Chadema na Mh Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Chadema na Mh Freeman Mbowe watakuwa mahakamani tena kesho,kwenye kesi iliyofunguliwa dhidi yao,kesho ni hukumu dhidi ya pingamizi zilizotolewa na upande wa utetezi,dhidi ya kesi hii ya waliokuwa madiwani wa chadema..
Kama kawaida nawaomba wanachama wote wa chadema popote walipo wajitokeze kwa wingi,kwani ndio washtakiwa namba moja,
 
Nawasikitikia hawa madiwani. Nimepiga kura yangu kuwachagua halafu wamenishtaki. Sijui wakishinda watakuwa madiwani wa nani!? Anyway, nitakuwepo mahakamani nikasikilize hukumu ya kesi waliyonishtaki!
 
Nawasikitikia hawa madiwani. Nimepiga kura yangu kuwachagua halafu wamenishtaki. Sijui wakishinda watakuwa madiwani wa nani!? Anyway, nitakuwepo mahakamani nikasikilize hukumu ya kesi waliyonishtaki!

lazima ipelekwe mbele we subiri utaona na kusikia..

Hivi ule mtindo wa kuwazomea uliishia wapi?

kuwazomea kina nani?
 
Kesi ngumu sana hii inaweza kuchukuwa miaka minne au mitano
 
Kesi ngumu sana hii inaweza kuchukuwa miaka minne au mitano
<br />
<br />

Kwa kuwa baba'ako ana mkono wake itachukua muda. Uzuri ni kwamba haki huwa haipotei, wanaichelewesha tu!
 
Kesi ni ngumu hukumu yake itafutwa na uchaguzi 2015 maana nasikia kesi za uchaguzi zinaexpire baada ya miaka mitano.
 
Back
Top Bottom