CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua

The Giantist

JF-Expert Member
Dec 12, 2018
214
86
Habarini tena ndugu zangu wanabodi... Baada ya kuwaeleza kuwa TANZANIA KAMA ULAYA INAWEZEKANA leo asubuhi hapa hapa kwenye jukwaa letu hili pendwa. Nimerudi tena kuja kuwaeleza mambo mengine mawili matatu yanayotuhusu sisi sote moja kwa moja.

Ninayeandika sasa, ni mimi Sauti ya Mdodomia Giantist, ni mwanachama wa Chama Cha siasa Cha Mapinduzi (CCM). Wajibu wangu ni kwa nchi yangu, vilevile nitakuwa mzalendo kwa ajili ya nchi yangu. Kwa hiyo, sitakaa kimya kuzungumza yale mazuri ambayo serikali yetu chini ya usimamizi wa ilani ya CCM na uongozi madhubuti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli, ambayo yamekuwa yakitekelezwa kwa ajili ya kukuza maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Kwa kuwa nimekuwa na haki ya kuipongeza serikali yangu kwa upande mmoja, hivyo basi ninayohaki hiyo hiyo ya kukemea utovu wo wote au mpango wo wote ambao una nia ya kuwadhohofisha watanzania na kuidhohofisha Tanzania.

Leo nimekuja mbele yenu kwa kusudi maalum la kuwakemea watu wachache ambao kwa hakika kabisa wanaongozwa na nia ovu kwa ustawi wa nchi yetu. Lakini pia ni waongo waongo, ukipata kuzisikiliza sera zao baadhi walizozieleza kwa ufupi ni dhahiri kuwa haziwezi kutekelezeka katika uhalisia. Si wengine ni jamaa hawa wa mtaa wa UFIPA. Tumewasikia jana wakitupigia kelele kwenye mitandao ya kijamii humu, mara Dodoma kutafurika... Mara on my way to Dodoma kumsindikiza Muujiza.... Mara tumekodi mausafiri ya kutosha n.k n.k kwa kweli zilikuwa ni kilele tena si kidogo.

Hata hivyo mambo yameenda tofauti sana, mji wa Dodoma umetulia sana siku hii ya leo, mara baada ya kutikiswa siku ya juzi wakati wa uchukuaji wa fomu pale Njedengwa ofisi za NEC alipokuwa ameenda mhe. Rais Magufuli na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu. Wanadodoma wanaendelea na kazi zao za uzalishaji mali kama kawaida, hakuna cha kelele za Lisu wale ni yeye wala cha pipozi! Hakika ni shwari, na kwa kweli muujiza wao ulienda fofofo kuchukua fomu yake ya kushiriki uchaguzi.

Lakini pia, katika kuyaeleza mambo hayo. Swali langu la msingi linaenda kwa VIFIPA. Wanawezaje kukubali kufanywa kondoo wa sadaka kwa kutumika kuwatajilisha mabwana zao wakuu wa Chama?! Huo ulimbukeni wameutoa wapi. Maana hao mabwana zenu wanapokea pesa za ruzuku, na ni ukweli usiopingika katika vyama vya siasa nje ya CCM, Chama chenye kupata walau ruzuku ya kuridhisha ni Chama chenu CHADEMA. Lakini kwa hakika hatuoni kama hizo ruzuku zinakifaa Chama na wanachama. Mnaangaika kukipigania Chama kwa mateso huku viongozi mabwana zenu wanawang'on'ga visogo vyenu kwa kuwaita makamanda! Ni aibu kwa kweli na ni fedheha.

Muda umefika sasa wa kuacha kutumika kama misukule ya kisiasa ndani ya Chama chenu. Muamke muache ujinga huo. Na huyo jamaa yenu, ameshanuia kuwatoa kafara wakati wa uchaguzi kwa kuwachochea mfanye vurugu, ili mvunje sheria muwajibishwe na kisha yeye awaache mataa, na atafanya hivyo ili atimize matakwa yake binafsi na ya mabwana zenu wa CHADEMA wakina Mbowe. Nasema haya katika ukweli mchungu ambao hamutaki kuusikia abadani.

