mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema.
Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni.
Sasa viongozi wenu pamoja na kejeli zote zote na matusi lakini wameishia alipokuwa anawaambia Zitto.
Kinachofata jiandaeni kuwaona viongozi wenu wakienda kwenye kikosi kazi cha Zitto kutoa maoni yao.
Watachukua ruzuku iliyotakana na uchaguzi haramu.
Mwisho wa siku wataenda kushiriki uchaguzi bila katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi na wimbo utakuwa ule ule wa siku zote maCCM yanaiba kura.
Haya yote Zitto ameyaona kabla ya viongozi wenu.
Zitto anajua muafaka wa kitaifa upo ndani ya katiba kila kitu mnachoenda kujadili na Rais kipo kwenye katiba na sheria za nchi ila anafahamu upinzani wote ni njaa kali, huwezi kuwa na principles ukiwa na njaa kali ndio maana kina Halima walichagua ulaji sio misimamo. Hivyo Zitto alikuwa anawaona mkirukaruka mwisho wenu ni kusogea kwenye foleni ya kulamba asali.
Tukubali tukatae Zitto amewazidi kwa mbali sana upeo viongozi wa Chadema.
Chadema kaeni karibu na Zitto awasaidie mawazo ya kuendesha chama chenu, kina Mbowe vichwa havioni mbali anymore.