Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Baada ya uchaguzi mkuu kumalizika 2015 na ccm kushinda kwa wale wafuatiliaji watu wengi walitoa maoni chadema wajipange na wajiandae na uchaguzi wa mwaka 2020 ikiwemo .......
1.kupigania katiba ambayo watu wengi walikuwa wanailalamikia baadhi ya vipengele virekebishwe
2.kupiginia tume huru ambayo walikuwa wengi wanailalamikia ambayo wengi walilalamikia inahitaji marekebisho
3.kuandaa ajenda ambayo wananchi itawashawishi wananchi wawazidi kuwapigania na kuwa na imani,
4.kupanga upya Sera na mikakati maluumu kuelekea 2020 ili wananchi wazidi kuwa na imani nao,........
Na mambo mengi walishauliwa lakini ndugu zetu kama waliziba masikio , watu waliwashauli hamkutana kusikia ona sasa
Wananchi wengi wameshakata tamaa ya kupiga kura, wanajua hata wapiga kura hawawezi kushinda, vijana wengi wameshajikatia tamaa na mambo ya kisiasa ile hamasa hamasa haipo tena kiukweli chadema watu waliamb
Na mzee baba na yeye atatumia mwanya huo huo kuwapoteza kisiasa kuwapoteza kisiasa kwa maana mnaonekana hamna sera