Leo nimeliona gari la CHADEMA lilojifanya linaeneza sera za CHADEMA, hapa Dodoma Mjini. Gari lile no bovu kabisa kabisa. Nikawa najiuliza pesa za ruzuku ambazo ni Kodi ya wananchi CHADEMA wanazipeleka wapi, wanakosa kuwa na magari safi na ya uhakika! Nikazidi kupata hofu, kama wanashindwa kujisimamia wenyewe na mapato yao ya ruzuku wataweza kusimamia pesa za wananchi wakishachukua serikali?! Au kama wanakosa mipango mikakati katika kuratibu mambo yao wenyewe, wataweza kweli kuweka mipango yenye tija katika kuratibu mambo ya nchi?! Sijui walikuwa wanaenda wapi.... Lakini kutoka na ukosefu wa mipango ni dhahiri walishachelewa huko aalipokuwa wanaenda. Maana walitumia zaidi ya dakika 30 wakitengeneza kimeo Chao, maeneo ya Posta Dodoma, Arusha road.

Kwa tabia ya uroho wa fedha wa viongozi wa CHADEMA, kujilimbikizia mamlaka kwa watu fulani fulani, tabia ya kupenda kuwafanya wanachama wao kama misukule, tabia ya kukosa mipango madhubuti ili kuhakikisha hakuna muda unaopotea ili kufikia malengo, tabia ya viongozi wao kupenda kuwatoa wanachama wao kafara ili wapate heshima na umaarufu n.k ndio tabia mbaya ambayo wananchi wameshaifahamu na wameigundua ipo ndani ya CHADEMA na viongozi wake. Na kwa sababu hiyo, CHADEMA hawatakaa kuja kuongoza katika matokeo ya kura hata kuongoza dola na serikali. Maana ni dhahiri kuwa ikiwa wakashika mamlaka na madaraka ya nchi, hawatashindwa kujimilikisha hazina ya serikali, kuwalaghai wananchi kama ambavyo wamekuwa wanawalaghai wanachama wao, hawashindwi kutuuza hawa kama nchi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. CHADEMA ni waroho tu, chini ya viongozi waroho!

CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua. Ni ya kutupilia mbali na kuifukia chini kabisa, isionekane tena katika siasa za nchi hii. Muda umefika sasa, wa wananchi kwenda kuikataa waziwazi kwenye sanduku la kura.

Karibuni Dodoma, tusherehekee siku kuu ya nananane hapa viwanja vya nanenane Nzuguni. Hakuna watu wa ufipa wala magari ya ufipa. Magari yao yameenda gereji huko, vingi vimeo!

Sauti ya Mdodomia
08/08/2020
 
Attachments

  • IMG_20200808_133003_6.jpg
    IMG_20200808_133003_6.jpg
    108.4 KB · Views: 1
Chadema siyo sumu wananchi wenye Akili timamu watasalia kuunga mkono chadema, wenye Akili ndogo wataunga mkono CCM, chadema ingekuwa sumu CCM ingeacha ijifie yenyewe lakini chadema ni Asali na maziwa ndiyo maana kutwa CCM in awabambikia kesi, kuwapiga risasi, kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali, ruzuku ya chadema inatumika kukijenga chama kuendesha utitiri wa kesi kesi za uonevu za kuwabambikia na CCM, ruzuku ya CCM inaibwa kifisadi hakuna CAG amewahi kuikagua na siku CAG akikagua ruzuku ya CCM watafungwa jela mpaka wasitaafu wa CCM, Nchi chini ya CCM haina maendeleo, pesa zote za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema, Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo Pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wote ni wapinzani na wananchi wasio na vyama.
 
Kitu cha kuelewa ni kuwa Chadema ina exist kwa kodi zenu ktk jina la ruzuku. Anaye wapa ruzuku hizo ni serekali kwa mujibu wa sheria.......
 
kurudia kosa kuchagua again ni kuiweka nchi jehanamu,awamu ya pili atavurunda zaidi kwa sababu atahitaji kura zetu tena,tukirudia kosa tumekwisha
 
Kitu cha kuelewa ni kuwa Chadema ina exist kwa kodi zenu ktk jina la ruzuku. Anaye wapa ruzuku hizo ni serekali kwa mujibu wa sheria.......
CCM wengi siyo walipa kodi, walipa kodi ni wapinzani pamoja na wananchi wengi wasio na vyama, ruzuku ya CCM wanakula pesa kwa njia haramu, kwanza ruzuku ya CCM inatumika kuidhoofisha kuihujumu chadema kudidimiza demokrasia ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Habarini tena ndugu zangu wanabodi... Baada ya kuwaeleza kuwa TANZANIA KAMA ULAYA INAWEZEKANA leo asubuhi hapa hapa kwenye jukwaa letu hili pendwa. Nimerudi tena kuja kuwaeleza mambo mengine mawili matatu yanayotuhusu sisi sote moja kwa moja.

Ninayeandika sasa, ni mimi Sauti ya Mdodomia Giantist, ni mwanachama wa Chama Cha siasa Cha Mapinduzi (CCM). Wajibu wangu ni kwa nchi yangu, vilevile nitakuwa mzalendo kwa ajili ya nchi yangu. Kwa hiyo, sitakaa kimya kuzungumza yale mazuri ambayo serikali yetu chini ya usimamizi wa ilani ya CCM na uongozi madhubuti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli, ambayo yamekuwa yakitekelezwa kwa ajili ya kukuza maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Kwa kuwa nimekuwa na haki ya kuipongeza serikali yangu kwa upande mmoja, hivyo basi ninayohaki hiyo hiyo ya kukemea utovu wo wote au mpango wo wote ambao una nia ya kuwadhohofisha watanzania na kuidhohofisha Tanzania.

Leo nimekuja mbele yenu kwa kusudi maalum la kuwakemea watu wachache ambao kwa hakika kabisa wanaongozwa na nia ovu kwa ustawi wa nchi yetu. Lakini pia ni waongo waongo, ukipata kuzisikiliza sera zao baadhi walizozieleza kwa ufupi ni dhahiri kuwa haziwezi kutekelezeka katika uhalisia. Si wengine ni jamaa hawa wa mtaa wa UFIPA. Tumewasikia jana wakitupigia kelele kwenye mitandao ya kijamii humu, mara Dodoma kutafurika... Mara on my way to Dodoma kumsindikiza Muujiza.... Mara tumekodi mausafiri ya kutosha n.k n.k kwa kweli zilikuwa ni kilele tena si kidogo.

Hata hivyo mambo yameenda tofauti sana, mji wa Dodoma umetulia sana siku hii ya leo, mara baada ya kutikiswa siku ya juzi wakati wa uchukuaji wa fomu pale Njedengwa ofisi za NEC alipokuwa ameenda mhe. Rais Magufuli na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu. Wanadodoma wanaendelea na kazi zao za uzalishaji mali kama kawaida, hakuna cha kelele za Lisu wale ni yeye wala cha pipozi! Hakika ni shwari, na kwa kweli muujiza wao ulienda fofofo kuchukua fomu yake ya kushiriki uchaguzi.

Lakini pia, katika kuyaeleza mambo hayo. Swali langu la msingi linaenda kwa VIFIPA. Wanawezaje kukubali kufanywa kondoo wa sadaka kwa kutumika kuwatajilisha mabwana zao wakuu wa Chama?! Huo ulimbukeni wameutoa wapi. Maana hao mabwana zenu wanapokea pesa za ruzuku, na ni ukweli usiopingika katika vyama vya siasa nje ya CCM, Chama chenye kupata walau ruzuku ya kuridhisha ni Chama chenu CHADEMA. Lakini kwa hakika hatuoni kama hizo ruzuku zinakifaa Chama na wanachama. Mnaangaika kukipigania Chama kwa mateso huku viongozi mabwana zenu wanawang'on'ga visogo vyenu kwa kuwaita makamanda! Ni aibu kwa kweli na ni fedheha.

Muda umefika sasa wa kuacha kutumika kama misukule ya kisiasa ndani ya Chama chenu. Muamke muache ujinga huo. Na huyo jamaa yenu, ameshanuia kuwatoa kafara wakati wa uchaguzi kwa kuwachochea mfanye vurugu, ili mvunje sheria muwajibishwe na kisha yeye awaache mataa, na atafanya hivyo ili atimize matakwa yake binafsi na ya mabwana zenu wa CHADEMA wakina Mbowe. Nasema haya katika ukweli mchungu ambao hamutaki kuusikia abadani.

