CHADEMA ni mti wenye maembe, lazima utupiwe mawe - Mbowe

That was good interview from presidential material. Siyo ubabaishaji wa kilaza wetu JK.

Naona manazi wa CCM wamejipanga msururu mrefu na mawe yao tayari kutupia mawe mti wenye maembe.
 
- Mushi hebu soma tena hayo juu maneno ya Mwenyekiti wako hayafanani kabisa na maneno yako mkuu, ni bora uache tu maana tunajaribu kuwa very fair na hizi constructive criticism,

- Usilazimishe tukaenda avenue tusiyoitaka mkuu, wewe unaona mabingwa wa hoja wametulia hapa, maana sio siri kwamba kuna mazuri na mapungufu kwenye hii maneno ya Mwenyekiti wako, anayesema amejifunza kutoka CCM namna ya kuminya demokrasia na katiba.

Respect.

FMEs!
FMES nitakujibu very simply,kama wewe ama mchangiaji mwingine yeyote anavyoichambua habari hii,na mimi vile vile nafanya hivyo....Hapo juu nilivyoelewa mimi ni kwamba mwenyekiti huyo ameonyesha uwezo wa kuongoza kwasababu ameprove kwamba chama kina malengo ama objectives...Kama wadau wa chama wakaka chini wakaona maamuzi haya ama yale yanaendana na objectives za chama basi without hesitation watafanya hivyo mkuu.
 
- ........... - Makundi ndani ya vyama vya siasa ndio modern politics, hayakwepeki cha muhimu ni interest ya chama inayokwenda sawa na ya taifa, ni afadhali kukidhoofisha chama now kwa faida yake ya baadaye, lakini in the process pia ku-preserve principles za uhuru wa demokrasia na respect kwa katiba ya chama kwa vizazi vijavyo. Historia ya siasa sometimes inakwenda sambamba na ya maisha, kwamba ukweli ukipindishwa there is always a heavy price to be payed ili kuja kuurekebisha tena mbele ya safari, na siku zote binadam ni wazito sana ku-take steps za kuurekebisha kwa sababu ya a fake comfortability affordable na upindishwaji wa ukweli in the past, that si where CCM is now, nani ataurekebisha ukweli and inasikitisha sana kuona Chadema wanakuja kurudia tena exactly, the same pattern that is very sad indeed!, and I will never forgive Freeman for his role on this fugazz democracy and I mean it! Mungu anasema my people are dying kwa sababu ya kukosa hekima, hili taifa tutaendelea kuzunguka pale pale miaka nenda miaka rudi, no progress!

Mungu Ibariki Tanzania!

Respect.

Field Marshall Es!

Maneno mazito sana hayo Mkuu mwenye macho asome..........
 
FMES

1. nitakujibu very simply,kama wewe ama mchangiaji mwingine yeyote anavyoichambua habari hii,na mimi vile vile nafanya hivyo....

2. Hapo juu nilivyoelewa mimi ni kwamba mwenyekiti huyo ameonyesha uwezo wa kuongoza kwasababu ameprove kwamba chama kina malengo ama objectives...

3. Kama wadau wa chama wakaka chini wakaona maamuzi haya ama yale yanaendana na objectives za chama basi without hesitation watafanya hivyo mkuu.

- Mushi hakuna chama duniani ambacho hakina objectives, tatizo ni what objectives na kwa faida ya nani? na wangapi?

- Kuiminya demokrasia na katiba ndani ya chama kwa kuweka nyuma haki ya wanachama, unasema ndiyo objective ya Chadema, eti hii ni kwa faida ya nani ndani ya Chadema? Kwa sababu huwezi kusema ni ya chama kizima, Zitto hakuombwa na chama kizima ila aliombwa na wazee wachache wa chama, kinyume na katiba ya chama, unasema hii ndio objective ya Chadema as chama? Ili itusaidie nini kwenye taifa la leo na la kesho?

- Objective namba moja ya chama chochote cha siasa huwa ni kushinda uchaguzi, sasa tunailaumu CCM hapa collectivelly kwa sababu wako radhi kupindisha katiba zao wenyewe ili tu kushinda uchaguzi, na matokeo yake huhamishia upuuzi wao wa kupindisha katiba mpaka kwenye serikali kuu ama taifa, sasa hapa na Chadema nao wanakuja na objective zile zile kama za CCM zilizotufikisha taifa hapa tulipo, halafu wewe unasema Mwenyekiti wako ameonyesha objectives, vipi ndugu yangu hivi ni kweli unaelewa kinachosemwa hapa au?

