CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Natumaini mko wazima.

Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET huko Marekani. Wakati nikishangaa nikaanza kupokea simu za members wengi wa JF pamoja na watanzania wengine wakinisihi nitoe neno ili kutuliza huu upepo. Kabla ya kuanza kuandika nikaona nipitie sababu kuu zinazotolewa na wanaopinga Komredi Diamond kupata tuzo. Nia ni kutaka kujua kama hoja zao zina mashiko.

Sababu kubwa kuliko zote inayotajwa ni kuwa Diamond hajawahi kushiriki kuwasemea watanzania pale haki zao zinapominywa na kwamba amekuwa akiwa upande wa "wakandamiza haki". Hii hoja ni ya kupuuzwa na mtu yeyote mwenye akili. Sio watu wote tumezaliwa ili kuwa wanaharakati na kutoa matamko. Hata biblia inasema Nabii Musa aliyewatoa waisrael utumwani alikuwa mtu mpole kuwahi kutokea na hakuwa mwongeaji. Alikuwa na msemaji wake aitwae Haruni. Kwahiyo hata Diamond imeonekana wazi sio muongeaji sana zaidi ya kufanya mambo yake ya muziki. Labda hoja inaweza kujengwa hoja mbona Bob Marley, Lucky Dube, Tupac na baadhi ya wanamuziki walikuwa wakitunga nyimbo za kudai haki? Jibu ni kwamba wanamuziki pia wamegawanyika... wapo wanaotoa nyimbo za kiuanaharakati, mapenzi, biashara, na mambo mengine mbalimbali kwenye jamii. So, huenda Diamond sio wito wake kutoa nyimbo za aina hiyo.

Pia Diamond kwenye siasa na harakati ni mdogo sana.. mambo ya kwenye siasa sio ya kwenye muziki. Sasa kuna haja gani kujihusisha na mambo yaliyo juu ya uwezo wake? Nchi hii kuna vijana wanasiasa kama kina Abdul Nondo.. hao wasipoongelea siasa wanapaswa kulaumiwa. Na sio mambo ya siasa kwenda kulazimisha kina Diamond, Frank Knows, na wengine wasio wanasiasa kuyaongelea. Nje ya muziki pia kijana ana familia inayomtegemea kwahiyo sio vema kukwaruzana na mamlaka wakati kwenye mafanikio yake hakuna hata shilingi tano aliyochangiwa na CHADEMA. Hata Diamond asipoongea matendo yake mema kwa jamii yatamtetea. Ni msanii pekee aliyetoa mchango wa madawati mia sita (600) kwa ajili ya shule za Dsm wakati wa uongozi wa Field Marshal Makonda. Huko kwao ndo katoa michango mingi zaidi ya kijamii. Isitoshe kuwapigania CHADEMA ni kucheza kamari mbaya sana kwasababu ya viongozi wao wengi kuwa wasaliti (kuunga juhudi).

Sababu nyingine inayotolewa hasa na wasanii wenzake ni kwamba huwa hasapoti kazi za wenzake. Hii ni sababu ya kipuuzi sana kuwahi kutamkwa. Diamond Platinumz ni mfano halisi wa msanii anayesapoti wenzake. Kampuni yake ya Wasafi imekuza nyota wengi wanaotamba hapa nchini. Hata nje ya wasafi kuna wasanii wengi ambao tunaweza sema ni members wa wasafi kasoro usajili rasmi. Halafu wasanii wengi kabla ya kusaidiwa wanatakiwa wajisaidie wenyewe kwanza. Wasanii wengi ni wavivu na hawapendi kazi. Husubiri kubebwa na media pamoja na watu binafsi. Ndo chimbuko kuu la watu waitwao Chawa. Waige mfano kwa Diamond kwa kuchapa kazi.

Wito wangu kwa wote wanaochukia mafanikio ya huyu kijana ni kuacha mara moja hiyo tabia. Pia wajikite zaidi kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuupata utajiri. Kupata au kukosa hiyo tuzo kwa komredi Diamond ni matokeo tu. CHADEMA kijikite kuongeza wanachama wake na kudai katiba bora hapa nchini. Kumzungumzia Diamond kwa chama kinachotajwa kama mbadala wa CCM ni kupoteza muda na kuua matumaini ya wapenda mabadil
mimi ni CCM damu damu na shabiki mkuu wa nyimbo na shoo za diamond ila nmeungana na watanzania kulaani vitendo/kitendo cha diamond kupuuza jamii yake hususani wasanii wenzake waliopatwa na kadhia za watawala. #NoBETawardfordiamond
 
Kumlazimisha Diamond kufanya mnayopenda ni kuingilia uhuru wake. Acheni afanye anachotaka bila kuvunja sheria
 
Hivi wanapotajwa Lema, Msigwa, Lissu huwa unapata picha gani kwa haraka kichwani? Jibu ni CHADEMA. Sasa chama kikemee makada waandamizi kuharibu taswira ya chama. Mbona Mbowe ana busara, nyie wafuasi mnakwama wapi?
Ishu ya diamond ni beef zenu msihusishe na chadema...
 
CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Natumaini mko wazima.

Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET huko Marekani. Wakati nikishangaa nikaanza kupokea simu za members wengi wa JF pamoja na watanzania wengine wakinisihi nitoe neno ili kutuliza huu upepo. Kabla ya kuanza kuandika nikaona nipitie sababu kuu zinazotolewa na wanaopinga Komredi Diamond kupata tuzo. Nia ni kutaka kujua kama hoja zao zina mashiko.

Sababu kubwa kuliko zote inayotajwa ni kuwa Diamond hajawahi kushiriki kuwasemea watanzania pale haki zao zinapominywa na kwamba amekuwa akiwa upande wa "wakandamiza haki". Hii hoja ni ya kupuuzwa na mtu yeyote mwenye akili. Sio watu wote tumezaliwa ili kuwa wanaharakati na kutoa matamko. Hata biblia inasema Nabii Musa aliyewatoa waisrael utumwani alikuwa mtu mpole kuwahi kutokea na hakuwa mwongeaji. Alikuwa na msemaji wake aitwae Haruni. Kwahiyo hata Diamond imeonekana wazi sio muongeaji sana zaidi ya kufanya mambo yake ya muziki. Labda hoja inaweza kujengwa hoja mbona Bob Marley, Lucky Dube, Tupac na baadhi ya wanamuziki walikuwa wakitunga nyimbo za kudai haki? Jibu ni kwamba wanamuziki pia wamegawanyika... wapo wanaotoa nyimbo za kiuanaharakati, mapenzi, biashara, na mambo mengine mbalimbali kwenye jamii. So, huenda Diamond sio wito wake kutoa nyimbo za aina hiyo.

Pia Diamond kwenye siasa na harakati ni mdogo sana.. mambo ya kwenye siasa sio ya kwenye muziki. Sasa kuna haja gani kujihusisha na mambo yaliyo juu ya uwezo wake? Nchi hii kuna vijana wanasiasa kama kina Abdul Nondo.. hao wasipoongelea siasa wanapaswa kulaumiwa. Na sio mambo ya siasa kwenda kulazimisha kina Diamond, Frank Knows, na wengine wasio wanasiasa kuyaongelea. Nje ya muziki pia kijana ana familia inayomtegemea kwahiyo sio vema kukwaruzana na mamlaka wakati kwenye mafanikio yake hakuna hata shilingi tano aliyochangiwa na CHADEMA. Hata Diamond asipoongea matendo yake mema kwa jamii yatamtetea. Ni msanii pekee aliyetoa mchango wa madawati mia sita (600) kwa ajili ya shule za Dsm wakati wa uongozi wa Field Marshal Makonda. Huko kwao ndo katoa michango mingi zaidi ya kijamii. Isitoshe kuwapigania CHADEMA ni kucheza kamari mbaya sana kwasababu ya viongozi wao wengi kuwa wasaliti (kuunga juhudi).

Sababu nyingine inayotolewa hasa na wasanii wenzake ni kwamba huwa hasapoti kazi za wenzake. Hii ni sababu ya kipuuzi sana kuwahi kutamkwa. Diamond Platinumz ni mfano halisi wa msanii anayesapoti wenzake. Kampuni yake ya Wasafi imekuza nyota wengi wanaotamba hapa nchini. Hata nje ya wasafi kuna wasanii wengi ambao tunaweza sema ni members wa wasafi kasoro usajili rasmi. Halafu wasanii wengi kabla ya kusaidiwa wanatakiwa wajisaidie wenyewe kwanza. Wasanii wengi ni wavivu na hawapendi kazi. Husubiri kubebwa na media pamoja na watu binafsi. Ndo chimbuko kuu la watu waitwao Chawa. Waige mfano kwa Diamond kwa kuchapa kazi.

