Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 723
Sultnan Maginga V Republic (1969) moja kati ya kesi maarufu sana ya jinai (Criminal cases) inayomuhusiha bwana Sultan Maginga dhidi ya jamhuri ambapo bwana Maginga Alishtakiwa kwa kesi ya kumuua MTU kwa mkuki usiku wakati akilinda shamba lake usiku akihisi ni nguruwe kumbe in watu walikua wakifanya mapenzi shambani kwake
Mahakama ilisikiiza maelezo ya pande zote mbili na kuibua defence ya Mistake of Fact kwa bwana Maginga wakiamini Maginga aliua pasipo kukusudia kwani intention yake (Mens rea) haikua imelenga kuua MTU Bali alihisi anaua nguruwe
Basi kisa hiki huwa nakifananisha na mienendo ya Vyama vya upinzani vya nchi hii specifically CHADEMA namna ambavyo vmekua n vyama vyenye kujikita zaidi katika fikra za kubahatisha bahatisha zaidi rather than materialistic strategies vyama vinaongozwa na matukio na misukumo binafsi bila kuhusisha fikra na uzani sahihi wa kimaamuzi katika kujijenga ,wanachokiwazaga hakina uhusiano kabisa na uhalisia yaani kama Maginga Wakati anahisi anaua Nguruwe kumbe Mistaken of Fact anaua MTu
Wanawaza kutawala nchi ingawa kujitawala wao wenyew imekua vigumu, chama kikuu cha upinzani hakina Ofisi, Hakina mtandao wowote wenye sura ya kitaifa,hakina hata utaratibu sahihi wa namna ya upatikanaji wa wagombea wake hakitoi mfano KBS wa misingi ya utawala bora wala misingi ya demokrasia afu bado kina fikra za kitawala nchi ,hizi zote ni Mistake Of Fact wanafeli sana Hawa wapinzani wakiwa na hisia tofauti kabisa na Uhalisia
Unatawala vipi nchi kama wewe tu huwezi kujitawala..Ofisi ya chama ni kituko,mapato na matumizi ya chama ni siri kuu kuliko hata siri zilizopo Area B51 Nevada, vision ya chama haileweki katiba ya chama INA ukakasi mwingi AF bdo ubaki kuwa na fikra za kuongoza nchi...mnafeli CHADEMA hamueleweki mnataka nini ndo maana mnakosa credibility kwa watu wenye Ku reason
Nionavyo: Upinzani wa nchi hii kuchukua nchi bado safari no ndefu mpaka pale watapokuja kujielewa
#HAPA_KAZI_TU