Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Ushindani wa kisiasa unafaida sana. Shangaa wengi hamuoni, ni upinzani wa chadema, kupitia mafichuo ya ufisadi; yaliotuletea magufuli. Kwa ufupi, ni upinzani unasukuma mabadiliko ya utendanji kupitia vitisho vya kutopigiwa kura. Hata serikali ikiwa ya mabavu, wadhamini wa nguvu hiyo, hawatoendelea pale watakapo ona uwepo kwa mtawala mwingine mwenye umaarufu kupita serikali yenye mabavu; mfano ukiwa kuanguka kwa tawala ya Jacob zuma.
Lakini kura hizi hazivutwi na vitishio vya amani, fujo, au sabotage. Nikimaanisha; chama pinzani kisifanikiwe kupitia njia za kihasi; kwa vitisho, kuondoa amani, kuweka vikwazo vinavyo umiza nchi au wananchi, au muhimu zaidi, kushiriki na nchi jirani dhidi ya taifa. Huu, ndo umekuwa msimamo wa CHADEMA ndani ya mda mrefu; nikimaanisha uzalendo, wakipigania haki za vijana wa kitanzania dhidi ya viongozi baadhi wakandamizi.
Iwepo leo? CHADEMA Kupeleka kwa "ushahidi" balozi za nchi koloni, nchi ambazo hazina nia njema nasi, nchi zisizo Africa, nje ya mkondo wa serikali ya jamuhuri na wizara yake ya nje; nikimaanisha Marekani na ujerumani, kuidhalilisha; Serikali ya Muungano wa “Watanzania”?
Alichosema cyprian Musiba hakina ushaidi, na wala sio tamko la wizara ya ndani wala ya nje.
Kupeleka kwa CD za musiba; CD zinazoonyesha mtazamo wa mtu mmoja akijadili hatari inayoweza sababishwa na nchi hizi, bila ushaidi, kitu ambacho ni cha kawaida kwa mataifa yote duniani, ni TREASON (UHANI) na kinahitaji kukemewa na kila mtu.
Cyprian musiba angekemewa na CHADEMA na matamko yake kukanwa kupitia vyombo habari vya tanzania, ni sio kupitia balozi za nchi ngeni na koloni.
Kupeleka taarifa hizi kwa balozi ngeni, kinajenga mtazamo mbaya mbele ya dunia; kwamba chama cha maendeleo, chama kikubwa cha upinzani, chama cha vijana, kinaotafuta favor kinyume na serikali ya jamuhuri ya muungano wa WATANZANIA.
sisi sote TUKEMEE kwa mioyo yetu yote muenendo huu wa siasa.
Tuendelee kukumbuka: UHURU NA AMANI hazina thamani..
Maendeleo kwa kila mtu, na sio Siasa kwa kila mtu