Leo nimeliona gari la CHADEMA lilojifanya linaeneza sera za CHADEMA, hapa Dodoma Mjini. Gari lile no bovu kabisa kabisa. Nikawa najiuliza pesa za ruzuku ambazo ni Kodi ya wananchi CHADEMA wanazipeleka wapi, wanakosa kuwa na magari safi na ya uhakika! Nikazidi kupata hofu, kama wanashindwa kujisimamia wenyewe na mapato yao ya ruzuku wataweza kusimamia pesa za wananchi wakishachukua serikali?! Au kama wanakosa mipango mikakati katika kuratibu mambo yao wenyewe, wataweza kweli kuweka mipango yenye tija katika kuratibu mambo ya nchi?! Sijui walikuwa wanaenda wapi.... Lakini kutoka na ukosefu wa mipango ni dhahiri walishachelewa huko aalipokuwa wanaenda. Maana walitumia zaidi ya dakika 30 wakitengeneza kimeo Chao, maeneo ya Posta Dodoma, Arusha road.

Kwa tabia ya uroho wa fedha wa viongozi wa CHADEMA, kujilimbikizia mamlaka kwa watu fulani fulani, tabia ya kupenda kuwafanya wanachama wao kama misukule, tabia ya kukosa mipango madhubuti ili kuhakikisha hakuna muda unaopotea ili kufikia malengo, tabia ya viongozi wao kupenda kuwatoa wanachama wao kafara ili wapate heshima na umaarufu n.k ndio tabia mbaya ambayo wananchi wameshaifahamu na wameigundua ipo ndani ya CHADEMA na viongozi wake. Na kwa sababu hiyo, CHADEMA hawatakaa kuja kuongoza katika matokeo ya kura hata kuongoza dola na serikali. Maana ni dhahiri kuwa ikiwa wakashika mamlaka na madaraka ya nchi, hawatashindwa kujimilikisha hazina ya serikali, kuwalaghai wananchi kama ambavyo wamekuwa wanawalaghai wanachama wao, hawashindwi kutuuza hawa kama nchi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. CHADEMA ni waroho tu, chini ya viongozi waroho!

CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua. Ni ya kutupilia mbali na kuifukia chini kabisa, isionekane tena katika siasa za nchi hii. Muda umefika sasa, wa wananchi kwenda kuikataa waziwazi kwenye sanduku la kura.

Karibuni Dodoma, tusherehekee siku kuu ya nananane hapa viwanja vya nanenane Nzuguni. Hakuna watu wa ufipa wala magari ya ufipa. Magari yao yameenda gereji huko, vingi vimeo!

Sauti ya Mdodomia
08/08/2020
Kama chadema ingekua sumu ccm wasinge wanunua viongozi wa chadema, hizi propaganda mnazopiga ni za kiwango cha chini sana kwani hata taahira hawezi kuwaelewa, mlijigamba hapa kazi tu, miaka mitano ajira zimefungwa na hata walio ajiliwa hakuna nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya kila mfanyakazi kwa muji u wa kariba yenu ya mwaka 77.
 
Naona unamlenga Mbowe tu kwa hoja zisizo na mashiko acha demokrasia ikue nchini la sivyo watu watateseka na udikteta wa ccm kumbuka ccm ipo madarakani kwa miaka 60 sasa.
 
Lakini uongozi huwa haujatibiwi mkuu, kukaa madarakani kwa muda mrefu kwa CCM ni ishara ya kuwa inauzoefu wa kutosha katika kuongoza nchi.
Naona unamlenga Mbowe tu kwa hoja zisizo na mashiko acha demokrasia ikue nchini la sivyo watu watateseka na udikteta wa ccm kumbuka ccm ipo madarakani kwa miaka 60 sasa.
 
Kama chadema ingekua sumu ccm wasinge wanunua viongozi wa chadema, hizi propaganda mnazopiga ni za kiwango cha chini sana kwani hata taahira hawezi kuwaelewa, mlijigamba hapa kazi tu, miaka mitano ajira zimefungwa na hata walio ajiliwa hakuna nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya kila mfanyakazi kwa muji u wa kariba yenu ya mwaka 77.
Binadamu hakuwahi kununuliwa ikiwa kwa hiari yake alikubali kuamia CCM. Jambo ambalo viongozi wa CHADEMA hawataki wanachama wake wafahamu, ni hili la kukimbia na viongozi wa muhimu na wenye ushawishi ndani ya cdm na kwa wananchi. Wamewaaminisha kwamba wamenunuliwa, ili akili zenu zigotee hapo.

