Chadema na uhuru wa pili ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na uhuru wa pili ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by menny terry, May 14, 2011.

 1. m

  menny terry Senior Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tukirudi nyuma tutakumbuka kuwa nyerere alikuwa anazunguka nchi yote kuwahamasisha watu ili wamuunge mkono dhidi ya ukoloni sasa CHADEMA na maandamano yao wana hamasisha wananchi wawaunge mkono ili wawaletee UHURU wapili dhidi ya Umaskini uliokithi.Hakika wanastahili pongezi.
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Pmj sana kaka,taratibu watu(wananchi)watawakielewa Chadema na ikifika 2015 tunaingia Ikulu
   
 3. O

  Omr JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afande sele ndio atamuapisha Rais.he he he
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  watu wenyewe ndo akina nani? Lema? Sugu? au nani? mbona naona bangi tu hao?
  We need a true change and not trial change. Period.
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe unaona hao bangi tu je Wasira, simbachawene, makamba, tambwe na pinda hao sio bangi?
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Una mtaka nani wewe? Sofia simba? Hadija kopa? Vicky kamata? Komba? Chiligati? Makamba? MAPURI? Shein? Bilala? Membe?
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  BIG UP CDMas......Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hqkunq kulala mpaka kieleweke!
   
 8. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nawapongeza CDM ila hawajui essence kamili ya huo Uhuru wa pili, wako confined kwenye kaTanzania peke yake,ufinyu wao wa theoretical framework yao usiulinganishe na Nyerere that man was a genius beyond reasonable doubt!
  Hivi kuna adui mkubwa dunia ya leo kama ubepari na mataifa yao! Kujiweka huru nao ndio uhuru halisi wa pili wa ukweli kwangu mimi, hizi nyingine ni vita za panzi furaha kwa kunguru!
   
 9. O

  Ombeni Charles Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumechoka tunataka mabadiriko kiasi kwamba hata C....... wameshagundua waTZ wamechoka na longo longo za C......... Mkubali msikubali moto uliowashwa wa CDM Unakubalika nchi nzima@100% vijijini ndo usiseme kabisaaaaaaa!!
   
 10. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MwanaJF Revolutionary nakubaliana nawe kuwa Nyerere was a committed patriot and a visionary. He tried his best to solve our social and economic problems although he believed in himself too much: tukimwita "HAAMBILIKI".

  But NOW Tanzanians should know that Nyerere is no more. He is dead. But worse still, he has been succeeded by unpatriotic men, lacking in sympathy with the poverty-stricken wananchi; avaricious in the extreme, and anxious to get- rich- quick.

  Above all, of late, Nyerere's CCM has been taken over by indecisive leadership unable to handle even obvious cases of criminality.

  Woe unto us Tanzanians, unless salvation comes from CDM.!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...