CHADEMA, Ni wakati wa kujadili Rasimu! Agenda ya Zitto wekeni kando, hamtaeleweka

Hata mkipotezea mada kivipi...CDM itamtema ili mumtumie vizuri kutetea serikali mbili...
 
Watanzania wenzangu kwanza natoa salaam zangu za heri ya mwaka mpya.
Napenda kutumia jukwaa hili kutoa maoni yangu juu ya sakata hili lililopo mbele yetu kati ya Zitto na CHADEMA kwa ujumla wake.

Kwa ufupi ni kuwa sakata hili limetikisa chama na wanachama wake wote! na ukweli umejaribu kuwekwa hadharani na mwenye macho kaona mwenyewe na kusikia mwenyewe. Sasa kuendelea kutunishiana msuli huku kila mtu akitaka kuonesha ni nani zaidi, sioni kama ni jambo muafaka kwa sasa. Kuna haja ya kukaa chini kama binadamu na kuonyana na wale wote ambao wamekwenda kinyume na Katiba wakili na waombe msamaha.

Zitto wewe bado ni kijana mdogo sana na kete yako ya kufika mbali bado ipo wazi kabisa, hivi kama ni uongozi ni kitu gani kinachokusukuma kwa nguvu namna hiyo kana kwamba dunia inapinduka kesho na usipoongoza leo utakufa????!!
Je, ni wangapi ndani ya CCM waliambiwa kuwa hawana hadhi hata ya kuwa wajumbe wa nyumba kumi lakini leo ndio wanaotuongoza?

Je, umewahi kujitafakalisha ni jinsi gani walivyoamini kuwa bila Nyerere na Tanzania itakwisha lakini bado tunadunda ki mtindo?!

Je, kwa nini usivute subira na ukatumia muda mwingi kujenga matakwa yako kwa wananchi ambao sasa muda wao wa kushika hatamu unawadia (kwa mujibu wa Katiba mpya) ambapo tutakuwa na mandeti ya kuongozwa na tunaemtaka?

Mambo yapo mengi sana ya kuainisha katika kufikia mustakabali wa jambo hili, ila kwa ufupi tu naomba tuingie mwaka mpya kwa mambo mapya ya ujenzi wa chama kwa nguvu mpya.

Naomba Kamati kuu mtakapoingia kwenye kikao chenu hapo kesho kutwa isiwe ni kwa kumkamia Zitto, bali iwe ni jinsi gani ya kumtengeneza upya ahesabike kuwa mtoto ndani ya familia ya CDM.

Nawe Zitto, ukweli ni kuwa umekuwa na mambo mengi sana ambayo kwa macho hata ya upofu yanionesha kwenda kinyume na mipango mikakati ya chama, kama kweli unataka kubaki ndani ya CDM jifanye mdogo nasi tunaokuangalia tutakuinua hata kwa maombi yetu.

Je, nani angejua kuwa ipo siku moja sauti ya wanyonge itasimamam na kusema tunataka hili katika katiba yetu na likasikilizwa?! Je, mbona leo ipo hivo?

HIZI NDIO SALAAM ZANGU ZA MWAKA MPYA.

TAFAKARINI.

Ungejua huyo unayemshauri ajishushe ana kiburi cha kutisha usingefikiria hata kuandika ulivyoshauri( kitu ambacho naamini ni kizuri).Dawa iliyopo ni moja tu FUKUZA aende aonapo pema kama hakuna aanzishe chama chake si anapendwa bana!aiache CHADEMA kama alivyoikuta,mwisho!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nakipenda sana chama changu za cdm, kwa kuwa hakina mbadala katika kutetea Taifa hili, kimevumilia mengi, kimepita mabonde na milima, wanachama wetu wamemwaga damu katika juhudi hizi za ukombozi wa pili.

hata hivyo ninajua kuwa kamati kuu inakutana wiki end hii na kuwa agenda ni kuwavua uanachama wasaliti, sina kinyongo katika hili, ila NAOMBA KUTOA TAHADHARI, KILA JAMBO NA WAKATI WAKE, HUU NI WAKATI WA KUJADILI KATIBA MPYA NA MUSTAKABALI WA NCHI YETU, WENZENU CCM WANASUBIRI KWA HAMU MLIANZISHE NA ZITO WALICHOCHEE KAMA KAWAIDA NA BAADA YA HAPO WAIKARABATI RASIMU WANAVYOPENDA WENYEWE, MKIMALIZA UGOMVI TAYARI MTAKUWA MMECHELEWA.
hahaaaahaaah CDM hatugombani, Zitto atajadiliwa sanjari na mambo mengine..!
Tarehe 4 January atakua common citizen maana kwa hali ilivyo anaenda kupoteza uwanachama wake.
 
