CHADEMA na Kura ya Huruma Igunga

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
propaganda za chama cha cdm kuwa chama cha CUF na CCM wanashikirikiana kukihujumu ni propaganda zilizopitwa na wakati akiongea leo mratibu msaidizi wa CUF Ameir kirungi amesema wanachotafuta chadema ni kupigiwa kura za huruma na wana Igunga kwa kupandikiza propaganda chafu nasi tutahakikisha hawapati nafasi hiyo, alisema kirungi ambaye alikuwa mgombea uchaguzi uliopita jimbo la urambo mashariki.
 
Sasa wewe ulitegemea hiyo ndoa iliyofungwa kati ya ccm na cuf wataacha kweli kuichafua cdm?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Nasikiliza Redio moja hapa wanahojiwa wananchi wa Igunga direct kwa cm, CCM na Maswahiba wao wana hali mbaya sana. Chadema imejizatiti bro
 
si mkuki si bunduki cuf hatubanduki., CUF songambele mtuletee ukombozi bara ni cuf tu ndio tunaowaamini.
 
si mkuki si bunduki cuf hatubanduki., CUF songambele mtuletee ukombozi bara ni cuf tu ndio tunaowaamini.

nenda zanzibar ukawaulize wana cuf wenzako wana matarajio gani na cuf usikie watakavyokueleza!! hawaiamini tena!! hasa baada ya kuolewa na ccm
 
Ambaye mpaka sasa hajui kwamba cuf siyo chama cha upinzani, anatumia masuburi yake kufikiri
 
si mkuki si bunduki cuf hatubanduki., CUF songambele mtuletee ukombozi bara ni cuf tu ndio tunaowaamini.
<br />
<br />
CUF SI CHAMA NI WASANII KINA SEFU NA JUSSA WAROHO WA MADARAKA MADIKTETA KAMA LIPUMBAV KUGOMBEA URAIS MARA 4 KARIBU AVUNJE REKOD YA DUNIA
 
Back
Top Bottom