CHADEMA naombeni majibu ya wazi bila kificho cha hela hizi

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,105
2,000
Hi CHADEMA owners & followers

Naombeni majibu kwa uwazi tu kuhusu fedha hizi..

1: Kila mwezi CHADEMA inapokea tshs. 300+ mil kama ruzuku, zinaenda wapi? Any financial records ya monthly expenditure?

2: Je ni kweli Mwenyekiti wenu yaani Mbowe kasema anaidai CHADEMA tshs 7,000,000,000 yaani bil 7 tshs..?

Nyie watetezi wa CHADEMA ebu semeni, mnajua chochote kuhusu hizi hela au mnapiga piga kelele tu humu wakati wenzenu wanakula kivulini..!! Natarajia majibu ya wazi, msikute mnashibisha wamiliki tu..!!

Good Time to You Wherever You are, Big time to you & your loved ones.

Merry Christmas & Happy New Year 2018.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,347
2,000
Prof. Assad aende Ufipa kukagua Fedha zetu za kodi zinazoenda pale Kama Ruzuku!

Haiwezekani baada ya kila Uchaguzi ziibuke invoice na bili feki Ufipa wakati inajulikana Uchaguzi uliopita Kampeni za Chadema ziligharimiwa na Ndugu Edward Ngoyai Lowassa mpaka kulipia Mawakala wa Nchi nzima
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,523
2,000
He who alleges must prove. Mkuu huo ni msemo wa kisheria. Kabla ya kujibiwa, thibitisha kwa nyaraka, video au audio kuhusu hoja zako. Achana na mambo ya kusikia. Sikia-sema(hearsay) haina nguvu kisheria. Katafiti, kusanya ushahidi halafu uje uulize.
 
babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,232
2,000
Prof. Assad aende Ufipa kukagua Fedha zetu za kodi zinazoenda pale Kama Ruzuku!

Haiwezekani baada ya kila Uchaguzi ziibuke invoice na bili feki Ufipa wakati inajulikana Uchaguzi uliopita Kampeni za Chadema ziligharimiwa na Ndugu Edward Ngoyai Lowassa mpaka kulipia Mawakala wa Nchi nzima
Risiti ya Malipo au cheque yoyote kutoka kwa lowasa ili nijue upo vizuri kupekua vitu
 
Makuti Malubu

JF-Expert Member
Jul 22, 2017
361
250
Ili Mti Unawiri vizuri Sharti Majani yadondoke yaliyochoka yadondoke. (Kwa wanaojua miti). Kwa wasomaji wa Biblia Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Je Nanyi mwataka kuondoka?" Ni vema miti ipukutike majani yaliyochoka
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,347
2,000
Risiti ya Malipo au cheque yoyote kutoka kwa lowasa ili nijue upo vizuri kupekua vitu

Wewe ni Nani uhitaji huo ushahidi na ukipata una mamlaka gani ya kuchukua hatua?
Ushahidi huwa unapelekwa sehemu ambayo utafanyiwa kazi sio kwa kila kumbikumbi
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,785
2,000
Wewe ni Nani uhitaji huo ushahidi na ukipata una mamlaka gani ya kuchukua hatua?
Ushahidi huwa unapelekwa sehemu ambayo utafanyiwa kazi sio kwa kila kumbikumbi
kwanini sasa usiupeleke huko sehemu husika, kila siku kuja kulia huku jf
 
madurufu

Senior Member
Jun 3, 2012
110
225
Cjawahi changia politics jf ila wwvmleta mada unauelewa mdogo sana wa kufikiria jambo kabla yakulileta kwa public. Learn how to reason things
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,347
2,000
kwanini sasa usiupeleke huko sehemu husika, kila siku kuja kulia huku jf

Hata Humu kuna wahusika ndio nawapelekea Ujumbe!

Usidhan kila Comment unayosoma humu Wewe ndio Mlengwa, zingine Wewe sio Mhusika japo umepata Access ya kuzisoma!
 
Jaimee

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
2,632
2,000
Waambie hao miungu wenu wafatilie ili tuweze kujenga viwanda na pia tupate milioini hamsini zetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom