CHADEMA,naomba niwaulize?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Kadi zenu zinapatikana wapi? Bei gani pamoja na ada ya miaka mitano? Nyinyi ndio mliobaki nikiwaamini nchi hii
 
Kadi zenu zinapatikana wapi? Bei gani pamoja na ada ya miaka mitano? Nyinyi ndio mliobaki nikiwaamini nchi hii......

nilichukulia wilayani kwa sh 1500 na ada ya kila mwaka buku. Ko kwa miaka mitano nililipia 5500. Sijui hapa mujini ni kiasi gani, lakini nadhani ni ile ile. Karibu sana.
 
miaka 5 mara 1500/= unapata 5500. hawa ndo chadema, hata hesabu rahisi zinasumbua.
 
Kadi zenu zinapatikana wapi? Bei gani pamoja na ada ya miaka mitano? Nyinyi ndio mliobaki nikiwaamini nchi hii

Fafanua mkuu kilichokuaminisha; chama kinachofurahia umwagaji damu kikisingizia vyombo vya usalama kisa ni kuleta badiliko la kisiasa.Walete sera nzuri zaidi kama zile ambazo zimekopwa na chama tawala, kiko wapi CCJ?

Nimeamini cdm tu vilaza, mtu alikuwa chuoni wa Kibaha anakaa Mikocheni B kwa Mdee hajui apate wapi kadi. Lakini kikubwa ni hiyo bei ya ada ya kadi miaka mitanom buku kila mwaka ni 5500. Ahaaa nimechoka, nilkuwa napita kwenda kupumzika nikakutana na hili, mchoko unazidi. Twafaaaa
 
Uchicheme chana mkuu,mejea kidogo.
 
Kuweni crious na haya mambo co kwamba jamaa hajui bei ya kadi na malipo yake hapo juu. Bei ya kadi tu ni tshs. 500/- ADA YA MWAKA NI TSHS. 1000/- HIVYO. Kwa miaka mitano ni tshs. 5500/-. Ya ccm unapewa bure na hela juu.
 
Nimeamini cdm tu vilaza, mtu alikuwa chuoni wa Kibaha anakaa Mikocheni B kwa Mdee hajui apate wapi kadi. Lakini kikubwa ni hiyo bei ya ada ya kadi miaka mitanom buku kila mwaka ni 5500. Ahaaa nimechoka, nilkuwa napita kwenda kupumzika nikakutana na hili, mchoko unazidi. Twafaaaa

soma post yangu vizuri, mbona mnachukulia juu juu? New member analipa 1500 hiyo nyingine ya kujiunga/kadi. Baada ya hapo unaanza kulipia buku. By the way ccm si bure? Na hela unapewa? Unadhani kwa nini hajauliza ccm?
 
miaka 5 mara 1500/= unapata 5500. hawa ndo chadema, hata hesabu rahisi zinasumbua.
Mkuu, unajua kusoma kweli au mtu anayekusomea 'amekuchakachua?!' Hapo anayesumbuliwa na hesabu ni wewe au hao CDM?! Hebu rudi kwenye post uliyoikopi hlf ufanye hesabu upya banaa. Hata kama inakutoa kamasi jitahidi hadi upate jibu sahihi!!!
 
Sikuwa chama chochote kaka. Niligoma kujiunga UVCCM nilipokuwa Chuoni.Nataka kuwahi kuwakomboa watu wa Kibaha

kamanda karibu sana CHADEMA na wala usije ukasikia propaganda za magamba, Mi hapa nina miaka 2 na nusu chaman na nilichukua nikiwa dogo dog hivi so na ww karibu sana tujenge chama.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom