Chadema na UKAWA kwa ujumla wenu pelekeni wengi CCM huo ni mtaji zaidi ya mtaji

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,824
35,827
Walisema waswahili kikulacho kinguoni mwako. Tengenezeni vitu vya kumla huyu jamaa mumo kwa mumo.

Kupambana na CCM yataka mawazo zaidi ya mawazo. Bingwa wa mapambano Kenya bwana Raila Odinga alishiriki vilivyo kuifikisha KANU hapo ilipo sasa. Bwana Odinga bila ya hata ya hiana alifika hata kujiunga na KANU katika kuandaa anguko lao. Alipokuja toka KANU akatoka na wafuasi wote walio matter na huo ukawa ndiyo mwisho wa nguvu za kisiasa za KANU.

Mtindo huo wafanana pia na ule wa Mrema, TLP na NCCR Mageuzi nadhani waliokuwa wakijitambua tokea enzi hizo wanafahamu.

Kazi kwenu CDM na UKAWA kwa ujumla pelekeni mamluki huko huko CCM huo ni mtaji wa zaidi ya mtaji. Wapeni raha washangilie sana. Kwani ilikuwa vipi kwenye kura za maruhani?

NB: Yahitajika kuweza kuona well beyond the horizon unapopambana na adui aliyetayari kuwa disable makamanda wenu wakuu kama ilivyo sasa kwa wengine walivyo mahabusu na mahospitalini.
 
Waraka wako unaonyesha ni wa mtu aliekata tamaa ya kuishi duniani, jahazi linazama wewe unasema wapeleke watu?
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake
 
Mkuu ile si kukata tamaa. Mwulize bwana H. Harakaharaka. Kwa waraka ule anajitathmini kuhusu aliowapokea.

Kupambana na hawa mabwana yataka strategies zingine zaidi. Yataka Kina Lissu na labda hata Kina Lema, Mbowe, Sumaye, Lowassa nk kujiunga nao.

Bila ya hivyo safari itakuwa ngumu sana. Angalia KANU angalia NCCR Mageuzi na TLP mambo yalikwenda vipi kisha yakawaje. Hii siyo Hypothesis. Hii ni reality -- it works!
 
Back
Top Bottom