Wito wangu kwa wote wanaochukia mafanikio ya huyu kijana ni kuacha mara moja hiyo tabia. Pia wajikite zaidi kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuupata utajiri. Kupata au kukosa hiyo tuzo kwa komredi Diamond ni matokeo tu. CHADEMA kijikite kuongeza wanachama wake na kudai katiba bora hapa nchini. Kumzungumzia Diamond kwa chama kinachotajwa kama mbadala wa CCM ni kupoteza muda na kuua matumaini ya wapenda mabadiliko.
Unahakika kuwa hoja za wanaolalamika zafaa kupuuzwa,mtu asiyekuwa tayari kutetea utu na haki,iweje atake kuungwa mkono na wale alioshindwa kuwatetea kwa ajili ya manufaa take binafsi.Je huoni kupewa nafasi zaidi atawaangamiza hawa alioshindwa na kuthibitisha kutokuwa tayari kuwatetea.
 
Mnajua madhara kwa CHADEMA endapo Diamond atashinda hii tuzo? Litakuwa anguko lingine baada ya lile la 2015 mlipobadili gia angani. Bado mna nafasi ya kuomba radhi umma wa wazalendo kwa matendo mnayoyafanya dhidi ya kijana mdogo wa kitanzania.
 
Hivi wanapotajwa Lema, Msigwa, Lissu huwa unapata picha gani kwa haraka kichwani? Jibu ni CHADEMA. Sasa chama kikemee makada waandamizi kuharibu taswira ya chama. Mbona Mbowe ana busara, nyie wafuasi mnakwama wapi?
Huo nauita ubaguzi wa kiitikadi,jifunze kutofautisha mawazo ya mtu binafsi na mtazamo wa taasisi.
 
Mnajua madhara kwa CHADEMA endapo Diamond atashinda hii tuzo? Litakuwa anguko lingine baada ya lile la 2015 mlipobadili gia angani. Bado mna nafasi ya kuomba radhi umma wa wazalendo kwa matendo mnayoyafanya dhidi ya kijana mdogo wa kitanzania.
Nasema hivi,watanzania hatuna ubaguzi wa kiitikadi kama unavyojaribu kuupandikiza,ama hata wa kikabila au ukanda kama baadhi yenu mlivyojaribu kuligawa taifa kwa vigezo hivyo Duni.
 
CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Natumaini mko wazima.

Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET huko Marekani. Wakati nikishangaa nikaanza kupokea simu za members wengi wa JF pamoja na watanzania wengine wakinisihi nitoe neno ili kutuliza huu upepo. Kabla ya kuanza kuandika nikaona nipitie sababu kuu zinazotolewa na wanaopinga Komredi Diamond kupata tuzo. Nia ni kutaka kujua kama hoja zao zina mashiko.

Sababu kubwa kuliko zote inayotajwa ni kuwa Diamond hajawahi kushiriki kuwasemea watanzania pale haki zao zinapominywa na kwamba amekuwa akiwa upande wa "wakandamiza haki". Hii hoja ni ya kupuuzwa na mtu yeyote mwenye akili. Sio watu wote tumezaliwa ili kuwa wanaharakati na kutoa matamko. Hata biblia inasema Nabii Musa aliyewatoa waisrael utumwani alikuwa mtu mpole kuwahi kutokea na hakuwa mwongeaji. Alikuwa na msemaji wake aitwae Haruni. Kwahiyo hata Diamond imeonekana wazi sio muongeaji sana zaidi ya kufanya mambo yake ya muziki. Labda hoja inaweza kujengwa hoja mbona Bob Marley, Lucky Dube, Tupac na baadhi ya wanamuziki walikuwa wakitunga nyimbo za kudai haki? Jibu ni kwamba wanamuziki pia wamegawanyika... wapo wanaotoa nyimbo za kiuanaharakati, mapenzi, biashara, na mambo mengine mbalimbali kwenye jamii. So, huenda Diamond sio wito wake kutoa nyimbo za aina hiyo.

Pia Diamond kwenye siasa na harakati ni mdogo sana.. mambo ya kwenye siasa sio ya kwenye muziki. Sasa kuna haja gani kujihusisha na mambo yaliyo juu ya uwezo wake? Nchi hii kuna vijana wanasiasa kama kina Abdul Nondo.. hao wasipoongelea siasa wanapaswa kulaumiwa. Na sio mambo ya siasa kwenda kulazimisha kina Diamond, Frank Knows, na wengine wasio wanasiasa kuyaongelea. Nje ya muziki pia kijana ana familia inayomtegemea kwahiyo sio vema kukwaruzana na mamlaka wakati kwenye mafanikio yake hakuna hata shilingi tano aliyochangiwa na CHADEMA. Hata Diamond asipoongea matendo yake mema kwa jamii yatamtetea. Ni msanii pekee aliyetoa mchango wa madawati mia sita (600) kwa ajili ya shule za Dsm wakati wa uongozi wa Field Marshal Makonda. Huko kwao ndo katoa michango mingi zaidi ya kijamii. Isitoshe kuwapigania CHADEMA ni kucheza kamari mbaya sana kwasababu ya viongozi wao wengi kuwa wasaliti (kuunga juhudi).

Sababu nyingine inayotolewa hasa na wasanii wenzake ni kwamba huwa hasapoti kazi za wenzake. Hii ni sababu ya kipuuzi sana kuwahi kutamkwa. Diamond Platinumz ni mfano halisi wa msanii anayesapoti wenzake. Kampuni yake ya Wasafi imekuza nyota wengi wanaotamba hapa nchini. Hata nje ya wasafi kuna wasanii wengi ambao tunaweza sema ni members wa wasafi kasoro usajili rasmi. Halafu wasanii wengi kabla ya kusaidiwa wanatakiwa wajisaidie wenyewe kwanza. Wasanii wengi ni wavivu na hawapendi kazi. Husubiri kubebwa na media pamoja na watu binafsi. Ndo chimbuko kuu la watu waitwao Chawa. Waige mfano kwa Diamond kwa kuchapa kazi.

Wito wangu kwa wote wanaochukia mafanikio ya huyu kijana ni kuacha mara moja hiyo tabia. Pia wajikite zaidi kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuupata utajiri. Kupata au kukosa hiyo tuzo kwa komredi Diamond ni matokeo tu. CHADEMA kijikite kuongeza wanachama wake na kudai katiba bora hapa nchini. Kumzungumzia Diamond kwa chama kinachotajwa kama mbadala wa CCM ni kupoteza muda na kuua matumaini ya wapenda mabadiliko.
Hebu tuowekee hapa screenshot ya official page ya Chadema ambayo inaendesha hiyo campaign, nimejaribu kufatilia official page za chadema zote sijaona hilo bandiko wala sijaona kama wameretweet, ambacho nimeona ni baadhi ya wanaharakati ambao wengine ni wafuasi wa CHADEMA wakivalia bango hilo andiko lakini hii haimaanishi kwamba ndio msimamo wa chama, na naamini chama kinaheshimu demokrasia, hakiwezi kuwafumba wafuasi wake midomo kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuzungumza na kuchagua upande wake wa burudani kwa utashi wale binafsi, hata baadhi ya ccm wamesign hilo bandiko na baadhi ya chawa wa daimond sembuse wafuasi wa chadema, kama unabisha muulize babalevo kwa nini amesign ile petition
 
eti ailipigiwa simu na magu akiwa jukwaani kigoma sasa kura awaombe CCm wenzie upuuzi hatutaki na si hivyo kila msanii abebe zigo lake la mavi shenz type...inawrzekana vipi wasanii na waigizaji wote mue mnatetea upuuzi wa watawala sasa basi nendeni kwa makonda ovyo..
 
Chadema wamejivua nguo kwa hili
Wote wenye mtazamo kama wako wakibaguzi kwa msingi wowote ule uwe wakiitikadi amavinginevyo yafaa kwa umoja wetu tumpinge kama alivyopingwa kaburu,kwa ukatili dhidi ya utu na ubaguzi.
 
Back
Top Bottom