CHADEMA ni muhimu kujipanga kwa uchaguzi

Right3

Senior Member
Aug 16, 2015
101
250
Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.

CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.

Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya uchaguzi kwani 2025 si mbali sana.

Ni wakati mzuri bwana Lema kurudi ili aweze kuja kuongeza nguvu sio tu kumpambania mwenyekiti lakini pia kustratergize kwa namna gani mtapata viti vingi kama election ground itakuwa ya wazi ya wazi atakayeshinda atangazwe.

Kama mtapanga mikakati mizuri inshallah 2025 basi viti mtapata kwani mchango wenu bungeni hata sisi tusio na vyama ulitufaa kwani mlikua watchdog mambo ya hovyo hamkuyakubali na hata waliokuwa wanataka kuleta waliwaza mara mbili.

Muda huu ni mzuri kupanga mikakati ya uchaguzi ujao basi ni vema mkaunda task force for rescuing chairman na ingine ya kuratibu uchaguzi ujao na muwe mnakutana kupeana mirejesho.
 
Right3

Senior Member
Aug 16, 2015
101
250
Tume hii hii ndio ilifanya wabunge wengi wa upinzani walipatikana.
Uwanja utakua huru tuamini changamoto zapaswa kuwakomaza na si kuwakatisha tamaa.
 
Zanaco

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
1,363
2,000
Tunataka katiba mpya na tume huru sivinginevyo kilichotokea uchaguzi uliopita nia aibu sana ccm Kama mnaweza kutembeza mapanga wakati wa kurudisha forms kupanga Matokea mchana kweupe vipi kodi zetu ziko salama?
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,365
2,000
Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.

CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.

Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya uchaguzi kwani 2025 si mbali sana.

Ni wakati mzuri bwana Lema kurudi ili aweze kuja kuongeza nguvu sio tu kumpambania mwenyekiti lakini pia kustratergize kwa namna gani mtapata viti vingi kama election ground itakuwa ya wazi ya wazi atakayeshinda atangazwe.

Kama mtapanga mikakati mizuri inshallah 2025 basi viti mtapata kwani mchango wenu bungeni hata sisi tusio na vyama ulitufaa kwani mlikua watchdog mambo ya hovyo hamkuyakubali na hata waliokuwa wanataka kuleta waliwaza mara mbili.

Muda huu ni mzuri kupanga mikakati ya uchaguzi ujao basi ni vema mkaunda task force for rescuing chairman na ingine ya kuratibu uchaguzi ujao na muwe mnakutana kupeana mirejesho.
Chdema nahis ndo kinaenda kufa hivyo..tutarajie chama Cha zito Zaid mwaka huu..
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
15,163
2,000
Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.

CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.

Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya uchaguzi kwani 2025 si mbali sana.

Ni wakati mzuri bwana Lema kurudi ili aweze kuja kuongeza nguvu sio tu kumpambania mwenyekiti lakini pia kustratergize kwa namna gani mtapata viti vingi kama election ground itakuwa ya wazi ya wazi atakayeshinda atangazwe.

Kama mtapanga mikakati mizuri inshallah 2025 basi viti mtapata kwani mchango wenu bungeni hata sisi tusio na vyama ulitufaa kwani mlikua watchdog mambo ya hovyo hamkuyakubali na hata waliokuwa wanataka kuleta waliwaza mara mbili.

Muda huu ni mzuri kupanga mikakati ya uchaguzi ujao basi ni vema mkaunda task force for rescuing chairman na ingine ya kuratibu uchaguzi ujao na muwe mnakutana kupeana mirejesho.

Sawa mkuu 😁😁

IMG_20211023_125510_862.jpg
 
  • Love
Reactions: BAK

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
246
500
Sizani kama utakuwa unapatia kusema wajiandae kwa uchaguzi sema wajiandae kwa kususa kama Mwenyekiti anavyotoa maelekezo sikuzote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom