CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

Dr slaa kisha mjibu mtendwa tendwa jinamizi lingine linalotakiwa kung'oka lipishe watendaji wenye uchungu na nchi hii, sio vibraka wenye njee mpaka kwenye ubongo.
 
wenye matatizo ya akili wapo wengi tu sisiem siyo tendwa peke yake kuna mtu mwingine sasa hivi amepost ujinga kwenye facebook wall (hussein bashe) inasema hiviii:

OMBI KWA KATIBU MKUU UVCCM

Ndg yangu Shigela Umewadia wakati wa ww kuita Baraza kuu la Uvccm Taifa tuna wajibu wa kukutana na kujadili kama Taifa tunapitia kipindi kigumu ambacho sisi kama Vijana wa Chama kinachoongoza (sipendi kutumia neno chama kinachotawala) tunatakiwa kukutana tena Haraka kuna mambo mengi yakujadili kwa Maslahi ya Taifa letu na Chama chetu.

Ninafahamu utasema Gharama ya Kuita Baraza kwa maana ya POSHO za wajumbe ita Baraza bila POSHO historia ya Nchi yetu wazee wetu walikua wanakutana bila kulipana posho tujitolee wenye uchungu na JUMUIYA,CHAMA ,na Taifa watahudhuria,leo Vijana ajira zinapotea,maisha yanazidi kua magumu,waathirika wakubwa ni Vijana multiplier effect yake ni kubwa,CDM wanatumia haya matatizo kama Mtaji wao wa kisiasa jambo ambalo mm sishangai kwa kuwa sisi wenyewe tumeridhika ama hatuoni haya matatizo ama ni ule utaratibu WA BUSINESS AS USAL,hatuonekani kama we are there to listen help and guide walotupa DHAMANA,kaka yangu MARTIN things are not the way we think they are.

Itisha baraza kuu tukutane we have obligations to this party and this country tumetoka katika uchaguzi october leo ni almost miezi 5 tumeshinda but si ushindi mzuri,tusidhani we are in a safe hands,tusidhani tuko kwenye mfumo wa chama kimoja,wadogo zetu katika sekondari wamefeli,kilimo mpaka sasa kimeshindwa kuwasaidia,ajira sasa viwandani zinapungua UVCCM has to do something TUNAOMBA BARAZA KUU
 
Afisa Mtendaji wa New Habari huyo,
Nyerere alisema "tuchague kiongozi anayechukia rushwa na rafiki zake wakajua hilo". Sasa Bashe anaposema anauchungu na nchi hii boss wake RA anajua hilo na anataka tumwamini kwamba ni kijana mzalendo wa kweli??
 
Ndiposa inabidi tuje na tafasiri mpya ya "Mwanaharakati"

Mbona hata ShyRose Bhanji kada mzuri wa CCM anajiita mwanaharakati(Activist). Hilo neno halina maana yoyote zaidi ya ukanjanja wa mwandishi kutaka kuipa mashiko hoja yake ambayo ni mufilisi.
 
Rais kupewa ultmatum siyo treason hata kidogo, ni kumtaka atekeleze kwa haraka; na kama ilivyo kawaida asipotekeleza ategemee hizo consequencies.
Hivi Tendwa anaishi dunia gani? Ebu jaribu kwafunguliwa CDM treason charge uone! Kama Tunisia walichukua siku 10, mubaraka wiki 3 , nyinyi hata siku tatu hamchukui maana mkiua leo Marekani akasema tokeni madarakani, chap chap mnaondoka.
Muwaombe CDM wasitamke kuanza maandamano ya kuwaondoa madarakani! Haya ya sasa ya kuwataka mtekeleze 1,2,3... mnaanza kuweweseka...!
 
You said it all
 
Tendwa anajua wazi kuwa kile CHADEMA wanachokidai kwa njia moja au nyingine kitaathiri ajira yake. Yeye kama mwanasheria anatakiwa kutuambia ni kifungu gani katika katiba ambacho CHADEMA wamekivunja, na si kuongea kama mwanangonjera.
 
Pole Samaki Tendwa CDM itaendelea kutoa ultimatum hadi kieleweke hakuna uhaini wala nini, angalia uhaini Tunisia, Misri lakini hakuna alikamatwa ila wameachiwa wafungwa wakisiasa waliosota jela miaka kibao. TENDWA utaTENDWA
 
Hebu wafungue hiyo kesi haraka sana iwezekanavyo ili watoe nafasi nyingine ya kupiga bao la kisigino.
 
huyu msajili wa vyama vya siasa anatumika na ccm hainiingii akilini kuwa chadema wanasambaza mbegu za chuki wakati wa kujadili maslahi ya taifa kwenye mikutano yao walitaka nani aseme wanyamaze mpaka uchaguzi ujao jamani kazi ya chama cha siasa ni nini.
kinachozikumba nchi za afrika leo hii ni watawala kutojali maslahi ya watawaliwa kwa kuwa wana dola wakitaka ccm wapendwa wakubali kuachana na mafisadi wanaowafuga ndani ya chama chao mbona jk alisema hayo dodoma kuwa ni lazima wafike pahalia pa kuwatema wale wanachama wao wanaoiharibia serikali yao iliyoko madarakani na akaweka wazi kuwa kinachowaponza ni kutegemea wafadhili ambao hukiendesha chama badala ya chama kujiendesha
rushwa iliyokithiri ni kipimo ndani ya serikali yao pamoja na uchafu mwingine wanatakiwa waukomeshe hiyo ndiyo dawa lakini kukitengenezea chadema zengwe la namana hii wanazidi kuwafumbua macho waliolala wajiulize chadema kunani wamaenoa.
watanzania wataipenda vipi ccm ya leo inayomuondoa sita kwenye uspika eti kwa kuwa anawabana mafisadi bungeni,leo serikali hii inatuchezea mchezo mchafu kuwa yule mwarabu ndiye mwenye dowans wakati ile mitambao iliingizwa nchini na richimond halafu yule mwarabu haijui richmond kivipi.
wanasema hawamjui mwenye nayo tena kwenye mikutano ya hadhara sasa nani ataipenda ccm kwa stahili ya kusafishana kwa namana hii eti leo naye lowassa anasema kuwa mishahara ya wafanyakazi sijui walimu nini vile hivi watanzania wa mwaka 95 sio wa leo.
ccm na serikali yake ikitaka suluhu na watanzania waliyoichoka ccm dawa ni kuangalia maslahi ya watanzania ni nani leo hii atakubaliaa na sababu za mabomu ya gogolamboto bila kuwajibika wakati watu wamekufa na kupata ulemavu wa maisha husseini anatesa na mashangingi jamani hata kama swahiba wako mwambie ajiuzuru kulinda heshima ya chama chake na serikali yake mbona lowassa aliachia ngazi.

ccm haiko siriasi,tena wakitaka baalaa waifute chadema ndio mwisho wao uchaguzi ujao tutashuudia mengi tuu wao ndiio wachochezi wanajua wameshapoteza mwelekeo wakiri basi, kutenda kosa sio kosa bali kurudia ndiyo kosa halafu wajirekebishe kwa vitendo.
 
Hili mbona liko wazi,kwani hukumbuki kipindi cha kampeni pale alipohalalisha mgombea wa ccm kufanya kampeni nje ya muda ulioruhusiwa hadi Nec ikaingilia kati.Huyu Jamaa mie sioni kazi yake yupo hapo kwa hisani ya ccm na anatafuna tu kodi zetu.
 
CDM msisahau hii ni vita ambayo adui anaweza kutumia silaha ya aina yoyote hata kama ni ya maangamizi ...............Hakuna kulala mpaka kieleweke CCM jiandaeni kuwa chama cha upinzani nchi iko mikononi mwa CDM. Mkitaka kufuta futeni ili tudaya uhuru kwa njia ya mapanga na marungu...........
 
huyu msajili wa vyama vya siasa anatumika na ccm hainiingii akilini kuwa chadema wanasambaza mbegu za chuki wakati wa kujadili maslahi ya taifa kwenye mikutano yao walitaka nani aseme wanyamaze mpaka uchaguzi ujao jamani kazi ya chama cha siasa ni nini.
kinachozikumba nchi za afrika leo hii ni watawala kutojali maslahi ya watawaliwa kwa kuwa wana dola wakitaka ccm wapendwa wakubali kuachana na mafisadi wanaowafuga ndani ya chama chao mbona jk alisema hayo dodoma kuwa ni lazima wafike pahalia pa kuwatema wale wanachama wao wanaoiharibia serikali yao iliyoko madarakani na akaweka wazi kuwa kinachowaponza ni kutegemea wafadhili ambao hukiendesha chama badala ya chama kujiendesha
rushwa iliyokithiri ni kipimo ndani ya serikali yao pamoja na uchafu mwingine wanatakiwa waukomeshe hiyo ndiyo dawa lakini kukitengenezea chadema zengwe la namana hii wanazidi kuwafumbua macho waliolala wajiulize chadema kunani wamaenoa.
watanzania wataipenda vipi ccm ya leo inayomuondoa sita kwenye uspika eti kwa kuwa anawabana mafisadi bungeni,leo serikali hii inatuchezea mchezo mchafu kuwa yule mwarabu ndiye mwenye dowans wakati ile mitambao iliingizwa nchini na richimond halafu yule mwarabu haijui richmond kivipi.
wanasema hawamjui mwenye nayo tena kwenye mikutano ya hadhara sasa nani ataipenda ccm kwa stahili ya kusafishana kwa namana hii eti leo naye lowassa anasema kuwa mishahara ya wafanyakazi sijui walimu nini vile hivi watanzania wa mwaka 95 sio wa leo.
ccm na serikali yake ikitaka suluhu na watanzania waliyoichoka ccm dawa ni kuangalia maslahi ya watanzania ni nani leo hii atakubaliaa na sababu za mabomu ya gogolamboto bila kuwajibika wakati watu wamekufa na kupata ulemavu wa maisha husseini anatesa na mashangingi jamani hata kama swahiba wako mwambie ajiuzuru kulinda heshima ya chama chake na serikali yake mbona lowassa aliachia ngazi.

ccm haiko siriasi,tena wakitaka baalaa waifute chadema ndio mwisho wao uchaguzi ujao tutashuudia mengi tuu wao ndiio wachochezi wanajua wameshapoteza mwelekeo wakiri basi, kutenda kosa sio kosa bali kurudia ndiyo kosa halafu wajirekebishe kwa vitendo.

we ujui kuwa ni kibaraka mkuu wa cxx?
 
