CHADEMA na mzimu wa CCM

maswimanga

Senior Member
Apr 15, 2013
159
26
Kila mtanzania anapaswa kufahamu kuwa vyama vyote vya siasa tunavyoviona nchini leo ni zao la siasa za ccm, hivyo si jambo rahisi kuiangusha ccm kwa sera za matusi au kuzungumzia majina ya watu.lakini tukipata chama chenye sera nzuri na katiba nzuri na wanachama wanaowajibika kwa sera na katiba ya chama chao sio maslahi yao hapo tutapata tofauti ya ccm na vyama vingine.
 
Back
Top Bottom