Respect.

FMEs!
 
- Mushi hebu soma tena hayo juu maneno ya Mwenyekiti wako hayafanani kabisa na maneno yako mkuu, ni bora uache tu maana tunajaribu kuwa very fair na hizi constructive criticism,

- Usilazimishe tukaenda avenue tusiyoitaka mkuu, wewe unaona mabingwa wa hoja wametulia hapa, maana sio siri kwamba kuna mazuri na mapungufu kwenye hii maneno ya Mwenyekiti wako, anayesema amejifunza kutoka CCM namna ya kuminya demokrasia na katiba.

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES mwenyekiti wangu kivipi?
Hayo hapo chini kama ulivyotangulia kuya quote hayajanipa shida kuyaelewa...

3. Tunaweza kusema kweli ni demokrasia lakini tukatengeneza kambi mbili ndani ya chama na unapotengeneza kambi mbili ndani ya chama, chama hakiwezi kuwa kimoja tena. Mtaanza kuwindana badala ya kukijenga chama chenu na tunajifunza, kwenye chama cha siasa uhuru na demokrasia yoyote ina mipaka.
Hapo juu kwani si kweli mkuu?Kwani kuna uhuru na demokrasia visivyokuwa na mipaka? Mipaka ni sheria na taratibu zilizowekwa...Uhuru wa kwenda popote,kusema chochote almradi usivunje sheria,sasa hapo nini kisichoeleweka mkuu?kwani hukujua demokrasia na uhuru vina mipaka inayoitwa sheria?

Swali: Maana yake nini, je, mnaweza kubadili utaratibu wa kupata mwenyekiti au viongozi wengine?
Mbowe: Tunaweza kutazama na kuamua kwa busara na manufaa ya chama chetu na taifa kwa siku za usoni

4. Kwa hiyo, wakati mwingine tunajifunza. CCM wapo kwa miaka mingi, kuna vitu tunaweza kujifunza. Kwa sura ya haraka haraka mnaweza kuona ni kuua demokrasia lakini kwa mtazamo mpana pengine ni njia ya kukiimarisha zaidi chama chetu.
Hapo juu aliposema wanaweza kutazama kwa busara na manufaa ya chama chao na Taifa kwa siku za usoni ndio uamuzi waliouchukua unaoendana na objectives zao,sasa hapo pia kuna shida kuelewa kuwa panga pangua,piga ua maamuzi yoyote ya chama ama hata organization yoyote ni lazima yashabihiane na objectives za the so organization?
Na pia kujifunza kutoka kwa CCM haina maana kujifunza ufisadi wa CCM,hapana,pengine ni kwa namna wanavyoshughulikia issue zenye kutaka kuleta mgawanyiko. Mkuu pia ni lazima ukumbuke kuwa demokrasia ni neno ambalo ni very complex na kwa mtazamo wangu halina halina nguvu yoyote kwenye hoja hii kwasababu kama katiba ingekuwa imevunjwa,then tungeweza kusema demokrasia imeminywa...Bado sijaona kama kutoa ushauri ni kuvunja katiba endapo aliyepewa ushauri huo ameridhia.
 
Last edited:
- Mushi hakuna chama duniani ambacho hakina objectives, tatizo ni what objectives na kwa faida ya nani? na wangapi?

- Kuiminya demokrasia na katiba ndani ya chama kwa kuweka nyuma haki ya wanachama, unasema ndiyo objective ya Chadema, eti hii ni kwa faida ya nani ndani ya Chadema? Kwa sababu huwezi kusema ni ya chama kizima, Zitto hakuombwa na chama kizima ila aliombwa na wazee wachache wa chama, kinyume na katiba ya chama, unasema hii ndio objective ya Chadema as chama? Ili itusaidie nini kwenye taifa la leo na la kesho?

- Objective namba moja ya chama chochote cha siasa huwa ni kushinda uchaguzi, sasa tunailaumu CCM hapa collectivelly kwa sababu wako radhi kupindisha katiba zao wenyewe ili tu kushinda uchaguzi, na matokeo yake huhamishia upuuzi wao wa kupindisha katiba mpaka kwenye serikali kuu ama taifa, sasa hapa na Chadema nao wanakuja na objective zile zile kama za CCM zilizotufikisha taifa hapa tulipo, halafu wewe unasema Mwenyekiti wako ameonyesha objectives, vipi ndugu yangu hivi ni kweli unaelewa kinachosemwa hapa au?

Respect.

FMEs!

Again...Hiyo kauli ya "Mwenyekiti wako" Haina mantiki kwasababu naona ni kama vile ulinikabidhi kadi.
CHADEMA kama organization yoyote ile ie CCM as a political party must and should adhere to their objectives.Hata katiba iko pale kusapoti namna ya kufikia objectives hizo.Kwenye kuyafikia malengo kuna ups and downs,lakini zikitumiwa vizuri zinakuwa more constructive...Politics zangu mimi ni za tofauti nilidhani ulishalifahamu hilo....Ni za common sense.Sisi kama Taifa hatuna malengo na ndio maana hata katiba yetu ni mbovu kwasababu haina guidance yoyote,na haiwezi kuwa na guidance kwasababu bado hatuna objectives ama malengo ya kitaifa.Hiyo ni issue nyingine lakini ngoja turudi kwenye hii ya chama.

Kama nilivyoelezea hapo juu,hakuna sheria inaitwa demokrasia,demokrasia simply ni uwezo wa watu kuwachagua viongozi watakaowatumikia,ni uwezo wa watu hao kuongoza kupitia kwa viongozi,the ability to rule though any form of leadership or government....Wazee hao wa chama kwa kutoa ushauri,sidhani kama walifikia hatua ya kuwanyima wanachama demokrasia ya kuchagua kiongozi wanayemtaka....Na kama ulivyosema hapo juu,kuwa objective ya chama chochote ni kushinda uchaguzi,je utashinda vipi uchaguzi kama chama kikigawanyika kama ilivyotokea kwa vyama vingine vya upinzani vilivyoathirika na migawanyiko?Usifananishe kabisa migawaniko ya CCM yenye dola na ile ya CHADEMA.
 
Mkuu FMES mwenyekiti wangu kivipi?
Hayo hapo chini kama ulivyotangulia kuya quote hayajanipa shida kuyaelewa...Hapo juu kwani si kweli mkuu?Kwani kuna uhuru na demokrasia visivyokuwa na mipaka? Mipaka ni sheria na taratibu zilizowekwa...Uhuru wa kwenda popote,kusema chochote almradi usivunje sheria,sasa hapo nini kisichoeleweka mkuu?kwani hukujua demokrasia na uhuru vina mipaka inayoitwa sheria?

- Mushi mipaka ya demokrasia katika chama cha siasa huwekwa na katiba ya chama, na sio maamuzi ya busara za wazee wa chama, kwa hiyo Zitto alitakiwa kuwa amevunja katiba one, two, three ya Chadema ili kuwekewa mipaka na hiyo katiba, unajua kwamba that is not the case hapa Zitto hakuvunja katiba yoyote ya Chadema mpaka kuwekewa mipaka ya hiyo katiba.

Hapo juu aliposema wanaweza kutazama kwa busara na manufaa ya chama chao na Taifa kwa siku za usoni ndio uamuzi waliouchukua unaoendana na objectives zao,sasa hapo pia kuna shida kuelewa kuwa panga pangua,piga ua maamuzi yoyote ya chama ama hata organization yoyote ni lazima yashabihiane na objectives za the so organization?[/QUOTE]

- Objectives za chama chochote cha siasa ni lazima zifuatwe on the means affordable na katiba ya kile chama, ilikubaliwa na kupitishwa na wanachama wote wa kile chama, wazee wenye buisara ya chama wanahitaji kuongeza katiba au kuifanyia marekebisho katiba kwanza kabla ya kumuengua mwanachama kiongozi wa kile chama katika kugombea uongozi wa juu wa chama,

- Ukishaona objectives za chama cha siasa zinatafutwa kwa njia za kuminya demokrasia na katiba ya chama, basi ujue hizo objectives hazina masilahi ya chama wala wala taifa, isipokuwa tu kile kikundi kidogo ndani ya chama kilichoshiriki kuiminya katiba na demokrasia kwa manufaa yao binafsi, demokrasia inahitaji kile kikundi kidogo kuwaelimisha wanachama wake wote madhara ya kumpa Zitto, uongozi ili wasimpigie kura kwenye box, lakini sio kumng'oa na busara za wazee wa chama, huko ni kuiminya demokrasia na katiba ya chama, objectives za chama makini zenye masilahi ya taifa mbele, haziwezi kupatikana kwa njia za kuipinidisha katiba yake.

