Chadema na mwenye kiti wake hawana moral ya kuisema CCM na mwenyekiti wake

Z

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
315
Likes
218
Points
60
Z

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
315 218 60
Nilimsikiliza Na nikamshangaa mh Mbowe aliposema eti Kwanini mwenyekiti Wa CCM taifa anasema kuwa ndani ya vyama kuna majizi na akasema kwa nini anasema eti serikali ya magufuli na si serikali ya CCM?? Akaomba wabunge Wa CCM wamshauri mwenyekiti wao aache usemi huo Mara sijui wamshauri jinsi aavyoendesha nchi na chama!!

Ebu nikuulize mh Mbowe, unapata wapi ujasili Wa kumsema mwenyekiti wetu ilihali wewe ni mwenyekiti Wa kudumu Wa chadema!!ndivyo wabunge wako wanavyokushauri uendelee kuwa mwenyekiti Wa kudumu?

Ulipomkaribisha uliyemzushia kuwa ni fisadi,fisadi lowasa ndivyo wabunge wako walivyokushauri eeh MWenyekiti Wa kudumu?
Ulivyokataa Dreva Wa Tundu lissu asihojiwe ndivyo wabunge wako walivyokushauri ?

Jinsi upatikanaji Wa viongozi ndani ya chadema unavyopatikana kwa usiri mkubwa kwamba lazima uwe rafiki Wa MTU Fulani (according to jerry Muro) ndivyo wanavyokkushauri mh mwenyekiti Wa chadema??
CCM haipokei watuhumiwa Wa rushwa na mafisadi ,majizi toka vyama vingine,lakini chadema tumeona jinsi inavyopokea watu waliyoifilisi nchi ,je ndivyo wanavyokushauri wabunge wako na chama chako?

Ebu tuseme ukweli kati ya wewe mwenyekiti Wa chadema na Mwenyekiti Wa CCM ni nani kiongozi mbovu ambaye anakiharibu chama kwa kujaza mafisadi ,majizi na watuhumiwa mbali mbali?kati ya wewe mwenyekiti Wa kudumu na mwenyekiti Wa CCM ni nani dikteta?hivi kweli chadema INA uhalali Wa kumsema kuwa mwenyekiti Wa CCM ni dikteta ilhali chadema ina mwenyekiti dikteta ?ebu tuache masihara!!!
Mh Mbowe kusema ukweli kwanzia 2005,2010,2015 ulitakiwa uachie ngazi uwapishe wengine maana umeshindwa kuongoza chama chako vyema maana umesababisha mpaka mgombea urais ,katibu wako kuwa mkimbizi na kuajiriwa supermarket!!! Wanaokupinga unawaita wasaliti na kuwafukuza uanachama(Mh Zitto et al )

Toa boriti jichoni mwako kabla ya kuona kibanzi ndani ya jicho LA mwenzio!!!

Niwatakie weekend njema wanachadema!!
 
M

MSOLOPAA

Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
77
Likes
103
Points
40
M

MSOLOPAA

Member
Joined Dec 10, 2016
77 103 40
Wewe mtoa post ni bwege tuu,Mbowe ndiye mwenyekiti bora na asingekuwa yeye ungekuta chadema ishatekwa na kuwa tawi la ccm
 
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
2,907
Likes
1,195
Points
280
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
2,907 1,195 280
Kwakweli hata mimi ninamshauri asiisemee CCM, maana kwa jinsi CCM ilivyooza na inavyotoa uvundo, kuisemea ni kujinajisi mwenyewe. Ninamshauri ili abaki safi bila unajisi wowote aiweke CCM mbali kabisa na yeye.
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,668
Likes
5,064
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,668 5,064 280
Wewe mtoa post ni bwege tuu,Mbowe ndiye mwenyekiti bora na asingekuwa yeye ungekuta chadema ishatekwa na kuwa tawi la ccm
Yaani uko sahihi kabisa, na CCM ndio chama tawala bora, isingekuwa CCM ungekuta nchi ishakuwa mikononi mwa mafisadi waliokimbilia chadema
 
D

Drop

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2017
Messages
571
Likes
414
Points
80
Age
49
D

Drop

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2017
571 414 80
Nilimsikiliza Na nikamshangaa mh Mbowe aliposema eti Kwanini mwenyekiti Wa CCM taifa anasema kuwa ndani ya vyama kuna majizi na akasema kwa nini anasema eti serikali ya magufuli na si serikali ya CCM?? Akaomba wabunge Wa CCM wamshauri mwenyekiti wao aache usemi huo Mara sijui wamshauri jinsi aavyoendesha nchi na chama!!

Ebu nikuulize mh Mbowe, unapata wapi ujasili Wa kumsema mwenyekiti wetu ilihali wewe ni mwenyekiti Wa kudumu Wa chadema!!ndivyo wabunge wako wanavyokushauri uendelee kuwa mwenyekiti Wa kudumu?

Ulipomkaribisha uliyemzushia kuwa ni fisadi,fisadi lowasa ndivyo wabunge wako walivyokushauri eeh MWenyekiti Wa kudumu?
Ulivyokataa Dreva Wa Tundu lissu asihojiwe ndivyo wabunge wako walivyokushauri ?

Jinsi upatikanaji Wa viongozi ndani ya chadema unavyopatikana kwa usiri mkubwa kwamba lazima uwe rafiki Wa MTU Fulani (according to jerry Muro) ndivyo wanavyokkushauri mh mwenyekiti Wa chadema??
CCM haipokei watuhumiwa Wa rushwa na mafisadi ,majizi toka vyama vingine,lakini chadema tumeona jinsi inavyopokea watu waliyoifilisi nchi ,je ndivyo wanavyokushauri wabunge wako na chama chako?

Ebu tuseme ukweli kati ya wewe mwenyekiti Wa chadema na Mwenyekiti Wa CCM ni nani kiongozi mbovu ambaye anakiharibu chama kwa kujaza mafisadi ,majizi na watuhumiwa mbali mbali?kati ya wewe mwenyekiti Wa kudumu na mwenyekiti Wa CCM ni nani dikteta?hivi kweli chadema INA uhalali Wa kumsema kuwa mwenyekiti Wa CCM ni dikteta ilhali chadema ina mwenyekiti dikteta ?ebu tuache masihara!!!
Mh Mbowe kusema ukweli kwanzia 2005,2010,2015 ulitakiwa uachie ngazi uwapishe wengine maana umeshindwa kuongoza chama chako vyema maana umesababisha mpaka mgombea urais ,katibu wako kuwa mkimbizi na kuajiriwa supermarket!!! Wanaokupinga unawaita wasaliti na kuwafukuza uanachama(Mh Zitto et al )

Toa boriti jichoni mwako kabla ya kuona kibanzi ndani ya jicho LA mwenzio!!!

Niwatakie weekend njema wanachadema!!
Mbowe kafika mahali hajitambui na hajui anaelekea wapi asamehewe tu ameshakuwa dudu.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,554
Likes
11,824
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,554 11,824 280
Mbowe ni msanii tu,anawahadaa wafuasi wake lakini ni mpigaji tu ndio maana ni mwenyekiti wa milele chadema
 
clem sayi

clem sayi

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Messages
1,504
Likes
1,213
Points
280
clem sayi

clem sayi

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2017
1,504 1,213 280
Nae ni moja ya madikteta wasio achia ngazi ya uongozi
 
Forum statistics

Threads 1,250,178
Members 481,248
Posts 29,723,245