Huyu bwana ana maneno makali kweli!"Mkurugenzi wa mashitaka ya jinai sasa hivi mikono inamuwasha kuandika hati ya mashtaka dhidi ya chadema"Mi naombea waifute cdm ili warahisishe kung'oka kwa nguvu ya uma.Cdm hakuna kurudi nyuma,mashambulizi mbele kwa mbele.
 
ccm haiko siriasi,tena wakitaka baalaa waifute chadema ndio mwisho wao uchaguzi ujao tutashuudia mengi tuu wao ndiio wachochezi wanajua wameshapoteza mwelekeo wakiri basi, kutenda kosa sio kosa bali kurudia ndiyo kosa halafu wajirekebishe kwa vitendo.

Unajua ujinga siyo lazima uwe huelewi kuwa hapo ulipo hauko sawa,bali unaweza kuwa unaelewa kuwa hapo si sawa na ukajalibu kuwafanya watu waamini kuwa uko sawa,siamini kama mtu mzima msomi huelewi kuwa usalama wa nchi uko juu ya chaema,nani kasajili chama? nani kakwambia chadema wako juu ya sheria za nchi? unazani wakifutwa utafanya nini zaidi ya kelele na kuishia kufungwa? acha kudanganya watu chama cha siasa ambacho kipo tayali kumwaga damu ya watanzania wenzetu ili watu wawili wapate vyeo ni hatali kuliko ukimwi.TENDWA SONGA MBELE WATANZANIA WENYE HAKILI TIMAMU TUPO TUTAKUUNGA MKONO.
 
kwanini hamtaki watz wamtambue mchawi wao?hivi kuzungumzia hali mbaya ya uchumi,matumizi mabaya ya rasilimali za taifa,madaraka,fedha za wavuja jasho wa nchi hii na utawala usiojali wananchi na maendeleo yao ni kupandikiza mbegu za chuki?kwa nini mnakuwa na akili finyu kiasi hiki?kwa nini mnataka kuwafanya watz wapumbavu?yaani waendelee kuwapigia makofi huku wakiteseka kwa umasikini...!Kwa taarifa yenu hatuko tayari kuendelea kufanywa mazuzu kamwe,tumeshachoka tunaitaka nchi yetu...CDM ndio mkombozi wa kweli...HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWeKE!
 
KINYASU, nilishawahoji vijana waliotayari kulianzisha (siyo CDM) kuhusu kumwaga damu, wakanijibu kuwa wao wameshajizira na watakuwa mstari wa mbele kutokana na matatizo yanavyozidi kuwasonga. Wakaniambia nibora wamwage damu na kuleta mabadiliko kuliko kufa kimyakimya kwa magonjwa, mazingira magumu na njaa. Sasa hiyo hatali (hatari) unayosema wewe sijui kama watakuelewa kwa usawa walionao wao.

Halafu naomba kuuliza, hivi hao CHADEMA ni nani mpaka wachafue hali hivi? Ni kweli kuwa ni Slaa na Mbowe, ama shida za wananchi na mapungufu ya serikali wanayoyaona? Nachojua mimi, njaa inaweza kukufanya ukawa mbogo wa kufanya kila liwezekanalo ili kutetea uhai.

Unajua ujinga siyo lazima uwe huelewi kuwa hapo ulipo hauko sawa,bali unaweza kuwa unaelewa kuwa hapo si sawa na ukajalibu kuwafanya watu waamini kuwa uko sawa,siamini kama mtu mzima msomi huelewi kuwa usalama wa nchi uko juu ya chaema,nani kasajili chama? nani kakwambia chadema wako juu ya sheria za nchi? unazani wakifutwa utafanya nini zaidi ya kelele na kuishia kufungwa? acha kudanganya watu chama cha siasa ambacho kipo tayali kumwaga damu ya watanzania wenzetu ili watu wawili wapate vyeo ni hatali kuliko ukimwi.TENDWA SONGA MBELE WATANZANIA WENYE HAKILI TIMAMU TUPO TUTAKUUNGA MKONO.
 
twendwa sijui umefikilia nini mpaka kuamua kusema unaweza kukifuta cdm kwa nini usiseme kukifuta ccm kwa matatizo kiliyotuletea nacho jua mzee wangu chadema ina watu wengi sana ukiamua kukifuta ni kwamba imedharau wananchi ambao hata wanakuzidi umri na wanakipenda chadema shauri yako usije juta badaye na kujilaumu ushauri wa bure achana na chadema watimize wajibu wao kama katiba inavyisema.
 
Back
Top Bottom