CHADEMA ni NGO INAYONUFAISHA WACHACHE

golii

Member
Nov 13, 2012
48
1
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...
 
Dadavua kijana usitumike vibaya! Gari gan? Na nani anatumia? La kwake au la chama? Nyumba iko wapi?? na ya nan?? Na vp kuhusu gharama zake??
 
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...

CDM ni wanaharakati wa siasa, na si wanasiasa, hili kila siku mie nalisema . Kwa maana hiyo km ni wanaharakati ni kweli NGO na si chama cha siasa
 
Basi CCM in NGO inayonufaisha familia. Unaonaje hapoooooo?
 
CDM ni wanaharakati wa siasa, na si wanasiasa, hili kila siku mie nalisema . Kwa maana hiyo km ni wanaharakati ni kweli NGO na si chama cha siasa

Hii hypothesis ni nzuri sana kuiandikia paper, tena ya PhD! GeniusBrain usiishie hapo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...
Wewe ni mwanachama mpya wa JF,karibu sana jukwaani,hili siyo jukwaa la umbeya ni jukwaa unalotakiwa kutoa maoni yako na pale unapotoa allegations,those allegations must be supported by concrete evidences!
 
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...

Ifutwee!!! Maana inafanya siasa na kushiriki chaguzi za kisiasa na kupewa ruzuku na serikali kama Chama cha siasa.
 
Bora inufaishe wachache kuna afadhari kuliko kunufaisha familia kama akina naniii Meno ya tembo,kaa mbali.
 
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...
.
TA0106_thumb.jpg
 
bora waambie wakiambiwa wanakuja na matusi....
 
Nakubaliana na mwanzisha uzi.
Hamna mtu asiyeifahamu CDM!

Kama usingejitokeza kwenye hii tread na kuunga mkono mada, ningeshangaa sana! Ngoja tumsubiri Ritz naye aibuke.
Hata hivyo; habari za silku Rejao?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom