Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.
Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya uchaguzi kwani 2025 si mbali sana.
Ni wakati mzuri bwana Lema kurudi ili aweze kuja kuongeza nguvu sio tu kumpambania mwenyekiti lakini pia kustratergize kwa namna gani mtapata viti vingi kama election ground itakuwa ya wazi ya wazi atakayeshinda atangazwe.
Kama mtapanga mikakati mizuri inshallah 2025 basi viti mtapata kwani mchango wenu bungeni hata sisi tusio na vyama ulitufaa kwani mlikua watchdog mambo ya hovyo hamkuyakubali na hata waliokuwa wanataka kuleta waliwaza mara mbili.
Muda huu ni mzuri kupanga mikakati ya uchaguzi ujao basi ni vema mkaunda task force for rescuing chairman na ingine ya kuratibu uchaguzi ujao na muwe mnakutana kupeana mirejesho.