Chadema ni chama pekee chenye uwezo wa kuleta mapinduzi ya kimaendeleo

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
245
225
Naam!

Mimi ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali zinazo jadiliwa hapa jamvini..Kwa kweli nimekuwa na amasika muno na mimi kutoa mchango wangu.

Naamini CHADEMA ni chama pekee chenye uwezo wa Kuleta mapinduzi ya kimaendeleo katika nchi hii.

Kwa taarifa yenu, hawa watu wa CCM,wamejenga system ambayo haiwezi kuruhusu maendeleo ya watu ambao hawako katika system yao.

La msingi ni Chama kujipanga vizuri,kuondoa hao mamluki(ambao wapo wengi tu) wamepenyezwa na CCM baada ya Kuona Chama kina imarika kila kukicha,ili waweze kukidhoofisha.
 
PPM

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
838
195

Hilo linafahamika, kampeni zimeisha, kinachotakiwa kila mtu kwa wakati wake, anapotoka mjini AU kijijini awaeleze wananchi kwa nini tunahitaji kuwa na chama cha upinzani chenye nguvu kwa ajili ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Hii peke ndiyo itasaidi kumng'oa fisadi CCM
 
RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,373
2,000
Tunahitaji kujipanga ikiwezekana kila mmoja wetu anasehemu inaitwa "Home town" au Village, tukiweza kukiwakilisha chama vizuri huko, naimani ujumbe utafika mapema zaidi na tutapiga hatua kubwa. Na wakati wa chaguzi za serikali mitaa ndo kabisaa inatakiwa tuhakikishe tunavuna kila sehemu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom