Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,804
- 1,866
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia.
Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.
CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.
Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu.
Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.
Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.