Lakini ni ukweli wa wazi kwamba CHADEMA haina tena ajenda. CCM imetekeleza na kutatua kwa kiwango kikubwa kabisa shida za wananchi. Ajenda za wananchi ni maendeleo na kwa hakika sasa wanaona uelekeo sahihi ya kwenye maendeleo ya kweli.

Ni vizuri ikiwa utautafuta mwenyewe ukweli kuhusu maendeleo ya Tanzania, usisubiri uje uambiwe Lisu au waye yote nje ya wewe. Na ikiwa unafanya hivyo, utaweza kuona ni kwa jinsi gani ilani ya CCM imegusa maeneo yote ya muhimu kwa maendeleo ya nchi kwa kiwango kikubwa sana.
 
Oktoba ni wakati pekee wa kulipiza kisasi kwa kupiga kura za hapana
Ikiwa ni wanachama wa vyama hivi vya siasa hapa nchini, ndio watakaoenda kupiga kura nje ya wananchi wengine. Ni dhahiri hatutakuwa na Jimbo wala kata itakayokuwa inaongozwa na upinzani. CCM inaongozwa mtaji mkubwa sana wa wanachama wengi kuvidi vyama vingine. Lakini ukweli usiopingika kuwa hata kwa ambao sio wanachama, wanayaona mazuri ambayo yamefanywa na viongozi wa CCM katika kujenga uchumi wa nchi.
 
Habarini tena ndugu zangu wanabodi... Baada ya kuwaeleza kuwa TANZANIA KAMA ULAYA INAWEZEKANA leo asubuhi hapa hapa kwenye jukwaa letu hili pendwa. Nimerudi tena kuja kuwaeleza mambo mengine mawili matatu yanayotuhusu sisi sote moja kwa moja.

Ninayeandika sasa, ni mimi Sauti ya Mdodomia Giantist, ni mwanachama wa Chama Cha siasa Cha Mapinduzi (CCM). Wajibu wangu ni kwa nchi yangu, vilevile nitakuwa mzalendo kwa ajili ya nchi yangu. Kwa hiyo, sitakaa kimya kuzungumza yale mazuri ambayo serikali yetu chini ya usimamizi wa ilani ya CCM na uongozi madhubuti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli, ambayo yamekuwa yakitekelezwa kwa ajili ya kukuza maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Kwa kuwa nimekuwa na haki ya kuipongeza serikali yangu kwa upande mmoja, hivyo basi ninayohaki hiyo hiyo ya kukemea utovu wo wote au mpango wo wote ambao una nia ya kuwadhohofisha watanzania na kuidhohofisha Tanzania.

Leo nimekuja mbele yenu kwa kusudi maalum la kuwakemea watu wachache ambao kwa hakika kabisa wanaongozwa na nia ovu kwa ustawi wa nchi yetu. Lakini pia ni waongo waongo, ukipata kuzisikiliza sera zao baadhi walizozieleza kwa ufupi ni dhahiri kuwa haziwezi kutekelezeka katika uhalisia. Si wengine ni jamaa hawa wa mtaa wa UFIPA. Tumewasikia jana wakitupigia kelele kwenye mitandao ya kijamii humu, mara Dodoma kutafurika... Mara on my way to Dodoma kumsindikiza Muujiza.... Mara tumekodi mausafiri ya kutosha n.k n.k kwa kweli zilikuwa ni kilele tena si kidogo.

Hata hivyo mambo yameenda tofauti sana, mji wa Dodoma umetulia sana siku hii ya leo, mara baada ya kutikiswa siku ya juzi wakati wa uchukuaji wa fomu pale Njedengwa ofisi za NEC alipokuwa ameenda mhe. Rais Magufuli na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu. Wanadodoma wanaendelea na kazi zao za uzalishaji mali kama kawaida, hakuna cha kelele za Lisu wale ni yeye wala cha pipozi! Hakika ni shwari, na kwa kweli muujiza wao ulienda fofofo kuchukua fomu yake ya kushiriki uchaguzi.