katika harakati za kuadai haki na kuwakomboa wananchi umakini ni kitu cha msingi hasa katika kufanya maamuzi chadema inapoenda kufanya maamuzi kuhusu akina zitto iwe makini kwani umakini ukikosekana katika maamuzi macccm watatumia mwanya huo kukichafua chadema,,,,,moja kuwafukauza akina zitto italeta au itakuza dhana ya ukanda na ukabila ambayo ni kik kwa ccm hasa kwa wale wavivu wa kufikiri,..mbili akina zitto wanaweza kutumiwa na macccm kukichafua zaidi chadema hivyo dhana ya ukanda, udini na ukabila ukiwa ni moja ya kik kwa ccm.......tatu...chadema kiachane na baadhi ya wachungaji wanaokuja kugombea ubunge kama ni mchungaji aachane na uchungaji kwanza ndo ajiunge na chadema hii itasaidia kuondoa dhana ya udini na kuwafanya ccm wakose kik ya kuongelea na na hivyo kuwafanya waislaam waamini chadema kuwa ndo mkombozi wao.....mwisho taasisi yoyote ile na chadema ikiwemo haiwezi kukosa mawazo kinzani ndani ya chma je kila atakaye pingana na uongozi ni lazima afukuzwe, kwa hili chadema muwe siyo kila mtu mwenye mawazo negative lazima afukuzwe coz hakuna chama chochote cha siasa dunian ambacho hakina upinzani wa ndani,,,,,.ni hayo tu wadau......ni mawazo yangu kwa chama changu chademaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni mawazo yako. Yanaheshimiwa, ila dawa ya jino bovu ni kuling'oa, heri maumivu ya wakati wa kuling'oa kuliko maumiu endelevu ya kila siku. Hapo kwenye wachungaji sijakuelewa, ina maana unapendekeza MTU YEYOTE MWENYE WADHIFA WA KIDINI AWE MCHUNGAJI, PADRE, SHEIKH, KUHANI e.t.c ama!? na kwa nini CHADEMA tu na sio kwingineko!?
 
Ni bora chadema ikaitwa chama cha kikanda au kidini kuliko kukumbatia jemedali aliyetekwa, pia unaposema wachungaji wanaotaka kugombea ubunge lazima wajivue uchungaji unakosea ndugu yangu ni sawa na kusema Dr au Prof anayetaka kugombea ubunge via chadema ajivue u dokta au uprof ndipo agombe,nooo haiwezekani uchungaji ni fani na taaluma aliyesomea mtu achana na wachungaji makanjanja lakini pia hata Mashekh hawakatazwi kugombea kupitia Chadema,usiogope kuitwa mdini au mkanda ktk ukombozi,ya welcome xxxxc
 
katika harakati za kuadai haki na kuwakomboa wananchi umakini ni kitu cha msingi hasa katika kufanya maamuzi chadema inapoenda kufanya maamuzi kuhusu akina zitto iwe makini kwani umakini ukikosekana katika maamuzi macccm watatumia mwanya huo kukichafua chadema,,,,,moja kuwafukauza akina zitto italeta au itakuza dhana ya ukanda na ukabila ambayo ni kik kwa ccm hasa kwa wale wavivu wa kufikiri,..mbili akina zitto wanaweza kutumiwa na macccm kukichafua zaidi chadema hivyo dhana ya ukanda, udini na ukabila ukiwa ni moja ya kik kwa ccm.......tatu...chadema kiachane na baadhi ya wachungaji wanaokuja kugombea ubunge kama ni mchungaji aachane na uchungaji kwanza ndo ajiunge na chadema hii itasaidia kuondoa dhana ya udini na kuwafanya ccm wakose kik ya kuongelea na na hivyo kuwafanya waislaam waamini chadema kuwa ndo mkombozi wao.....mwisho taasisi yoyote ile na chadema ikiwemo haiwezi kukosa mawazo kinzani ndani ya chma je kila atakaye pingana na uongozi ni lazima afukuzwe, kwa hili chadema muwe siyo kila mtu mwenye mawazo negative lazima afukuzwe coz hakuna chama chochote cha siasa dunian ambacho hakina upinzani wa ndani,,,,,.ni hayo tu wadau......ni mawazo yangu kwa chama changu chademaaaaaaaaaaaaaaaaa
KILLERS KISS GUY, kusema kweli you are one sick individual...kilaza asiyeweza kuandika hata sentense moja iliyonyoka kwa lugha ya taifa...words fail me! Hivi katika karne hii watu wa aina yako bado wapo ndani ya Tanzania hii. Eti hata wewe unathubutu kutoa ushauri kwa Chadema, are you kidding me? JF kila siku inazidi kuwa kama kokoro, inazoa kila kitu...duh, kaazi kweli kweli!
 
..mimi wala simtetei Zito ila kinachonishangaza ni 'utaratibu'unaotumika. zito 'anatuhuma' kamati kuu imeshamhukumu kwa kumvua nafasi zake za uongozi na wanafikiria kumvua na uanachama , bila hata kusubiri rufani ya zito au kumpa barua ya kuhitaji utetezi wake chama sasa kinatumia nguvu zake zote ktk kampeni ya kumpaka Zito matope!
sasa ninashangaa mno kuona kila mdau anaongea habari ya 'maccm' badala ya kuuliza hivi:- ni zipi hasa tuhuma zinazomkabili huyu mwanachama? na je, asili ya hizi tuhuma ni wapi, je mwanachama alipoelezwa alijitetea vipi ? na je kulingana na huo utetezi je hukumu iliyotolewa iko sawa? je huyu mwanachama amepewa haki ya kukata rufaa kwenye ngazi inayofuata? je chama kimeweza kumtendea mwanachama 'haki' ya kumpa uhuru wa kujitetea ktk vikao vyote husika kabla hakijamtangaza mwanachama kua mtu hatari?
je kama zito atatoa ushahidi wa uaminifu wake kwa 'chama' siyo kwa watu chama kitaweza kuzunguka nchi nzima kumsafisha?
ni busara tukajua kua tunaongea kuhusu haki za mwanachama yeyote, na kwamba namna tunavyofanya leo itawezekana pia kwa mwanachama mwingine yeyote?
 
...je hapa ujibu hoja au unapambana na mtoa hoja???
mtu anaweza kua na maoni mazuri sana hata kama hajui kusoma na kuandika!
 
..mimi wala simtetei Zito ila kinachonishangaza ni 'utaratibu'unaotumika. zito 'anatuhuma' kamati kuu imeshamhukumu kwa kumvua nafasi zake za uongozi na wanafikiria kumvua na uanachama , bila hata kusubiri rufani ya zito au kumpa barua ya kuhitaji utetezi wake chama sasa kinatumia nguvu zake zote ktk kampeni ya kumpaka Zito matope!
sasa ninashangaa mno kuona kila mdau anaongea habari ya 'maccm' badala ya kuuliza hivi:- ni zipi hasa tuhuma zinazomkabili huyu mwanachama? na je, asili ya hizi tuhuma ni wapi, je mwanachama alipoelezwa alijitetea vipi ? na je kulingana na huo utetezi je hukumu iliyotolewa iko sawa? je huyu mwanachama amepewa haki ya kukata rufaa kwenye ngazi inayofuata? je chama kimeweza kumtendea mwanachama 'haki' ya kumpa uhuru wa kujitetea ktk vikao vyote husika kabla hakijamtangaza mwanachama kua mtu hatari?
je kama zito atatoa ushahidi wa uaminifu wake kwa 'chama' siyo kwa watu chama kitaweza kuzunguka nchi nzima kumsafisha?
ni busara tukajua kua tunaongea kuhusu haki za mwanachama yeyote, na kwamba namna tunavyofanya leo itawezekana pia kwa mwanachama mwingine yeyote?

Ndugu yangu CHADEMA ni taasisi, ambayo ina ratiba zake kama ambavyo Nape na Kinana walikuwa wakifanya, ktk kila mkutano wananchi watataka kujua hali inayijirimkwenye taasisi yao, na bahati nzuri hao ndo wasemaji wa taasisi!!ss kuna ubaya gani viongozi wa CDM kutoa elimu na misimamo ya chama ili wananchi wasiendelee kupotoshwa na nyinyi mnaojiita wapambe wa ZZK, yeye kwa sasa ndo hakupaswa kufanya anayoyafanya,na cha moto atakiona kwani watu unawaona kwenye mikitano yake ni CCM na wachumia tumbo!!ngoja atimuliwe akaanzishe chama chake au akamtoe Mbati uenyekiti NCCR si ndiyo target zake!!
 
Ni mawazo yako.
Yanaheshimiwa, ila dawa ya jino bovu ni kuling'oa, heri maumivu ya
wakati wa kuling'oa kuliko maumiu endelevu ya kila siku. Hapo kwenye
wachungaji sijakuelewa, ina maana unapendekeza MTU YEYOTE MWENYE WADHIFA
WA KIDINI AWE MCHUNGAJI, PADRE, SHEIKH, KUHANI e.t.c ama!? na kwa nini
CHADEMA tu na sio kwingineko!?

hiyu kijana ataendelea kung'ara kisiasa coz makosa yake yametengenezwa'too mathematically'nt concrete beyond natural reasonable dought.
 
Wadau wengi wenye akili zao wameshastuka kulikoni?ndo wanazidi kumpa kick
 
KILLERS KISS GUY, kusema kweli you are one sick individual...kilaza asiyeweza kuandika hata sentense moja iliyonyoka kwa lugha ya taifa...words fail me! Hivi katika karne hii watu wa aina yako bado wapo ndani ya Tanzania hii. Eti hata wewe unathubutu kutoa ushauri kwa Chadema, are you kidding me? JF kila siku inazidi kuwa kama kokoro, inazoa kila kitu...duh, kaazi kweli kweli!

Kama kila anayetoa mawazo ya njia mbadala wa kuushughulikia na kuutatua mtafaruku ulioisibu CHADEMA ataitwa msaliti basi tuna safari ndefu sana kuifikia demokrasia! Pamoja na mtafaruku huu kuwa na mkono wa maCCM, wapo wana CDM wenye uchungu na chama wanaobezwa katika kila watakalolizungumza, hii yote ni kwa faida ya CCM! Yaani CCM baada ya kuzusha varangati wametuachia CHADEMA wenyewe tujimalize!
Wito: Ni lazima busara itumike, si wote wanaotoa maoni ni wa buku 7! Tutafakari na tuchukue hatua. Hata mimi nasema Zitto si tishio kihivyo maadamu tumeshamwelewa na yeye na wenzake wanaweza kabisa rekebishika na wakawa wenye manufaa kwa CHADEMA. Huu ni wakati wa kuimarisha safu za mapambano na si kujifhoofisha kama wanavyotaka maCCM.
 
...katika ya maandishi yako naiona hekima iliyohai...
 
Nakipenda sana chama changu za cdm, kwa kuwa hakina mbadala katika kutetea Taifa hili, kimevumilia mengi, kimepita mabonde na milima, wanachama wetu wamemwaga damu katika juhudi hizi za ukombozi wa pili.

hata hivyo ninajua kuwa kamati kuu inakutana wiki end hii na kuwa agenda ni kuwavua uanachama wasaliti, sina kinyongo katika hili, ila NAOMBA KUTOA TAHADHARI, KILA JAMBO NA WAKATI WAKE, HUU NI WAKATI WA KUJADILI KATIBA MPYA NA MUSTAKABALI WA NCHI YETU, WENZENU CCM WANASUBIRI KWA HAMU MLIANZISHE NA ZITO WALICHOCHEE KAMA KAWAIDA NA BAADA YA HAPO WAIKARABATI RASIMU WANAVYOPENDA WENYEWE, MKIMALIZA UGOMVI TAYARI MTAKUWA MMECHELEWA.

Nakuhurumia sana kijana kwa kupenda uozo wa cdm, tena unadiriki kusema eti hakuna mbadala, kwa hili nakubaliana kuwa ni kweli cdm ina harufu mbaya sana na hakuna mbadala wake, uka sahihi nadhani umevipitia vituko vyote vya wana- cdm na kugundua kuwa ni peoles poor thinkers.
 
mtakuja na kila sarakasi za kumtetea huyo mamluki,NI MWANACDM GANI SAFI ASIYEONA MATENDO NA MWENENDO WA ZZK ULIVYO HATARI KWA CHAMA? JE ANAENDANA NA KANUNI,MIONGOZO NA MATAKWA YA CHAMA NA WANACDM KWA UJUMLA? Na je,kama haendani na taratibu,utamaduni wa chama kwa nini asifukuzwe? kama anapendwa sana ccm hadi waomboleze kwa ajili yake,kwa nini asiende huko na ang'ang'anie asipopendwa kama hajatumwa? Makamanda wa kweli hawawezi kufurahishwa na nyendo zake na ubinafsi alionao huyo kijana! wakati makamanda wanajenga chama huko vijijini yeye anakula bata na mafisadi mjini huku akipanga njama za kuwapindua wanaojenga chama,yaani chama kijengwe na wengine then yeye awe m/kt tena kwa kusaidiwa na maccm,kweli? Itakuwa CDM kweli au tawi la CCM? KAMATI KUU FUKUZA HARAKA HUYO KIWAVI!
 
Back
Top Bottom