Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Kwanini nasema hivyo?
Kwa kuwa CCM na CUF zimeungana kuunda serikali ya pamoja hivyo CUF wanatekeleza ilani ya CCM.
Wakati huo huo, CUF imeungana na vyama vingine vya siasa ikiwepo CHADEMA.
Sasa basi, kama CUF na CCM ni kitu kimoja, CHADEMA na CUF ni kitu kimoja ni dhahiri kwamba CHADEMA na CCM ni kitu kimoja.
Kwa mantiki hiyo, nchini Tanzania chama cha siasa ni kimoja tu CCM na hakuna chama kingine.
SHINDANA KWA HOJA NA SI MATUSI.