Lakini pia, katika kuyaeleza mambo hayo. Swali langu la msingi linaenda kwa VIFIPA. Wanawezaje kukubali kufanywa kondoo wa sadaka kwa kutumika kuwatajilisha mabwana zao wakuu wa Chama?! Huo ulimbukeni wameutoa wapi. Maana hao mabwana zenu wanapokea pesa za ruzuku, na ni ukweli usiopingika katika vyama vya siasa nje ya CCM, Chama chenye kupata walau ruzuku ya kuridhisha ni Chama chenu CHADEMA. Lakini kwa hakika hatuoni kama hizo ruzuku zinakifaa Chama na wanachama. Mnaangaika kukipigania Chama kwa mateso huku viongozi mabwana zenu wanawang'on'ga visogo vyenu kwa kuwaita makamanda! Ni aibu kwa kweli na ni fedheha.

Muda umefika sasa wa kuacha kutumika kama misukule ya kisiasa ndani ya Chama chenu. Muamke muache ujinga huo. Na huyo jamaa yenu, ameshanuia kuwatoa kafara wakati wa uchaguzi kwa kuwachochea mfanye vurugu, ili mvunje sheria muwajibishwe na kisha yeye awaache mataa, na atafanya hivyo ili atimize matakwa yake binafsi na ya mabwana zenu wa CHADEMA wakina Mbowe. Nasema haya katika ukweli mchungu ambao hamutaki kuusikia abadani.

Leo nimeliona gari la CHADEMA lilojifanya linaeneza sera za CHADEMA, hapa Dodoma Mjini. Gari lile no bovu kabisa kabisa. Nikawa najiuliza pesa za ruzuku ambazo ni Kodi ya wananchi CHADEMA wanazipeleka wapi, wanakosa kuwa na magari safi na ya uhakika! Nikazidi kupata hofu, kama wanashindwa kujisimamia wenyewe na mapato yao ya ruzuku wataweza kusimamia pesa za wananchi wakishachukua serikali?! Au kama wanakosa mipango mikakati katika kuratibu mambo yao wenyewe, wataweza kweli kuweka mipango yenye tija katika kuratibu mambo ya nchi?! Sijui walikuwa wanaenda wapi.... Lakini kutoka na ukosefu wa mipango ni dhahiri walishachelewa huko aalipokuwa wanaenda. Maana walitumia zaidi ya dakika 30 wakitengeneza kimeo Chao, maeneo ya Posta Dodoma, Arusha road.

Kwa tabia ya uroho wa fedha wa viongozi wa CHADEMA, kujilimbikizia mamlaka kwa watu fulani fulani, tabia ya kupenda kuwafanya wanachama wao kama misukule, tabia ya kukosa mipango madhubuti ili kuhakikisha hakuna muda unaopotea ili kufikia malengo, tabia ya viongozi wao kupenda kuwatoa wanachama wao kafara ili wapate heshima na umaarufu n.k ndio tabia mbaya ambayo wananchi wameshaifahamu na wameigundua ipo ndani ya CHADEMA na viongozi wake. Na kwa sababu hiyo, CHADEMA hawatakaa kuja kuongoza katika matokeo ya kura hata kuongoza dola na serikali. Maana ni dhahiri kuwa ikiwa wakashika mamlaka na madaraka ya nchi, hawatashindwa kujimilikisha hazina ya serikali, kuwalaghai wananchi kama ambavyo wamekuwa wanawalaghai wanachama wao, hawashindwi kutuuza hawa kama nchi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. CHADEMA ni waroho tu, chini ya viongozi waroho!

CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua. Ni ya kutupilia mbali na kuifukia chini kabisa, isionekane tena katika siasa za nchi hii. Muda umefika sasa, wa wananchi kwenda kuikataa waziwazi kwenye sanduku la kura.

Karibuni Dodoma, tusherehekee siku kuu ya nananane hapa viwanja vya nanenane Nzuguni. Hakuna watu wa ufipa wala magari ya ufipa. Magari yao yameenda gereji huko, vingi vimeo!

Sauti ya Mdodomia
08/08/2020
Akili changa. Ni vema mwili ungebeba dafu la Bagamoyo kuliko wa maji ndani ya bichwa ulilonalo.
 
Ni afadhali maji kwa maana Maji ni uhai, na ndio maana naeleza mambo ambayo yamerudisha matumaini kwa watanzania ndani ya uongozi imara wa Dkt. Magufuli kupitia ilani ya CCM. Na kila chenye uhai ni lazima kiwe na matumaini, maji yanaleta matumaini ya uhai.
 
UPUUZI MTUPU!

Back
Top Bottom