Chadema na wafuwasi wake wanapoishitumu CCM ni kutowatendea haki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na wafuwasi wake wanapoishitumu CCM ni kutowatendea haki.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Jun 13, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pale yanapotokea mauwaji ya kinyama zidi ya Viongozi au wafuwasi wa chadema kumekuwa na tabia viongozi wake na wafuwasi wa chadema kuelekeza shutuma hizo moja kwa moja kwa CCM kuwa ndio watendaji au ndio waliopanga mauwaji hayo zimekuwapo shutuma kama hizo mara kwa mara zakuishitumu CCM.tujalie itokeze baadhi ya wafuwasi wa CCM kufanya hivyo, haina maana kwamba ndio CCM imemtuma au ndio ipo nyuma ya hayo mauwaji.wa Tanzania tuwe na uwezo wa kufiri wenywe kwa kutumia akili letu la si hivyo tutaendelea kufanywa Gari la Ngome sukani puwa.

  Hata kama ukiwa unakichukia au hukipendi au imetokezea kuto kipenda CCM ni jambo la busara kueleza ukweli kuliko kukipaka matope na kuonesha kuwa sio chama na badala yake ni genge la mauwaji tu.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  sawa nimekuelewa
   
Loading...