CHADEMA ni chama kipya kila siku

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari !

Nukuu " Siasa nzuri ni ushawishi wenye nguvu na sio nguvu yenye ushawishi"

Ukweli usiopingika kuwa chama cha siasa CHADEMA ndio tumaini pekee kwa Tanzania na taifa lote yaani mjini na vijijini kwa ujumla wake katika kutoa na kusimamisha viongozi wanaokubalika, kuwa na nguvu kwa jamii katika ushawishi.

a) CHADEMA ndio chama pekee kinachoangaliwa kwa macho mawili yaliyosafi kitaifa.

b) CHADEMA ni chama kinachotegemewa mwaka huu 2020 kuleta ushindani mkubwa na kuhakikisha kinapata viti vingi vya uwakilishi katika uchaguzi wa Oktoba.

c) CHADEMA ndio tumaini pekee kwa rika zote katika kuleta maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja, jamii na taifa kwa ujumla.

d) CHADEMA ni chama ambacho kina wafuasi wengi sana na wapiga kura wanaokubali Sera na namna ya aina ya wawakilishi wanaosimamishwa kukiwakilisha chama.

e) CHADEMA ndio chama pekee kilichopakwa tope la maji chafu mfano udini, ukabila, ukanda, uhuni, lakini bado wanaokisema wanakikubali kiaina.

f) CHADEMA ndio habari hapa Tanzania. Ukitaka uwe maarufu basi ujitoe tu ufahamu kuizungumzia CHADEMA vibaya upendavyo.

ONYO

Ujamaa ni sera iliyobakwa.
 
Njoo na ile I'd yako ya Jacob salu au imepigwa ban ya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm huwa mnajiabisha tu mkitaka kuona nguvu ya cdm hebu jaribuni kuacha kutumia Dora muone mnavyo nyonyolewa mchana kweupe dola inawabeba sana tumeshuhudia majimbo mengi yanatangazwa kwa nguvu ya umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufa kwa CHADEMA ndio kukoje? Hivi Wale waliowachangia kina Mbowe milioni 350 ili watoke Jela, ukiwaambia kwamba CHADEMA inakufa, itakufa ama imekufa si watakuona kichaa uliyetoroka Mirembe?
mlijitaidi propaganda kuonyesha kwamba zile fedha mlichangiwa kumbe ni uzushi.
buriani chadema upepo umebadirika october tunawazika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom