Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 51,961
- 41,438
Wasalaam!
Wanajamvi wasalaam
Bila shaka makamanda wa JF hasa wachadema ambao huu ni uwanja wao wa nyumbani na ni kama kituo chao cha kupigia kura!
Ni ukweli ulio wazi CHADEMA watashindwa uchaguzi kama ilivyo kawaida yao kwani CHADEMA hawajawai kujiandaa kushinda uchaguzi wa Tanzania hasa kwa ngazi ya Urais!
CHADEMA hasa mgombea wao wa Urais wamekuwa wakiwadanganya wafuasi wao kuwa watabaki vituoni kulinda kura wakati wanajua fika ni kinyume na sheria.
Sheria inawataka watu wote baada ya kupiga kura wanatakiwa kuondoka kituoni au kukaa nje ya kituo kwa mita 200 sawa na kukaa mbali wa viwanja viwili vya mpira wa miguu!
Hivyo wafuasi wa CHADEMA napenda kuwakumbusha kuwa mtatakiwa kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura!
CHADEMA mnatakiwa kuweka mawakala makini na wanaojua kusoma na kuandika bila kusahau kuhesabu!
Wasalaam wanajamvi