Na pia kujifunza kutoka kwa CCM haina maana kujifunza ufisadi wa CCM,hapana,pengine ni kwa namna wanavyoshughulikia issue zenye kutaka kuleta mgawanyiko.

- Sasa hapo ndipo mnapofurahisha sana, kwa sababu mnashindwa kuelewa chanzo cha hiyo migawanyiko kwamba inatokea kutokana na kuminywa kwa demokrasia na katiba ya chama, sasa utatatuaje tatizo la migawanyiko kwa kutumia njia ile ile ambayo in the first place ndiyo imewafikisha CCM kwenye njia panda ya kutaka kugawanyika? Na kuelewana only kwa sababu ya ku-keep power?

- Moja ya sababu kubwa za kushamiri kwa ufisadi CCM, ni pamoja na ku-maintain makundi yasigawanyike, sasa utasemaje kwamba unaweza kuazima the theory bila ya kuazima ufisadi wenyewe kutoka huko CCM?

Mkuu pia ni lazima ukumbuke kuwa demokrasia ni neno ambalo ni very complex na kwa mtazamo wangu halina halina nguvu yoyote kwenye hoja hii kwasababu kama katiba ingekuwa imevunjwa,then tungeweza kusema demokrasia imeminywa...Bado sijaona kama kutoa ushauri ni kuvunja katiba endapo aliyepewa ushauri huo ameridhia

- Aliyesema hayo ni Mwenyekiti wako kwamba watu wanadai demokrasia imeminywa Chadema, mbona CCM wanafanya always, ukishaminya demokrasia ni lazima pia na katiba iwe imeguswa, they go in hand.

Respect.

FMEs!
 
CHADEMA kama organization yoyote ile ie CCM as a political party must and should adhere to their objectives.Hata katiba iko pale kusapoti namna ya kufikia objectives hizo.

- They should adhere to their katiba kwanza and then objectives ambazo zinatakiwa kufikiwa under guidance ya katiba ya chama.

Kwenye kuyafikia malengo kuna ups and downs,lakini zikitumiwa vizuri zinakuwa more constructive...Politics zangu mimi ni za tofauti nilidhani ulishalifahamu hilo....Ni za common sense.

- Zinachotakiwa kuitwa ups and downs, kwenye politics za chama, zinatakiwa ziwe natural, badala ya manmade kama unazozingumzia, haziwezi kuwa constrctive isipokuwa kwa wachache waliohusika na kuzi-made hizo ups and downs!

Sisi kama Taifa hatuna malengo na ndio maana hata katiba yetu ni mbovu kwasababu haina guidance yoyote,na haiwezi kuwa na guidance kwasababu bado hatuna objectives ama malengo ya kitaifa.Hiyo ni issue nyingine lakini ngoja turudi kwenye hii ya chama.

- Mis-information, kama taifa tusingefika hapa tulipo bila objectives na guidance, tatizo ni kwamba tumeiminya demokrasia na katiba in the process ya kufika hapa tulipo, ndio maana hata Chadema wanaona hakuna ubaya kuminya kidogo mbona CCM nao wanafanya, lakini in the big picture wanashindwa ku-grasp kwamba ndio hasa sababu iliyolifikisha taifa hapa tulipo.

Wazee hao wa chama kwa kutoa ushauri,sidhani kama walifikia hatua ya kuwanyima wanachama demokrasia ya kuchagua kiongozi wanayemtaka....

- Ingekua kweli kusingekua na majibishano kati ya Zitto na Chadema baada ya yeye kurudisha fomu, na pia Mwenyekiti asingeulizwa haya maswali na tusingekua na huu mjadala period!
Na kama ulivyosema hapo juu,kuwa objective ya chama chochote ni kushinda uchaguzi,je utashinda vipi uchaguzi kama chama kikigawanyika kama ilivyotokea kwa vyama vingine vya upinzani vilivyoathirika na migawanyiko?Usifananishe kabisa migawaniko ya CCM yenye dola na ile ya CHADEMA.

- Unasema nisifananishe na CCM, ambayo wewe mwenyewe umesema hakuna tatizo kuwaiga kwenye ku-curb migawanyiko yao, kugawanyika au kutoguwanyika kwa chama chochote cha siasa Tanzania sasa hivi kuacha CCM, kumeongeza au kupunguza nini mkuu as far as CCM is concerned na kushinda utawala wa taifa?

- Sasa huoni kugawanyika sasa ni better kuliko kuungana kifisadi fisadi na kutuharibia taifa in the future?

Respect.

FMEs!
 
- Mushi mipaka ya demokrasia katika chama cha siasa huwekwa na katiba ya chama, na sio maamuzi ya busara za wazee wa chama, kwa hiyo Zitto alitakiwa kuwa amevunja katiba one, two, three ya Chadema ili kuwekewa mipaka na hiyo katiba, unajua kwamba that is not the case hapa Zitto hakuvunja katiba yoyote ya Chadema mpaka kuwekewa mipaka ya hiyo katiba.

Hapo juu aliposema wanaweza kutazama kwa busara na manufaa ya chama chao na Taifa kwa siku za usoni ndio uamuzi waliouchukua unaoendana na objectives zao,sasa hapo pia kuna shida kuelewa kuwa panga pangua,piga ua maamuzi yoyote ya chama ama hata organization yoyote ni lazima yashabihiane na objectives za the so organization?[/QUOTE]

- Objectives za chama chochote cha siasa ni lazima zifuatwe on the means affordable na katiba ya kile chama, ilikubaliwa na kupitishwa na wanachama wote wa kile chama, wazee wenye buisara ya chama wanahitaji kuongeza katiba au kuifanyia marekebisho katiba kwanza kabla ya kumuengua mwanachama kiongozi wa kile chama katika kugombea uongozi wa juu wa chama,

- Ukishaona objectives za chama cha siasa zinatafutwa kwa njia za kuminya demokrasia na katiba ya chama, basi ujue hizo objectives hazina masilahi ya chama wala wala taifa, isipokuwa tu kile kikundi kidogo ndani ya chama kilichoshiriki kuiminya katiba na demokrasia kwa manufaa yao binafsi, demokrasia inahitaji kile kikundi kidogo kuwaelimisha wanachama wake wote madhara ya kumpa Zitto, uongozi ili wasimpigie kura kwenye box, lakini sio kumng'oa na busara za wazee wa chama, huko ni kuiminya demokrasia na katiba ya chama, objectives za chama makini zenye masilahi ya taifa mbele, haziwezi kupatikana kwa njia za kuipinidisha katiba yake.

- Sasa hapo ndipo mnapofurahisha sana, kwa sababu mnashindwa kuelewa chanzo cha hiyo migawanyiko kwamba inatokea kutokana na kuminywa kwa demokrasia na katiba ya chama, sasa utatatuaje tatizo la migawanyiko kwa kutumia njia ile ile ambayo in the first place ndiyo imewafikisha CCM kwenye njia panda ya kutaka kugawanyika? Na kuelewana only kwa sababu ya ku-keep power?

- Moja ya sababu kubwa za kushamiri kwa ufisadi CCM, ni pamoja na ku-maintain makundi yasigawanyike, sasa utasemaje kwamba unaweza kuazima the theory bila ya kuazima ufisadi wenyewe kutoka huko CCM?

- Aliyesema hayo ni Mwenyekiti wako kwamba watu wanadai demokrasia imeminywa Chadema, mbona CCM wanafanya always, ukishaminya demokrasia ni lazima pia na katiba iwe imeguswa, they go in hand.

Respect.

FMEs!

Kama Mh Zitto angerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti halafu wakamyima nafasi hiyo kwasababu aliukataa ushauri wa wazee hao wa chama basi hapo tunge conclude kwamba katiba na demokrasia viliminywa...Mwalimu kama mstaafu alikuwa akitoa ushauri wa kichama na kiserikali ambapo maamuzi na circumsatances unaweza kuzitafsiri kwa namna nyingn=ine kama unavyojaribu kufanya kwenye issue hii...Na ndio maana mfano huo wa CCM unaleta mantiki.....Kama ushauri wa wazee hao ungeimpact utaratibu wa kumteua mgombea mara bada ya Zitto kuendelea na msimamo wake kugombea,basi hapo kungekuwa na direct implications za uvunjaji wa katiba....Ila kwasasa hakuna.
 
- They should adhere to their katiba kwanza and then objectives ambazo zinatakiwa kufikiwa under guidance ya katiba ya chama.

- Zinachotakiwa kuitwa ups and downs, kwenye politics za chama, zinatakiwa ziwe natural, badala ya manmade kama unazozingumzia, haziwezi kuwa constrctive isipokuwa kwa wachache waliohusika na kuzi-made hizo ups and downs!

- Mis-information, kama taifa tusingefika hapa tulipo bila objectives na guidance, tatizo ni kwamba tumeiminya demokrasia na katiba in the process ya kufika hapa tulipo, ndio maana hata Chadema wanaona hakuna ubaya kuminya kidogo mbona CCM nao wanafanya, lakini in the big picture wanashindwa ku-grasp kwamba ndio hasa sababu iliyolifikisha taifa hapa tulipo.

- Ingekua kweli kusingekua na majibishano kati ya Zitto na Chadema baada ya yeye kurudisha fomu, na pia Mwenyekiti asingeulizwa haya maswali na tusingekua na huu mjadala period!

- Unasema nisifananishe na CCM, ambayo wewe mwenyewe umesema hakuna tatizo kuwaiga kwenye ku-curb migawanyiko yao, kugawanyika au kutoguwanyika kwa chama chochote cha siasa Tanzania sasa hivi kuacha CCM, kumeongeza au kupunguza nini mkuu as far as CCM is concerned na kushinda utawala wa taifa?

- Sasa huoni kugawanyika sasa ni better kuliko kuungana kifisadi fisadi na kutuharibia taifa in the future?

Respect.

FMEs!
Mabishano kati ya Zitto(CHADEMA)na CHADEMA ni malumbano ya kisiasa ambayo hayatoi ushahidi wowote wa katiba kuvunjwa.Kama nilvyosema hapo awali,nachangia kutokana na habari ambazo tumeweza kuzipata,banafsi sijui katiba ya CHADEMA,lakini kwa kadri mjadala unavyoendelea naweza ku conclude so far kutokana na maelezo kuwa situation nzima imekuwa delt with on the merits or grounds to avoid divisions...Na nature ya organization hii this time a political party hai encourage divisions kama malengo yao yanaendana na wanachokifanya,ukishawauliza malengo yao wao kama CHADEMA ni nini,then wakishakuuleza basi utajua wazi kuwa maamuzi yaliyofikiwa ni katika kufacilititate mafanikio towards malengo hayo....Been it kuumaliza ufisadi you name it.
 
Godfrey Dilunga

Septemba 16, 2009

Swali: Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti mshindani wako, Kabwe Zitto, kwa kushauriwa na wazee alijitoa, unazungumziaje hatua hiyo?

Mbowe: tuna wajibu zaidi kwa chama wakati mwingine haki zetu zikiwa nyuma.

1. Hivyo, tunapozungumzia wajibu wetu kitaifa moja kwa moja tunaangalia jambo lenye manufaa zaidi kwa chama.

2.tunaweza kutenda demokrasia,lakini kwa gharama ya kuua upinzani Tanzania.

3.lakini kwa demokrasia hii tuna hatari yaani tunafanya experiment (majaribio) ambayo inaweza kuligharimu taifa.

4. Tunaweza kusema kweli ni demokrasia lakini tukatengeneza kambi mbili ndani ya chama na unapotengeneza kambi mbili ndani ya chama, chama hakiwezi kuwa kimoja tena.

5. Mtaanza kuwindana badala ya kukijenga chama chenu na tunajifunza, kwenye chama cha siasa uhuru na demokrasia yoyote ina mipaka.

6. Tunaweza kutazama na kuamua kwa busara na manufaa ya chama chetu na taifa kwa siku za usoni kuwa na utaratibu au mfumo mzuri zaidi wa namna ya kuepusha mgawanyiko kama huu.

8. Wengine wamehukumu kwamba CHADEMA wameminya demokrasia, sisi tunawauliza wenzetu CCM wanaopiga hiyo kelele mbona majina ya wagombea urais wao hawapeleki yote kwenye mkutano mkuu na anapokuwa rais anayepaswa kumaliza awamu ya pili, wanapitisha jina moja?

9. Kwa hiyo, wakati mwingine tunajifunza. CCM wapo kwa miaka mingi, kuna vitu tunaweza kujifunza. Kwa sura ya haraka haraka mnaweza kuona ni kuua demokrasia lakini kwa mtazamo mpana pengine ni njia ya kukiimarisha zaidi chama chetu.

