sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,662
Habari za usiku wakuu.
Pamekua na mijadala mingi sana hapa jukwaani, mingi inazungumzia mustakabali wa taifa na duru za kisiasa hapa nchini. CDM kimekua ni chama ambacho bila kificho (existing perception) kimekua kikionekana kama ni chama kilichobeba cream ya wasomi,wanaharakati,vijana na bila kificho kimekua kikipokea mapokeo mazur kila kukicha. Nia yangu ni kukizungumzia hiki chama na mahusiano yake na uwepo wa Dr slaa.
Wengi mtakubaliana na mimi katik hii nchi Dr anaonekana kua na nguvu na pia ni big threat kwa chama chake cha zaman CCM na serikali kwa ujumla pengine sababu ni uwezo wake mkubwa katika kushawishi na misimamo yake,lakini kikubwa ni uwezo wa kupata serious information zinazohusu hili taifa(ilifikia mahali hapa JF akaitwa nusu usalama wa taifa)..CCM wamekua wakionesha wazi kutambua nguvu ya Dk na wengine kukiri wazi kabsa mf mh. Samweli sitta aliwahi kusema wazi pale CDM labda Dr ndo tishio,Mbowe anaweza tu kuongoza kumbi za starehe!
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia viongoz mbalimbali wakimzungumzia Dr slaa kama taasisi..mf jana wasira katika kipindi cha dkk 45 itv alisema wazi kua vyama vyote vya upinzani vimewapongeza(CCM) isipokua huyu Dr slaa ambae huwa haoni mazuri. Tafsiri yangu ni kwamba within CCM ni wazi Dr ndie tishio kubwa,within garvoo Dr ndie tishio. Dr slaa amekua na tabia ambayo ni tofauti na watanzania walio wengi, anapenda kushughulisha ubongo wake na anaamini jukumu lake sio kuisifia serikali pale inapotekeleza majukumu yake bali kuisukuma serikali kufanya yale ambayo inapaswa kufanya. Ana discipline anaheshimu maadili ya chama ndio maana vijana ambao wanaojiunga na CDM wenye njaa na tamaa humchukia na kumwita mkoloni(mf habibu mchange),haogopi mtu pale anapopigania haki (ndio maana said mwema anakua makini katika kuzima hoja za slaa).. Ukifuatilia vuguvugu la mabadiliko na vita dhidi ya ufisadi historia itamuheshimu Dr slaa kwa kuipressurelize serikali na kukijenga Chadema!
Haya ni maoni yangu, Dr is a mysterious creature you can add kama yapo unayohisi yanamfanya Slaa awe exceptional katika hili taifa!