Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
CHADEMA ndio chama pekee kinachojali hali ya maisha ya watanzania katika hali zote, majonzi, furaha, umaskini nk. Kwa upande wa CCM ni chama cha wahuni, wauaji na wakandamizaji wa demokrasia nchini.
Serikali ya CCM inatumia dola kuua, kutesa raia wasio na hatia kwa mfano tukio la Arusha, Zanzibar, Morogoro, Iringa, Mtwara nk. Hivi rais anataka afe nani ili ajue kuwa Tanzania si salama? Atakapowakuta wao na familia zao ndiyo watajua kuwa Tanzania si salama?