- Mushi maelezo yako mengi sidhani kama yanazingatia haya juu yaliyosemwa na Mwenyekiti wa Chadema, sasa naomba ufafanue neno moja baada ya jingine katika hizi quote hapo juu, na nipo na wewe mkuu mpaka mwisho.

- Ingawa pia ninaheshimu elimu nzito sana unyaoitoa so far on this subject.

Ni kweli mkuu maelezo hayo ya mwenyekiti wa CHADEMA jinsi yalivyo yanaweza kupelekea mtizamo wa tofauti,nadhani ilikuwa ni namna tu ya kuelezea...Hata hivyo amejitahidi kwa kiwango kikubwa kwenye hoja za mahojiano haya as a whole.
 
- Sasa nimekukubali tena sana Mkuu Mushi, great debate na ninakupa Salute! Keep it up!

Respect.

FMEs!
 
Hiki alisubiriwa kufanya muda mrefu sana uliopita; politics is about timing. Impact ya majibu yake hapa kwa kweli ni minimal. Angeitisha na yeye mkutano na waandishi wa habari during prime time na kujibu hoja za JK n.k lakini kuzungumza na gazeti moja kujibu maswali muhimu sana ambayo watu wamekuwa wakiyauliza kwa muda mrefu ni kushindwa kutumia nafasi vizuri.
 
Mwanakijiji,
I think the timing was appropriate. Hii ilikuwa ni baada tu ya mkutano mkuu wa CHADEMA. Asingeweza kuyazungumzia yote aliyozungumza na kuwa na impact kama haya yangesemwa kabla ya uchaguzi mkuu, no?
 
NIMEKUELEWA LEO NA UMENIDHIHIRISHIA KUWA UNAUWEZO. big up ninakuunga mkono kuanzia leo 2009/09/22
 
- Mushi hakuna chama duniani ambacho hakina objectives, tatizo ni what objectives na kwa faida ya nani? na wangapi?

- Kuiminya demokrasia na katiba ndani ya chama kwa kuweka nyuma haki ya wanachama, unasema ndiyo objective ya Chadema, eti hii ni kwa faida ya nani ndani ya Chadema? Kwa sababu huwezi kusema ni ya chama kizima, Zitto hakuombwa na chama kizima ila aliombwa na wazee wachache wa chama, kinyume na katiba ya chama, unasema hii ndio objective ya Chadema as chama? Ili itusaidie nini kwenye taifa la leo na la kesho?

- Objective namba moja ya chama chochote cha siasa huwa ni kushinda uchaguzi, sasa tunailaumu CCM hapa collectivelly kwa sababu wako radhi kupindisha katiba zao wenyewe ili tu kushinda uchaguzi, na matokeo yake huhamishia upuuzi wao wa kupindisha katiba mpaka kwenye serikali kuu ama taifa, sasa hapa na Chadema nao wanakuja na objective zile zile kama za CCM zilizotufikisha taifa hapa tulipo, halafu wewe unasema Mwenyekiti wako ameonyesha objectives, vipi ndugu yangu hivi ni kweli unaelewa kinachosemwa hapa au?

Respect.

FMEs!

Katiba ya CHADEMA Inatambua uwepo wa kundi la wazee na inatamka wazi kuwa ni washauri ndani ya chama , tena imeenda mbali zaidi kwa kutambua kokasi ya wazee ndani ya chama , hivyo kusema kuwa ni kwenda kinyume na katiba ya chama inaonyesha huijui katiba ya CHADEMA.
 
Kujenga demokrasia ni ngumu, mimi nampongeza sana Mboe mpaka hapo alipofikisha CHADEMA, ndo maana alipoulizwa kuwa makosa waliyofanya ndani ya uongozi wake akukataa, alisema yapo.

Swala la kumshauri mgombea kujitoa kumwachia mwingine ni la kawaida ndani ya vyama. Hilary Clinton alishauriwa hivyo, na aligundua hivyo kuwa kuendelea na kinyanganyiro na Obama ni kuumiza Chama chake, hivyo alikubali kujiondoa kabla ya mkutano mkuu wa Democrat ili amuunge mkono Obama na kuomba wafuasi wake wamkubali Obama.
Hivyo kufanya hivyo kwa namna moja ni kujenga demokrasia kwani mgombea anabaki na uhuru wa kuamua kuendelea au kuachia.
Naitakia Mboe na CHADEMA mafanikio zaidi.
 
Back
Top Bottom