CHADEMA na lawama kwa Walimu

Unataka kusema nini kuhusu walimu wa chekechea? Hata hivo sio kilichonileta hapa; huna haja ya kujua kama mimi ni Mwalimu wa chuo ama wa chekechekea, jibu hoja kwa hoja
Wewe ni buku saba wa Lumumba huna hoja wala usiwahusishe walimu na huu upuuzi wako wa kiccm

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kinachotokea kipindi Cha uchaguzi Kati ya chadema na ccm ndicho hicho hicho kilichotokea kwa wagombea wengi wa ccm ngazi ya ubunge ,mtakubaliana na mm kuwa wabunge wengi walioshinda kura zamaoni sio hao waliopewa nafas ya kupeperusha ticket ya Jimbo ,Zaid kilichofanyika Ni maamuz ya mtu mmoja mwanaume haswa na kuamua kuwa mtu wa tatu au wa nne anapewa kijiti Sasa mnashindwa nn kuelewa hoja ndogo hii kuwa kura haziamui chochote linapokuja swala la kushika madaraka?.

Upeo mdogo ndio unawalaumu walimu Ila wenye akili wanaujua ukweli kuwa mwalimu hawez kuwa sabab ya chadema kutoshika madaraka.
Ishu ni huyo mleta huu uzi ni kada wa CCM ameamua kuihusisha Chadema na tuhuma ambazo haziko valid.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom