C chikambabatu JF-Expert Member Dec 29, 2015 1,334 1,318 Oct 6, 2021 #21 Bila kusoma maudhui, najibu wanataka katiba mpya yenye tume huru ya kweli, ili uchaguzi ufanyike kwa vyama yote kuwa sawa kisheria na mbele ya dola!
Bila kusoma maudhui, najibu wanataka katiba mpya yenye tume huru ya kweli, ili uchaguzi ufanyike kwa vyama yote kuwa sawa kisheria na mbele ya dola!