CHADEMA na wezi wa Kura zao...

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,538
2,155
Kila siku kukicha utasikia CCM kaiba kura zetu, kanunua shahada, kachakachua matokeo, tunaenda court! Ni sawa hayo yoote ni sawa wala hapana shaka. Wazo langu ni kwamba, CDM ijitahidi kuwa na wanachama wapigakura wengiiii ili hata CCM wakiiba vipi kura wabaki wameshindwa tu, hii ndio hoja. Hapo utaona hiyo nguvu ya umma 'ikihoji' matokeo bila hata kuhamasishwa. Kwa sababu ni sawa na baba kuwa na mkewe na watoto nane wote wana shahada za kupiga kura. Halafu baba kama mgombea akapata kura moja tu katika kituo cha kupigia kura wakati anajua kwenye kampeni mama na watoto walikuwepo, wakala wake amamwambia ni kweli alishuhudia kura moja tu, atafanyaje? Unadhani atanyamaza wakati mkewe na watoto wako kimya pia? Ni kivumbi hom tu hapo, talaka itaandikwa kwenye kituo cha daladala, na kwa watoto wakatafute baba yao, hiyo ndio demokrasia ya kweli. Tuwajenge wananchi wazalendo wahoji uhalali wa mambo bila kuhitaji msukumo. Alamsiki wandugu...
 
Hosam
unamaanisha kwa sasa CHADEMA inawanachama/wapenzi wa chama ambao ni under 18 wengi?
au unafanya maandalizi ya kuwashauri na wao waanze kuandikisha majina ya wanachama wenye
stashaha za kupigia kura?
 
Katoe ushauri wa namna hii kwenye vikao vya chama chenu hata kama ni CDM. Halituhusu kwa lengo la tija ya hoja
 
Hosam
unamaanisha kwa sasa CHADEMA inawanachama/wapenzi wa chama ambao ni under 18 wengi?
au unafanya maandalizi ya kuwashauri na wao waanze kuandikisha majina ya wanachama wenye
stashaha za kupigia kura?

Namaanisha CDM ina wanachama wengi ambao ni age bracket 17-25, wastani wamo bracket 26-35 hawa ni wako bize na majukumu magumu ya kila siku, na lastly 36-50 hawa wengi hawaaminiki. My take ni kwamba CDM sio tume ya taifa ya uchaguzi ikaandikisha majina ya wenye stashahada kwa kuwa hiyo ni mbinu chafu ya magamba, ila CDM iitunze na kuiongeza nguvu ya umma, na mara zote katika mikutano CDM ihubiri kwamba wanachama wake wajiandikishe kupiga kura/wa - update information zao pindi ikiruhusiwa, na hawa ninaosema viongozi wa CDM wa mitaa na kata ndio walibebe hilo kwa msisitizo ili siku ya kupiga kura 2015 magamba wenzio hata wakiiba kura zisiishe, umenielewa nanga wewe!!!
 
Kila siku kukicha utasikia CCM kaiba kura zetu, kanunua shahada, kachakachua matokeo, tunaenda court! Ni sawa hayo yoote ni sawa wala hapana shaka. Wazo langu ni kwamba, CDM ijitahidi kuwa na wanachama wapigakura wengiiii ili hata CCM wakiiba vipi kura wabaki wameshindwa tu, hii ndio hoja. Hapo utaona hiyo nguvu ya umma 'ikihoji' matokeo bila hata kuhamasishwa. Kwa sababu ni sawa na baba kuwa na mkewe na watoto nane wote wana shahada za kupiga kura. Halafu baba kama mgombea akapata kura moja tu katika kituo cha kupigia kura wakati anajua kwenye kampeni mama na watoto walikuwepo, wakala wake amamwambia ni kweli alishuhudia kura moja tu, atafanyaje? Unadhani atanyamaza wakati mkewe na watoto wako kimya pia? Ni kivumbi hom tu hapo, talaka itaandikwa kwenye kituo cha daladala, na kwa watoto wakatafute baba yao, hiyo ndio demokrasia ya kweli. Tuwajenge wananchi wazalendo wahoji uhalali wa mambo bila kuhitaji msukumo. Alamsiki wandugu...

