Tume gani imeconclude hili ?jee kuulisha watu arusha bila ya kuangalia sheria vizuri si kukurupuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume gani imeconclude hili ?jee kuulisha watu arusha bila ya kuangalia sheria vizuri si kukurupuka?
jee kuulisha watu arusha bila ya kuangalia sheria vizuri si kukurupuka?
kwa hio chadema ni chama cha Tanganyika pekee? haina mpango wa kuwakilisha matatizo ya upande wa zenji?
jee kuulisha watu arusha bila ya kuangalia sheria vizuri si kukurupuka?
wakuu nimesoma kwenye vyombo mbali mbali vya habari kuhusu sakata linaloendelea katika kuunda kambi ya upinzanu kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Chadema wanasema wao hawawezi kuungana na CUF kwenye kambi ya upinzani kwa sababu wao ni sehemu ya serikali ya Zanzibar, kwa sifa hio wamaekosa uhalali wa kuwa wapinzani
ukiangalia juu ya suala hilo, sidhani kama Chadema wanajua kuwa Tanzania kuna Serikali Mbili na hata tume za uchaguzi ni mbili, moja kwa ajili ya serikali ya Muungano, na ya pili kwa serikali ya zanzibar. na hata mabaraza ya kutunga sheria na katiba zenye kuiongoza jamhuri ni mbili
sasa serikali ya zanzibar kwa mujibu wa sheria kuna uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, na kutokana na katiba si lazima vyama hivyo viwe ccm na cuf, bali vuama vyovyote vitavyotimiza masharti ya kisheria vitashirikishwa kwenye serikali.
suali langu jee ingetokea chadema wamepata namba ya wakilishi zanzibar wa kuingizwa kwenye serikali kama mawaziri wangrvunja kambi yao ya upinzani? au hii imekuja kwa choyo na chuki binafsi zisizoegemea sheria bali utashi tu ?
Mimi sipendi waungane hata kidogo kabisa..hivyo hivyo chadema msiwakubali CUF
Nyinyi mnakubalika sana Tanganyika nchi kubwa ya nini zenj? kwanza wengi wao waislamu walalamishi sana
waache bana hawafai wataharibu utaribu wetu wa kikatoliki
Masrani tiamaji tiamaji mungu amesaidia...CDM wanachukua nchi 2015, Je hapo itakuwaje? wavunje muungano? Au unamaanisha nini?Siyo lazima ikubarike huko! Chadema waeza kushinda uchaguzi na kuongoza nchi bila ya kukubarika Zenj!
Mkuu...we acha tu! Yaani hapa naomba mungu kiongozi yeyote wa CDM akatishe kwa bahati mzuri kwenye huu mjadala na atupe maoni yake. Maana hili swala ukilifikilia sana linachanganya na kuumiza kichwa:juggle::juggle:Ndugu yangu, naona umeniwahi kutoa mada hii. Hata mimi huwa najiuliza sana kuhusu hayo yote uliyoyaandika kwa sababu hawa jamaa na hasa wa CUF & CCM lengo lao kubwa sasa hivi ni kuhakikisha kwamba CDM haipati uungwaji mkono kabisa kutoka visiwani humo. Kama ulivyoandika, kwa sasa jamaa hawa na hasa CUF kibwagizo chao kikuu ni kuhusu msimamo wa CDM juu ya uundwaji wa baraza la mawaziri kivuli pasipo kuwashirikisha wabunge wa vyama vingine vya upinzani. Kwa upande wangu nina hofu ya viongozi wa CDM kupigwa mawe huko visiwani pale watakapokwenda kuhutubia mikutano yao ya hadhara kwa maana wapinzani wakuu kwa sasa ni hao hao wenye serikali huko ZNZR (CCM & CCM-B). Kwa mwenye uelewa au mfuatiliaji wa mambo ya siasa na hasa mpenzi au mkeleketwa wa CDM atujuze chama chetu hiki kinaonekanaje huko zenji. Je makamanda waende huko kivipi hadi vyama hivyo vielemewe na CHADEMA? Nina uchungu sana na siwezi kuendelea! PEOPLE'S POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:hatari: