apigwe na staff...maana walisema hebu zima upuuzi huo..
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  When you are drowning you definitely will grab seaweed with all your strength with a hope of a survival.
   
Loading...