Wito wako ni kuwa unataka katiba mpya! Katiba ambayo itatofautisha siasa na wachumia siasa. Sababu ya Chadema kulaamika kuwa tunaibiwa ni kutokana na kuwa na Katiba inayomruhusu hata Rais, ambaye ni mwenyekiti wa Chama tawala, kupiga kampeni kwa ajili ya chama chake! Unadhani kitendi cha Magufuli kuwakataza wananchi kupiga kura eti kwasababu watakosa kujengewa DARAJA kimesababisha athari kiasi gani kwa Chadema? Je hiyo siyo sababu ya kulalamika kuwa kura ZIMEIBIWA?
 
utumwa wa fikra ni mbaya sana
 
Nitasema tena na nitarudia panahitajika watu wa kuhimiza na kutoa taarifa kwa wananchi kinachoendelea kuhusu katiba na hii tume ya uchaguzi kurekebishwa. Sioni sababu ya chadema kutoajiri watu wa kushughulika na hili suala na iwe kazi yao watakayopewa na chama na wajulikane. Hii serikali bila kuwasumbua hawawezi kuwa wa kweli. Kwa nini tuwaogope CCM wakati ni sisi tunaoongozwa. Tanzania bila kuwapa jeshi uhuru wa sheria itakuwa ngumu sana kufuata sheria. Angalia huko CCM sasa hivi kila mtu ni msemaji kuliko hata wenye kazi yao.
 
Tanzania ni ya kwetu wote sio ya CHADEMA tu. Tunatakiwa tuache kuibebesha mizigo chadema wakati tunajua kwamba dola yote inafanya kazi ya kukidhoofisha kisiweze kufanya kazi. Chadema haiwezi ikatangaza kwamba inaajiri watu wa kufanya kazi hiyo kwani wote wataokuja mbele watakuwa watu wa usalama wa taifa. Kama huiogopi ccm Unatakiwa WEWE utafute watu wanaofaa uende chadema useme utaka kufanya hili na lile nao wakusaidie msaidiane. Bila hivyo Tanzania itabaki kutawaliwa na ccm milele.
 
Kila siku kukicha utasikia CCM kaiba kura zetu, kanunua shahada, kachakachua matokeo, tunaenda court! Ni sawa hayo yoote ni sawa wala hapana shaka. Wazo langu ni kwamba, CDM ijitahidi kuwa na wanachama wapigakura wengiiii ili hata CCM wakiiba vipi kura wabaki wameshindwa tu, hii ndio hoja. Hapo utaona hiyo nguvu ya umma 'ikihoji' matokeo bila hata kuhamasishwa. Kwa sababu ni sawa na baba kuwa na mkewe na watoto nane wote wana shahada za kupiga kura. Halafu baba kama mgombea akapata kura moja tu katika kituo cha kupigia kura wakati anajua kwenye kampeni mama na watoto walikuwepo, wakala wake amamwambia ni kweli alishuhudia kura moja tu, atafanyaje? Unadhani atanyamaza wakati mkewe na watoto wako kimya pia? Ni kivumbi hom tu hapo, talaka itaandikwa kwenye kituo cha daladala, na kwa watoto wakatafute baba yao, hiyo ndio demokrasia ya kweli. Tuwajenge wananchi wazalendo wahoji uhalali wa mambo bila kuhitaji msukumo. Alamsiki wandugu...

Hapo kwenye red: Inamaana wanachama wa cdm wengi ni washabiki tu lakini hawapigi kura?
 
Wito wako ni kuwa unataka katiba mpya! Katiba ambayo itatofautisha siasa na wachumia siasa. Sababu ya Chadema kulaamika kuwa tunaibiwa ni kutokana na kuwa na Katiba inayomruhusu hata Rais, ambaye ni mwenyekiti wa Chama tawala, kupiga kampeni kwa ajili ya chama chake! Unadhani kitendi cha Magufuli kuwakataza wananchi kupiga kura eti kwasababu watakosa kujengewa DARAJA kimesababisha athari kiasi gani kwa Chadema? Je hiyo siyo sababu ya kulalamika kuwa kura ZIMEIBIWA?

Siamini niyasomayo; umefukuzwa CCM muzee???
 
Mwita25 wahi polisi kuna mtu kaiba ID yako humu jamvini. Toka nimeanza kukufahamu at least leo nimeona kwenye ID yako Mtu amezungumza kwa kutumia akili yake mwenyewe na kuitupilia mbali akili ya Nape.
 
Wito wako ni kuwa unataka katiba mpya! Katiba ambayo itatofautisha siasa na wachumia siasa. Sababu ya Chadema kulaamika kuwa tunaibiwa ni kutokana na kuwa na Katiba inayomruhusu hata Rais, ambaye ni mwenyekiti wa Chama tawala, kupiga kampeni kwa ajili ya chama chake! Unadhani kitendi cha Magufuli kuwakataza wananchi kupiga kura eti kwasababu watakosa kujengewa DARAJA kimesababisha athari kiasi gani kwa Chadema? Je hiyo siyo sababu ya kulalamika kuwa kura ZIMEIBIWA?

Good Points, lakini ni wewe kweli!!? yaani umenishsngaza kwa kuongea ukweli huu, karibu brother kwa watu wanaoona maisha kamili yalivyo hapa Tanzania.
 
Wizi wa kura upo unafanyika na unaendelea kufanywa na Ccm pamoja na Serikali yake. Kwa haraka baadhi ya sheria na kanuni
za uchaguzi zinafaa kubadilishwa kabla ya katiba mpya haijawa tayari. Shaada ya kupiga kura iondolewe, Daftari la kudumu la
wapiga kura liondolewe kwani ni urasimu wa utekelezaji wa kazi na kuwapa mwanya zaidi watu kupanga matokeo ya uchaguzi.
ni kitu kisichokubalika kwa balozi wa nyumba kumi wa Ccm ajihusishe katika tume ya uchaguzi, na mfumo mzima wa ubalozi wa
nyumba kumi uondolewe. Serikali za mitaa au Serikali za vijiji zinafanya kazi gani. Serikali za mitaa na Serikali za vijiji ndizo zinazo-
satahili kujua na kuwa na hesabu ya Raia wote wanaoishi sehemu husika. Serikali za mitaa wanatakiwa wafanye mchakato wa
kuwaandikisha upya raia pamoja na vitambulisho vya muda na kila kitambulisho kikiwa na sahihi ya dole gumba pamoja
na kwenye kitabu sahihi ya dole gumba. Hapo tayari Raia ameshakuwa na sifa ya kupiga kura, uchaguzi utakapofanyika kuji-
andikisha ni wakati huo utakapoingia ndani katika kituo chako cha kupigia kura kwa kigezo cha uraia wako, unajiandikisha
kupiga kura katika kitabu kipya na kuweka sahihi ya dole gumba na kuwa umefuzu kupiga kura. kwa eneo lote la sehemu husika
kutakuwa kopi za kitabu cha uandikishwaji wa uraia na hapo haiwezekani wakasema jina lako limeamishiwa sehemu nyingine.
na sehemu yeyote utakayopenda kupiga kura kuzunguka kata yako inawezekana na kutakuwa hamna malalamiko, mtindo
unaotumika wakati huu wote huu wa kupiga kura ni ulaghai wa kuiba haki za wapiga kura. Hili tulifanyie kazi, kwani sheria
kama imeonekana haifai inaweza ikaondolewa kwa kufuata sheria, CDM mchakato makini ndio huo hoja ifike Bungeni pasipo
kuchelewa kwani amna wakati ni mdogo umebakia, kwani limebakia tundu la sindano walikotokea Ccm Igunga linatikiwa lizibwe.
Kwa sababu Serikali ya Ccm wanafanya njama za maksudi kuchelewesha vitambulisho vya urai ili waweze kuendelea kufanya
uchafu wao wa kung'ang'ania madaraka, CDM pamoja na Public opposition kila tunachokiona kibaya kinachofanywa na Ccm
pamoja na Serikali yake tukifanyie kazi kwa haraka tushirikishe idea zetu kuziba mianya yote mpaka mwaka 2015 tuhakikishe
Ccm hawana njia ya kutokea.
 
Back
Top Bottom