YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kikwete aliposhika uraisi allijipambanua wazi kuwa ni rafiki wa upinzani akawa hadi akiwaalika Ikulu kunywa chai na kupiga nao story.
Aliwaamini mno wakisema yule fisadi haraka haraka anavunja baraza na kuliunda upya.Amelivunja mara nyingi kutokana na hoja zao.
Alikuwa na imani kabisa kuwa CHADEMA ni sehemu mahiri ya kupatia taarifa za kuaminika za ufisadi nk.Na akawachukulia kama serious reliable friends in politics.
Walipokuja kuanza kumgeuzia kibao hadi kufikia kufuta List of shame kwenye website yao hata mimi nilibaki mdomo wazi.
Magufuli asije hangaika kuwaamini tena CHADEMA they have proved beyond reasonable doubt that they are unrealiable.Hakuna mtawala yeyote serious awe raisi,mkuu wa mkoa au wilaya anayehitaji kufanya consultation nao kwa mambo serious ya kimkoa au wilaya au ya kitaifa na kupoteza muda kwa kunywa nao chai .IT IS WASTAGE OF TIME.
Kama kuna mtu hawakumtendea haki Kikwete ni CHADEMA.Aliwaamini wakamwangusha.Kuja kuaminika tena CHADEMA na viongozi walioko madarakani it may take 50 years from now.
Wangekuwa RELIABLE wakati wa Kikwete Magufuli asingeona shida kuendelea kuwa nao karibu wangeendelea kunywa chai na kunywa juisi Ikulu.
Lakini kwa sasa NI HAPA KAZI TU