Chadema na Oparation Sangara

Simbajr

Senior Member
Apr 1, 2010
188
41
Peopleeeeeeee!!!!!!
Habari zenu wananchi wenzangu!!
Naipongeza sana Chadema kwa mafanikio iliopata kwenye Majimbo mbalimbali hapa Nchini..Hii inaonesha jinsi gani chama kimevuka malengo yake .napenda pia kuipongeza serikali ya awamu ya tatu kwa kua wastaamilivu wa Democrasia kwa kutopora ushindi wa vyama vya upinzani kama ilivyo zoeleka..pongezi nyingi zikuendee Jakaya Mrisho Kiwete kwa kulisimamia suala hili japo kidogo..
Ndugu zangu wa chadema na vyama vingine vya Upinzani napenda kuwakumbusha kua wakati wa kujiandaa kwa ajili ya Uchaguzi ujao ni sasa..Oparation Sangara imetusaidia sana Chadema naomba chonde chonde tuianzae mapema MWAKANI ili 2015 tumng'oe MFALME DAUD..

Shukaran kwa wananchi kwaa kuichagua CHADEMA!!
 
Angalia maeneo yote ya red.

  • Serikali ni ya awamu ya nne.
  • Sijaona la kumpongeza jk kwani hukusikia naye alikuwa miongoni mwa waliotaka kuchakachua matokeo kule rockcity? je yanaendelea tz maeneo kama shinyagamjini, Kigoma mjini, mbeya vijijini, segerea,sumbawanga nk wewe huyaoni je lipi la kumpongeza huyo jk??????
  • Endapo unataka kueleza maandiko matakatifu basi anayetakiwa kun'olea ni sauli si mfalme Daudi, kwani Mfl Daudi alipendwaa na Mungu ktk uongozi wake.
  • Uwe huru and don't bit around the bush.
Tupo pamoja kwenye operation sangara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
2010 - Kikwete amejiunga rasmi na kundi la maraisi madikiteta Afrika - Kibaki, Mugabe, Bashir etc - ili kuitawala Tanzania kimabavu
 
Nimegundua tatizo la watanzania ni elimu ya democrasia, hasa mikoa ya kanda ya kati.
kama kweli tunataka mabadiliko, inabidi operation ya nguvu ianze mapema, kwa miaka kama nne hivi jamii itakuwa imetoa lock.
Huwezi amini mtu unaambiwa ukinichagua bati bei poa simenti bei poa na elimu bure mpaka form 6.
halafu mtu huyo huyo ambaye analala kwenye tembe anagoma kutoa kura yake, anampa aliyeahidi kuwa atajenga uwanja wa ndege.
 
Watanzania wamechakachuliwa kura zao. walimchagua Dr. waukweli na sio photocopy.
 
Lini hasa mnategemea kuzindua awamu ya pili ya OPARESHENI SANGARA NCHI NZIMA????? hAKIKISHENI ccm HAWAPATI HATA SEKUNDE YA KUPUMUA HATA KIDOGO..
 
Sangara imeshapita. Safari hii ni oparation Nyangumi!!! Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lini hasa mnategemea kuzindua awamu ya pili ya OPARESHENI SANGARA NCHI NZIMA????? hAKIKISHENI ccm HAWAPATI HATA SEKUNDE YA KUPUMUA HATA KIDOGO..
mkuu,
sangara wamehamia bungeni kwa muda huu...yakikaa sawa ya bungeni..ndio sangara watamwagwa maeneo mengine... stay tuned!
 
nawashauri kuzunguka nchi nzima kufungua matawi na uchaguzi ufanyike kusiko na viongozi.
 
Mkuu,
Nilikuwepo wakati mh Mbowe alipoendesha tamasha la vijana pale Makumira University.
Alisema kuwa kwasasa wabunge wote wa Chadema wanunue magari ya 4WD, maana kazi imeanza, na hakuna kijiji ambacho wataacha kukikanyaga nchi hii....
Pia alisema kuwa waage kabisa majumbani kwao, maana hawana mudA mrefu, wataondoka kuelekea vijijini kuanza kujenga chama...

Hiyo inaonyesha wazi kuwa wana mipango mahsusi kabisa ya kuanzia kwenye grassroot kujenga chama.
 
Duh! Bungeni hivi sasa patamu, ila TANESCO ndo inatia kichefuchefu. Umeme usokuwa wa uhakika
 
Mfahamu pia kuwa hamtakuwa wenyewe wenye mikakati hiyo

CUF,CCM na NCCR pia wanafikiria kufika vijijini na kwa watu wengi as possible

Tahadhdari: Mkishindwa mkubali kwakuwa wote tunafanya kazi hiyo ok!

Siyo muanze kulia foul play ok..padre slaa
 
Sounds like cra.p!
Na imeandikwa na mtu ambaye kichwa hakina mawasiliano na kiwiliwili!
 
Sounds like cra.p!
Na imeandikwa na mtu ambaye kichwa hakina mawasiliano na kiwiliwili!

Thinker PakaJimmy
hao huwa hawakosi wala usijisumbue, yaani lazima wawashwe na lazima wajitokeze, hawana huwezo ka kuzuia chochote
 
Katika makosa ya kisiasa yanayofanyika hapa nchini huwa ni watu kudhani 'MUDA WA KURUDI KWA WATU NI WAKATI WA UCHAGUZI TU", mkiendeleza hilo tutawaweka kapu moja na WAO!
 
Topical hakikisha vidole vyako vinakuwa na ushirikiano wa kutosha na akili kabla hujapost utumbo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom