Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,378
Ni lini mbowe anastafu ili kupisha uchaguzi wa kidemokrasia?Hiki ni kikao cha ndani tu , na hapa ni Iringa Mjini , siongezi neno View attachment 1153353
View attachment 1153354View attachment 1153354
ukisikia ccm imeng'olewa hapohapo ujue Mbowe anastaafu na mimi najiondoa rasmi jfNi lini mbowe anastafu ili kupisha uchaguzi wa kidemokrasia?
ukisikia ccm imeng'olewa hapohapo ujue Mbowe anastaafu na mimi najiondoa rasmi jf
Hakika !Mbowe ni baba wa demokrasia Tanzania
Hili neno demokrasia tunalitafsiri tofauti wengine.!Mbowe ni baba wa demokrasia Tanzania
pole sana mkuuHili neno demokrasia tunalitafsiri tofauti wengine.!
Sawa ishia hapo hapo nisije kukuharibia siku yako kesho ukachelewa kaziniHili neno demokrasia tunalitafsiri tofauti wengine.!
ukisikia ccm imeng'olewa hapohapo ujue Mbowe anastaafu na mimi najiondoa rasmi jf
Mkuyenge jina baya sana !CHADEMA, CCM ZIMA
TUPO ACT-WAZALENDO
Oh eti tumekatazwa kufanya mikutano ya kisiasa. Sasa hapo sijui wanafanya nini.
Subirini mkishika dola mtaruhusu mikutano ya hadhara kufanykia kila siku.Kikao Cha ndani ,sio mkutano wa hadhara
Na lini nafasi ya uenyekiti CCM itagombaniwa?Ni lini mbowe anastafu ili kupisha uchaguzi wa kidemokrasia?
unatia aibu sana ! kwani awamu zote zilizoruhusu siasa ulipungukiwa nini ?Subirini mkishika dola mtaruhusu mikutano ya hadhara kufanykia kila siku.
Hili neno demokrasia tunalitafsiri tofauti wengine.!
Mbowe ni baba wa demokrasia Tanzania