CHADEMA ni mfupa uliomshinda fisi (Slaa, Zitto)

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Mwenye chama chake aliondoka baada ya kuona kuwa chama kimeingiwa na wapiga dili wanauza chama kwa mtu yoyote ukiwa na akili timamu huwezi amini kuwa mtu kama yule mwanasheria mjaluo ambaye alikuwa afisa nyeti wa serikali anaweza kuwa mwanasheria mkuu wa chama ila hiki chama kilimuamini na kumpa uanasheria wa chama na sijui hicho cheo Tundu alikipoka lini kutoka kwa mjaluo yule, chama kinafanya random recriutment kikiwa kimejaa moles ndani mtu kama aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi anatangaza kujiunga na chama na mnamkaribisha kwa matarumbeta mawaziri wakuu wawili kwa awamu mbili tofauti wanatangaza kujiunga na chama mnashangilia leo mnapigana risasi wenyewe mnaanza kumtafuta mchawi kwa jirani wakati mnaye ndani, wenye chadema yao walishaondoka zamani baada ya kugundua chama kimejaa moles sasa wewe ukija na mahaba yako ya mihemko unakutana na watu wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unamfahamu aliyepiga risas, kamanda wa polisi dodoma amesema mwenye taarifa hiyo aende asaidie polisi, sasa wew tangu ujue kutumia keyboard tu basi kila kitu lazima upost,..
Jitambue au ndo zao la shukuru Kawambwa ktk elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom