CHADEMA ni CCM

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Kwanini nasema hivyo?
Kwa kuwa CCM na CUF zimeungana kuunda serikali ya pamoja hivyo CUF wanatekeleza ilani ya CCM.

Wakati huo huo, CUF imeungana na vyama vingine vya siasa ikiwepo CHADEMA.

Sasa basi, kama CUF na CCM ni kitu kimoja, CHADEMA na CUF ni kitu kimoja ni dhahiri kwamba CHADEMA na CCM ni kitu kimoja.

Kwa mantiki hiyo, nchini Tanzania chama cha siasa ni kimoja tu CCM na hakuna chama kingine.

SHINDANA KWA HOJA NA SI MATUSI.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Ni kama unatumia formula za hesabu za logic!

Kwamba: if A=B, and B=C, then A=C

Kwa maana ya kuwa: if A=5 then B will be = 5 and so will be C, therefore A=C!

lakini hapo kwenye CUF/CHADEMA/CCM equation inakataa, kwani

kama CCM=CUF kwa kigezo ulichotoa cha kutekeleza ilani ya CCM, equation itakuwa:

CCM= kutekeleza ilani ya CCM
CUF= kutekeleza ilani ya CCM
CHADEMA= kuchoma moto kichaka cha CCM
na kazi inaendelea!

Kwa hiyo ni wazi kuwa CCM ≠ CHADEMA

sijui kama utakuwa umenielewa walau kidogo!

Sasa ukizingatia CUF na CHADEMA wameungana kwa hiyo:

CUF= kutekeleza ilani ya CCM na kuchoma moto kichaka cha CCM!

Kwa hiyo tena kwa utaratibu huo CUF ≠ CCM

Kwa kifupi CUF iliacha kuwa sawasawa na CCM tangu ilpoanza kuchoma moto kichaka ilichojificha CCM!
 
Lusam

Senior Member
Apr 4, 2013
195
0
Sio kweli. Ila CUF ni kama waliingizwa mkenge kuunda serikali ya pamoja na CCM nadhani kwa sasa wanajutia hilo swala. Vyama ambavyo CCM wanapata tabu kuingiza mamluki wao kwa wingi ni pamoja na CUF na CHADEMA kwahiyo muungano wa CUF na CHADEMA hakika utazaa matunda
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,373
2,000
Ni kama unatumia formula za hesabu za logic!

Kwamba: if A=B, and B=C, then A=C

Kwa maana ya kuwa: if A=5 then B will be = 5 and so will be C therefore A=C!

lakini hapo kwenye CUF/CHADEMA/CCM equation inakataa, kwani

kama CCM=CUF kwa kigezo ulichotoa cha kutekeleza ilani ya CCM, equation itakuwa:

CCM= kutekeleza ilani ya CCM
CUF= kutekeleza ilani ya CCM
CHADEMA= kuchoma moto kichaka cha CCM
na kazi inaendelea!

Kwa hiyo ni wazi kuwa CCM ≠ CHADEMA

sijui kama utakuwa umenielewa walau kidogo!

Sasa ukizingatia CUF na CHADEMA wameunga na kwa hiyo:

CUF= inatekeleza ilani ya CCM na kuchoma moto kichaka cha CCM!

Kwa hiyo tena kwa utaratibu huo CUF ≠ CCM

Kwa kifupi CUF iliacha kuwa sawasawa na CCM tangu ilpoanza kuchoma moto kichaka ilichojificha CCM!
shikamoo mkuu
 
Formula yako mbona ipo wazi mkuu,
kama CCM inatekeleza ilani ya CCM
CUF inatekeleza ilani ya CCM
CHADEMA na CUF ni kitu kimoja
Hivyo indirectly, CHADEMA inatetea ilani ya CCM
 
Gwalihenzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
5,126
2,000
Kwanini nasema hivyo?
Kwa kuwa CCM na CUF zimeungana kuunda serikali ya pamoja hivyo CUF wanatekeleza ilani ya CCM.

Wakati huo huo, CUF imeungana na vyama vingine vya siasa ikiwepo CHADEMA.

Sasa basi, kama CUF na CCM ni kitu kimoja, CHADEMA na CUF ni kitu kimoja ni dhahiri kwamba CHADEMA na CCM ni kitu kimoja.

Kwa mantiki hiyo, nchini Tanzania chama cha siasa ni kimoja tu CCM na hakuna chama kingine.

SHINDANA KWA HOJA NA SI MATUSI.
UDP, TLP, ACT n.k. huwatambui?
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Sio kweli. Ila CUF ni kama waliingizwa mkenge kuunda serikali ya pamoja na CCM nadhani kwa sasa wanajutia hilo swala. Vyama ambavyo CCM wanapata tabu kuingiza mamluki wao kwa wingi ni pamoja na CUF na CHADEMA kwahiyo muungano wa CUF na CHADEMA hakika utazaa matunda

mtu anaye yatambua makosa yake, hurudi nyuma na kujisahihisha na kuanza mwanzo mpya. CUF hawajutii kabisa hilo
 
kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Kwanini nasema hivyo?
Kwa kuwa CCM na CUF zimeungana kuunda serikali ya pamoja hivyo CUF wanatekeleza ilani ya CCM.

Wakati huo huo, CUF imeungana na vyama vingine vya siasa ikiwepo CHADEMA.

Sasa basi, kama CUF na CCM ni kitu kimoja, CHADEMA na CUF ni kitu kimoja ni dhahiri kwamba CHADEMA na CCM ni kitu kimoja.

Kwa mantiki hiyo, nchini Tanzania chama cha siasa ni kimoja tu CCM na hakuna chama kingine.

SHINDANA KWA HOJA NA SI MATUSI.

Huo ndo ukweli mkuu,niko na Ukawa wanakataliwa mbaya huku
 
kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Ni kama unatumia formula za hesabu za logic!

Kwamba: if A=B, and B=C, then A=C

Kwa maana ya kuwa: if A=5 then B will be = 5 and so will be C therefore A=C!

lakini hapo kwenye CUF/CHADEMA/CCM equation inakataa, kwani

kama CCM=CUF kwa kigezo ulichotoa cha kutekeleza ilani ya CCM, equation itakuwa:

CCM= kutekeleza ilani ya CCM
CUF= kutekeleza ilani ya CCM
CHADEMA= kuchoma moto kichaka cha CCM
na kazi inaendelea!

Kwa hiyo ni wazi kuwa CCM ≠ CHADEMA

sijui kama utakuwa umenielewa walau kidogo!

Sasa ukizingatia CUF na CHADEMA wameunga na kwa hiyo:

CUF= inatekeleza ilani ya CCM na kuchoma moto kichaka cha CCM!

Kwa hiyo tena kwa utaratibu huo CUF ≠ CCM

Kwa kifupi CUF iliacha kuwa sawasawa na CCM tangu ilpoanza kuchoma moto kichaka ilichojificha CCM!

Unajitekenya wewe
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Formula yako mbona ipo wazi mkuu,
kama CCM inatekeleza ilani ya CCM
CUF inatekeleza ilani ya CCM
CHADEMA na CUF ni kitu kimoja
Hivyo indirectly, CHADEMA inatetea ilani ya CCM

Stand out of the crowd, utaona kichaka kinavyowaka moto. Does that look like kutekeleza ilani ya CCM to you? Ingekuwa hivyo kina Nape na Kinana wangekuwa wanakosa usingizi na kuanza kuvuna mtama na uwele huko Singida? Ingekuwa CHADEMA inatekeleza ilani ya CCM kina Nape wangekuwa wanahaha mpaka kufikia kunywa gongo Tabora ili kutafuta support ya wananchi?

Wacha hiyo maneno bana. Hebu rudia hiyo hesabu sawasawa mpaka uielewe!
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Stand out of the crowd, utaona kichaka kinavyowaka moto. Does that look laki kutekeleza ilani ya CCM to you? Ingekuwa hivyo kina Nape na Kinana wangekuwa wanavuna mtama na uwele huko Singida? Wangekuwa wanahaha mpaka kufikia kunywa gongo Tabora? Wacha hiyo maneno bana.

umeanza kupanic mkuu, tulia kwanza then urudi
 
Gwalihenzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
5,126
2,000
Ukisoma bandiko langu kwa umakini hasa conclusion utaelewa vizuri
Soma wewe mwenyewe, kama huja elewe basi akili yako itakuwa ina matatizo;

Kwanini nasema hivyo?
Kwa kuwa CCM na CUF zimeungana kuunda serikali ya pamoja hivyo CUF wanatekeleza ilani ya CCM.

Wakati huo huo, CUF imeungana na vyama vingine vya siasa ikiwepo CHADEMA.

Sasa basi, kama CUF na CCM ni kitu kimoja, CHADEMA na CUF ni kitu kimoja ni dhahiri kwamba CHADEMA na CCM ni kitu kimoja.

Kwa mantiki hiyo, nchini Tanzania chama cha siasa ni kimoja tu CCM na hakuna chama kingine.

SHINDANA KWA HOJA NA SI MATUSI.
Umeulizwa kuwa; UDP, TLP, ACT n.k. ambao hawapo kwenye huo muono wako huwatambui kama vyama vya siasa?
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
umeanza kupanic mkuu, tulia kwanza then urudi

Mchunguzi Huru, Sijakaribia kupanic, yaani ungekuwa unaniona ungeona nnavyocheka. Just nenda kajifunze hiyo hesabu halafu toka katikati ya kundi, simama pembeni ili uone kinachotokea! Ni ushauri tu siyo panic. Na wala sitakulaumu kama utagoma kuelewa au kurudia kujifunza!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom