DONALD MGANGA
Member
- Mar 22, 2011
- 99
- 11
Na hakika CHADEMA itakubalika Unguja sababu sasa hivi Unguja hakuna Upinzani. Watu bado wananyayaswa huko na hao CUF kutwa wanashinda Kempiski Hotel Dar. Jamani hii Hotel imekuwa Ikulu ndogo na nani analipia ukaaji wao ni Serikali ya Unguja au ni Bara!
Hawa maraisi wa unguja watatu watafutiwe nyumba Bara kama wanapenda kuja huku sana. Kifupi wananchi wa visiwani na sisi wananchi wa bara hatudangayiki tena. CHADEMA Fungueni mashina, matawi unguja na pemba kwa sana tu.