CHADEMA nani bora Ndungai au Dkt. Tulia?

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
279
Nimekaa natafakari hasa kwa masuala yanayoendelea bungeni baina ya spika Job Ndungai na wabunge wa CHADEMA ( Chama Cha Demokrasia na Maendeleo) ambapo kumepelekea hivi karibuni baadhi ya wabunge wakiwemo John Mnyika, Halima Mdee na Ester Bulaya kusimamishwa kuhudhuria vikao vilivyobaki.

881b259e9ff5e7f6dce5fd633e687076.jpg


Nataka kuuliza hasa wapenzi na wanachama wa CHADEMA kwamba nani anafaa kusimamia shughuli za Bunge kati ya JOB NDUNGAI na Naibu spika DKT. TULIA

057f707b373111eaf2d50933c9c53188.jpg


Hasa tukiangalia Mara ya kwanza kipindi Dkt. Tulia anaongoza Bunge wapinzani walilalamika sana kwamba wanaonewa na kiti cha spika.

ec801aa288de12c96f5a6e679f75cda3.jpg


Toa mtazamo wako sasa.
 
Back
Top Bottom